Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 12,599
- 26,263
Umeniwahi laazizi walaqhi ningekutag,
Been asking myself the same question, nimepita Makumbusho muda mfupi uliopita nikashangaa kadada ka kichina kamevaa visendo vya kimasai vimenakshiwa na bendera ya Tanzania, nikajiuliza hivyo wageni wanakuwa proud na nchi yetu kuliko sisi wenyewe.?
Natamani kujua hao nchi jirani are they proud kuvaa vitu vyenye bendera yetu kama sisi tunavyojiona wajanja kuvaa vitu vyenye bendera zao..??
Hell no laazizi.
Ukikutana na mkenya anasifia chochote kile cha bongo let alone kuvaa hizo culture let me know.