Kaburi la Petro(Simoni bar-yona) lipo Jerusalem na siyo Roma

Mkuu hili Kanisa Katoliki linafundisha uwongo sana. Hakuna ushahidi wowote hata wa kihistoria tu unao onesha kuwa Mtume Petro aliwahi kuishi Roma. Hakika kabisa Kanisa hili ni adui namba moja wa UKRISTO duniani.
Acha ujinga wewe, aliyekufundisha hivyo amekupotosha. Mbona mambo ya Ellen White, hamuyasemi ???. Yaani Nyie Mabogass Kweli Kweli.
 
Mimi ni mwamini wa KWELI wa YESU KRISTO. Mimi naamini katika KWELI na siku zote nikiijua KWELI, kamwe sitakaa kimya bali nitawaambia na wengine ili na wao waijue KWELI ili hiyo KWELI iwaweke huru kweli kweli.
Acha uwongo wewe,usitufanye sisi Wajinga, Ninyi mnaposema kuwa Ellen White ni Nabii Imeandikwa wapi ktk Biblia ???. Km sio kujitungia wenyewe.
 
Inashangaza kwakweli,unawatuhumu wakatoliki kuwa wanafundisha uongo lkn mafundisho unayoyaamini wewe kuwa Petro hakuzikwa Vatican yanatoka kwa haohao wakatoliki
Umeona eeennnhhh !!!, Yaani anakula Matapishi. WASABATO Wengi wana IQ ndogo sana, ndio maana muda wote wanalifikiria Kanisa Katoliki.
 
Tatizo la Wakatoliki ni upofu waliotupiwa na Ibilisi, yaani hawaoni wala hawasikii. Maandiko yapo wazi kabisa na AMRI za MUNGU zinajulikana lakini bado hawataki kutii.

Wengi wao wanaogopa kuliacha Kanisa Katoliki sababu ya kuwaogopa ndugu zao na jamaa zao. Wanaona wakijitenga na Katoliki, watatengwa na ndugu zao na marafiki zao. Hawajui kama imeandikwa; "waoga hawataurithi Ufalme wa MUNGU". UFUNUO 21:8
 
Acha ujinga wewe, aliyekufundisha hivyo amekupotosha. Mbona mambo ya Ellen White, hamuyasemi ???. Yaani Nyie Mabogass Kweli Kweli.
Ellen White ndiyo nani?
Mimi nafuata mafundisho ya YESU KRISTO na kuzishika AMRI za MUNGU. Huyo Ellen White mimi hata simjui ni nani.
 
Acha uwongo wewe,usitufanye sisi Wajinga, Ninyi mnaposema kuwa Ellen White ni Nabii Imeandikwa wapi ktk Biblia ???. Km sio kujitungia wenyewe.
Mkuu CHAULA RICH nioneshe ni wapi katika posts zangu nimeandika kuwa Ellen White ni nabii. Mimi sijawahi hata siku moja kusema Ellen White ni nabii.

Narudia tena kuandika; mimi namwamini YESU KRISTO pekee kuwa ni MWANA wa MUNGU na BWANA NA MWOKOZI wangu. Mimi nafuata mafundisho ya YESU KRISTO kama yalivyoandikwa kwenye Biblia na siyo vinginevyo.
 
Simoni Petro alikuwa Myahudi wakarne ya 1, mfuasi wa Yesu Kristo, tena kati ya wandani wake.

Baada ya Yesu, ndiye mtu anayejulikana zaidi katika Injili zotenne.

Katika orodha zote nne za mitume12 wa Yesu zinazopatikana katikaBiblia ya Kikristo anashika nafasi ya kwanza (tofauti na wenzake wengi ambao wanabadilishana nafasi, na kinyume cha Yuda Iskarioti, msaliti anayepewa daima nafasi ya mwisho); isitoshe Math10:2 inasisitiza: "Wa kwanza Simoni aliyeitwa Petro".

Wakristo wengi, hasa Wakatoliki naWaorthodoksi, wanamheshimu kama mtakatifu tena kama papa wa kwanza wa Roma hadi kifodinichake kati ya miaka 64 na 67, wakati wa dhuluma ya Dola la Roma dhidi ya Ukristoiliyoanzishwa na Kaisari Nero.

Sikukuu yake inaadhimishwa kila tarehe 29 Juni pamoja na yaMtume Paulo.
 
Hata sasa ninaeneza INJILI ya BWANA, INJILI safi isiyogoshiwa, wala kuchakachuliwa. Hivi unafahamu kwamba kuna INJILI iliyogoshiwa na INJILI isiyogoshiwa?

Sasa Wakatoliki wanahubiri injili ile iliyoghoshiwa. Soma WAGALATIA 1:6-9
Naona sasa umeishiwa facts. Hujajibu mistari niliyokuwekea, badala yake umeishia kufanya majumuisho ya kiujumla. Endelea kujidanganya na katika mambo usiyoyajua.good luck
 
Naona wagalatia mnapaluana magamba wenyewe kwa wenyewe.
 
Hapa JF katumia jina bandia,acha fikara za kuwa anaweza akawa mkweli kutaja dhehebu lake

Nilichotaka kutoka kwake nimekipata, unyofu anaojidai kuwa nao wakati ni muongo na maandiko yanasema waongo na wasingiziaji hawataiona mbingu.
 
Biblia ndiyo inayosema UKWELI na mimi nitajumuisha vifungu vya kwenye Biblia na mafundisho ya Kanisa Katoliki, hapo ndiyo tutajua nani anasema KWELI.

Biblia hii hii iliyopangwa na Wakatoliki?, yani Hii ya Wakatoliki waliyosema hiki kitabu kiwepo kwenye bible hiki kisiwepo, hiki kiwe cha kwanza na hiki kiwe cha mwisho, au unazungumzia Biblia gani?
 
Hivi Sabato ya Yule Mmama wa Marekani ndio Sabato ya Mungu????
Ndio Sabato ya Israel?
Duh?!!!! haya....
 
Aisee..,pole mkuu....Mimi sio mkatoliki ila naomba nikusaidie kitu kidogo tu....hivi unajua ni nani aliyekusanya vitabu na kuvipanga kama vilivyo leo kwenye bible?..(catholics).....unajua kuna jumla ya injili ngapi zilizoandikwa na mitume?.....but ni nani aliyeamua kuweka injili nne tu kwa bible?...(catholics)....unajua Paul aliandika barua ngapi?...hundreds..... Lakini ni wakatoliki ndo waliamua zipi ziwemo kwenye hiyo unayoiita biblia takatifu.....oooooo....wait.....unasema wakatoliki in waongo....basi hata biblia unayodai kuiamini ni ya uongo....wao ndo walio-iinjinia......hawa wengine mnakuja tu kupiga kelele....mpaka sasa biblia yao ina vitabu 72....lakini ya kiprotestant ina vitabu 66.....unadhani kwa nn?.....hawa jamaa mwenyewe siwapendi lakini usiwaite waongo.....coz ikiwa hivyo ukristo wote utakuwa ni uongo yakhee....
 
Biblia nani kaipanga ilivyo leo?....nani aliamua kuwe na injili nne wakati injili zipo kibao tu?....nani aliamua kusema baadhi ya barua za Paulo na kuacha zingine....nani aliamua torati iwemo kwenye biblia?.…...jibu unalo nadhan....kama unaamini biblia manake wakatoliki ndo wamekuchagulia kipi caha kuamini na kipi so cha kuamini....wangeweza kukuwekea chochote mule...sasa sijui kelele za nn....am not catholic....lakini unaboa....
 
Nakushauri kavae dera au kijora then chukua mashosti zako mkawasute kama hao katoliki ni waongo. La sivyo uongo wa katoliki kama haukudhuru fuata dini au dhehebu unaloliamini. Acha kushuhudia uongo usiokuhusu. Halafu una vijitabia vya yule askofu Muanglikana wa Marekani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…