Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Kifo chake kilikuwa cha aina gani. ??Kiufupi Petro hakufia Rumi. Bali Jerusalemu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kifo chake kilikuwa cha aina gani. ??Kiufupi Petro hakufia Rumi. Bali Jerusalemu.
Mkuu wew ni dhehebu gani..?Mimi sio Msabato, lkn ni kweli kabisa Petro hakuwahi kuwa Papa wa Roman Catholic. Maana historia ya kanisa inatueleza kuwa Petro, Yohana na Yakobo wao walikuwa wanakaa makao makuu ya kanisa Jerusalemu. Na akina Paulo wao walikuwa watumishi wa mataifa.
Ko kanisa kuanza kuwa makao makuu Roma(Vatican) ilianzia pale Mfalme Costantine alipomuamini Yesu kristo karne ya 3. Na ndipo makanisa yote duniani yakalazimishwa kuwa chini ya kanisa la Roma. Kumbuka kanisa liliitwa kutokana na eneo kanisa lilipo. Mfano kanisa lililokuwapo Efeso, ko liliitwa kanisa la Efeso. Hapakuwapo madhehebu ktk kanisa la mwanzo.
Kiufupi Petro hakufia Rumi. Bali Jerusalemu.
Mi Mkristo.Mkuu wew ni dhehebu gani..?
Hilo ndo la msingi zaidi, tunaongea hivyo kwa sababu wengine wanajifariji kwa kusema dhehebu langu ndo la kwanza. Utazania mbinguni tutaenda kwa madhehebu.Yote hatutaweza kuyamaliza, cha muhimu ni kukazana kumfuata kristu yesu ili tuweze kunusurika na hasira ya Mungu siku ya mwisho
Unaabudu siku gani..?Mi Mkristo.
Wasabato bwana na nabii wao elen G white roman Catholic inawapa tabu sana
Labda nikuambie kitu ambacho huenda hutopenda kukisikia...Hilo ndo la msingi zaidi, tunaongea hivyo kwa sababu wengine wanajifariji kwa kusema dhehebu langu ndo la kwanza. Utazania mbinguni tutaenda kwa madhehebu.
KABLACYA YOTE NAOMBA MNIELESHE HILI NENO KANISA LILIANZA LINI NA WAPI? NINASHAKA KAMA YESU ALITAMKA NENO KANISA WAKATI WA KUMKABIDHI MADARAKA MT PETRO. JE NENO HALISI NI LIPI NA KWA NINI HALIJATUMIKA KAMA SIO NENO KANISA? WAKATI HUO WALIABUDU KWENYE MASINAGOGI NA MAHEKALU. KWA NINI TUITE MAKANISA NA SIO MAHEKALU? ILIKUWA JINA KANISA LIKAKUA KULIKO HEKALU?Mimi sio Msabato, lkn ni kweli kabisa Petro hakuwahi kuwa Papa wa Roman Catholic. Maana historia ya kanisa inatueleza kuwa Petro, Yohana na Yakobo wao walikuwa wanakaa makao makuu ya kanisa Jerusalemu. Na akina Paulo wao walikuwa watumishi wa mataifa.
Ko kanisa kuanza kuwa makao makuu Roma(Vatican) ilianzia pale Mfalme Costantine alipomuamini Yesu kristo karne ya 3. Na ndipo makanisa yote duniani yakalazimishwa kuwa chini ya kanisa la Roma. Kumbuka kanisa liliitwa kutokana na eneo kanisa lilipo. Mfano kanisa lililokuwapo Efeso, ko liliitwa kanisa la Efeso. Hapakuwapo madhehebu ktk kanisa la mwanzo.
Kiufupi Petro hakufia Rumi. Bali Jerusalemu.
Sipendi kujadili saana jambo hili, ila kila jambo linaenda kwa data, unajua nyakati za Yesu na hata mitume hapakuwepo na madhehebu ila kanisa lilikuwa likiitwa kutokana na sehemu lilipo, soma UFUNUO WA YOHANA 2:1 na kuendelea mpaka sura ya tatu utaona jinsi makanisa yanavyoitwa ni majina ya sehemu yanakotoka hayo makanisa.Labda nikuambie kitu ambacho huenda hutopenda kukisikia...
Ni Hivyi Yesu Kristo alianzisha Kanisa...na Kanisa hilo ndio Kanisa Katoliki chini ya Baba Mtakatifu wa Kwanza ambaye ni Petro...
Upo hapo
Ahsante sana. Elewa kuwa kanisa maana yake ni mtu au watu wanaomwamini Yesu kristo kuwa ndie mpakwa mafuta wa BWANA, na ya kwamba ndie mkombozi na ndie mwenyekutusafisha kwa damu yake ili tuwe milki ya Mungu.KABLACYA YOTE NAOMBA MNIELESHE HILI NENO KANISA LILIANZA LINI NA WAPI? NINASHAKA KAMA YESU ALITAMKA NENO KANISA WAKATI WA KUMKABIDHI MADARAKA MT PETRO. JE NENO HALISI NI LIPI NA KWA NINI HALIJATUMIKA KAMA SIO NENO KANISA? WAKATI HUO WALIABUDU KWENYE MASINAGOGI NA MAHEKALU. KWA NINI TUITE MAKANISA NA SIO MAHEKALU? ILIKUWA JINA KANISA LIKAKUA KULIKO HEKALU?
Sipendi kujadili saana jambo hili, ila kila jambo linaenda kwa data, unajua nyakati za Yesu na hata mitume hapakuwepo na madhehebu ila kanisa lilikuwa likiitwa kutokana na sehemu lilipo, soma UFUNUO WA YOHANA 2:1 na kuendelea mpaka sura ya tatu utaona jinsi makanisa yanavyoitwa ni majina ya sehemu yanakotoka hayo makanisa.
Kumbuka Yesu alikuwa mwiisrael na hata wanafunzi wake walikuwa waisrael. Hivyo kanisa lilipelekwa Rumi kwa njia ya mahubiri waliokuwa wakiyafanya wanafunzi wa Yesu baada ya Yesu kuondoka, sio Roma tu walikopeleka injili hata sehemu zingine injili ilihubiriwa kama vile;- Galatia, Efeso, Corintho, Kolosai n.k. Kanisa makao makuu yakiwa Jerusalem-Israel.
Sasa elewa kuwa kanisa na dola ya Rumi mwanzoni vilikuwa tofauti(separately). Na ndo maana ktkt ya karne ya kwanza kanisa lilipata taabu sana kule Roma kutokana na utawala wa kikatili wa Mfalme Nero. Lkn Miaka ya 300's kanisa kule roma lilipata raha baada ya mfalme Costantine Kuongoka na kumwani Yesu.
Hivyo basi mfalme Costantine(mkristo) ndie aliekuja kulazimisha kuwa makanisa yote duniani yawe chini ya kanisa lililokuwa Roma na hii ilikuwa karne ya 4. Wakati Mitume wote walikuwa tayari wameshakufa. Na ikumbukwe dola ya Rumi ndio iliyokuwa ikitawala kipindi hicho, ko ikawa rahisi kwa kanisa kuwa chini yake.
Yes, nimekupata, haya mambo kuyajua tunahitajika kusoma, si tu biblia lkn hata kuijua historia ya kanisa. Kiundani maana viongozi wetu kila mmoja uvutia kwake.Kweli Mkuu, Kanisa liliitwa kulingana na wapi lilipo. Labda tuwekane wazi kidogo. shida inayokuja na kuleta mchanganyiko ni kwamba hatutaki kuchambua zaidi na kudadis mambo. Umeongelea RUMI, hii imevuma sana na kuwa maarufu zaidi kwa sababu ya utawala wake. ndivyo ingetokea kwa kanisa la Galatia, Effeso nk. Jambo jingine hapo ni hii KATOLIKI. Ukitamka tu Katoliki baasi watu wanajua unaongelea ROMA. kumbe siyo kweli.
neno hili ukilifatilia utaona halihusiani na URUMI bali linahusiana na KANISA.
hii ndiyo maana halisi ya neno hilo.
The Word Catholic Defined
Catholic comes from the Greek katholikos, the combination of two words, kata (concerning), and holos (whole). According to the Oxford Dictionary of English Etymology, the word catholic comes from a Greek word meaning "regarding the whole," or, more simply, "universal" or "general." The word church comes from the Greek ecclesia, which means "those called out," as in those summoned out of the world at large to form a distinct society. So the Catholic Church is made up of those called out and gathered into the universal society founded by Christ.
Sasa kwa mantiki hii, hata kanisa la Efeso nalo ni Katholikos. Na haimaanishi kuwa ni ufuasi wa ROMA bali wanajulikana kwa maana rahisi kuwa wafuasi wa Kristo.
Wewe unalielewa NENO na ndani yako upo mwanga kidogo. Endelea kuishika imani yako.Mimi sio Msabato, lkn ni kweli kabisa Petro hakuwahi kuwa Papa wa Roman Catholic. Maana historia ya kanisa inatueleza kuwa Petro, Yohana na Yakobo wao walikuwa wanakaa makao makuu ya kanisa Jerusalemu. Na akina Paulo wao walikuwa watumishi wa mataifa.
Ko kanisa kuanza kuwa makao makuu Roma(Vatican) ilianzia pale Mfalme Costantine alipomuamini Yesu kristo karne ya 3. Na ndipo makanisa yote duniani yakalazimishwa kuwa chini ya kanisa la Roma. Kumbuka kanisa liliitwa kutokana na eneo kanisa lilipo. Mfano kanisa lililokuwapo Efeso, ko liliitwa kanisa la Efeso. Hapakuwapo madhehebu ktk kanisa la mwanzo.
Kiufupi Petro hakufia Rumi. Bali Jerusalemu.
Sabato imeingiaje humu na si Wengine ?!!Nyie wasabat kila kukicha ni kupingana na waroma na sio kupingana na mwovu shetani.
Nenda ukale makande kwa mama lishe hapo karibu nitakuja kulipa.
Sabato njema!!!!!
Ubarikiwe sana, tuzidi kuombeana.Wewe unalielewa NENO na ndani yako upo mwanga kidogo. Endelea kuishika imani yako.
Tuandikiea hapa kifungu kwa kifungu ukituonesha kwenye kitabu cha UFUNUO WA YOHANA palipoandikwa namna Emperor Nero alivyokuwa mdhalimu. Tuoneshe hapa ni mstari gani kwenye kitabu cha UFUNUO WA YOHANA pameandikwa jinsi Petro alivyouliwa akiwa Roma.Hivyo Kitabu cha Ufunuo wa Yohana kinachoonesha madhalimu ya Emperor Nero ni cha uongo..
Ama unataka kutuambia Nero aliishi Jerusalem...??
Ama unataka kutuambia kifo cha Petro kichwa chini miguu juu kilikuwa cha uongo..?? Na kifo hicho kilitokea Jerusalemu
Ama unataka kutuambia Paul naye alifia Jerusalemu.....??
Kaaazi kweli kweli
Matendo yangu yatanishuhudia IMANI yangu. Siwezi kukuthibitishia kwa maneno matupu mkuu. Mimi naamini katika KWELI ndiyo maana naandika kuupinga UWONGO ili wengine pia waijue ile KWELI.Thibitisha kama we ni mwamini was kweli na si mfia dini wa kisabato
Mimi nilijua Wakatoliki wanafundisha UWONGO sababu na mimi pia nilikuwa Mkatoliki. Lakini baada ya kuitafuta KWELI na kuijua ndipo nilipoona tofauti ya GIZA na MWANGA. Ukiwa gizani huwezi kujua mwanga unafananaje ni mpaka utoke gizani na kwenda kwenye MWANGA ndipo utaona tofauti. Imeandikwa; ukimtafuta MUNGU kwa bidii, utamwona. YEREMIA 29:13We ulijuaje kuwa ni uongo hayo madhehebu yenu ya kimapokeo yanawapa mihemko sana kujiona nyie ndo wakristu halisi, mnaifia dini ambayo hata babu yako akifufuliwa Leo atakushangaa wewe kwa kuacha imani na mafundisho ya kabila lako