Umeniwahi laazizi walaqhi ningekutag,
Been asking myself the same question, nimepita Makumbusho muda mfupi uliopita nikashangaa kadada ka kichina kamevaa visendo vya kimasai vimenakshiwa na bendera ya Tanzania, nikajiuliza hivyo wageni wanakuwa proud na nchi yetu kuliko sisi wenyewe.?
Natamani kujua hao nchi jirani are they proud kuvaa vitu vyenye bendera yetu kama sisi tunavyojiona wajanja kuvaa vitu vyenye bendera zao..??
Sidhani kama kuna ukweli, sema kuna ulimbukeni wa Watz kujifanya wakenya au waganda, nadhani kuna ujinga mkubwa sana kwenye kichwa cha mtanzania. Sijui Nyerere alikosea wap!!!
Hawa ni wale wanaoamini mizimu ya Kiyahudi kina Ayubu na Yakobo, wao wanaamini yale makaratasi yenye ramani yana baraka.Pia kuna magari mengi yamewekwa bendera ya Israel[emoji1134]
Siwezi kumlaumu ila nimewaza katika mifumo yetu hasa elimu, mtu atajiona bora kama alisoma Kenya au UG kuliko Tz japo inakwisha siku hizi.Nyerere hawezi kuwa responsible for personal choices.
Enzi za Nyerere literacy level nchini ilikua juu, uzalendo usipime.
Sasa kila bora ni cha KE au Nigeria.
Mbongo anaona bora aitwe Dangote au Cookie kuliko aitwe Bahati au Baraka.
Ushamba.
Wengine hata hawajui kama ni bendera ya KE. Kuna mtu niliwahi kumuuliza akasema yeye anavaa tu ila hajui ni rangi za wapi.
Kingine, watz wanaishobokea sana KE ilhali KE despises TZ. MTZ atasifia chochote kile cha KE hata kama ni kibaya vp na kuponda cha bongo wakati KE pamoja na ukabila wao hawezi sifia chochote kile cha bongo hata kama kizuri vp.
Mbongo anafurahi zaidi kufika Nairobi kuliko kufika London.
Ile namna hutuponda na kujiona wao ni bora kutuliko, sidhani kama wanatukubali kinamna yoyote kiukweli..Hell no laazizi.
Ukikutana na mkenya anasifia chochote kile cha bongo let alone kuvaa hizo culture let me know.
Sheria ipi mkuuSiyo kacha tu ata bendera, mf; arusha bodaboda wengi wamebandika hizo stika za Bendera ya Kenya. Pia sheria ya Tanzania hairuhusu MTU yeyote kutumia au kuvaa kitu chenye nembo ya taifa bila kibali. Kama nimekosea nirekebisheni.
leta ushahidi mkuuBut nimeshuhudia Nairobi hata wake ya wengi wanapenda Sana zenye rangi ya tz...sijajua kwa Uganda..Ila kenya..nimejionea hilo Kati ya watu kumbi Basi 7&8 wamevaa kacha zenye rangi ya tz
Acha ulongo wewe!Ukivaa kacha ya KE unapunguza mlima kwa madem wa kibongo na ukizijulia zile kiswahili Cha KE basi mademu wa TZ utawapata bila gharama
Anaevaa za Jamaica ni mwanachama wa JamaicaHuku wana vaa rangi za Jamaica....
Ushamba.
Wengine hata hawajui kama ni bendera ya KE. Kuna mtu niliwahi kumuuliza akasema yeye anavaa tu ila hajui ni rangi za wapi.
Kingine, watz wanaishobokea sana KE ilhali KE despises TZ. MTZ atasifia chochote kile cha KE hata kama ni kibaya vp na kuponda cha bongo wakati KE pamoja na ukabila wao hawezi sifia chochote kile cha bongo hata kama kizuri vp.
Mbongo anafurahi zaidi kufika Nairobi kuliko kufika London.
Unaishi wapi mkuu??Mimi napenda sana kuvaa mavazi yenye logo ya bendera ya U.S.A ya Tz hata bure sivai