Kacha za kimasai za bendera ya Kenya zinavaliwa kuliko za Tanzania. Hii ni kukosa uzalendo au?

Kacha za kimasai za bendera ya Kenya zinavaliwa kuliko za Tanzania. Hii ni kukosa uzalendo au?

Umeniwahi laazizi walaqhi ningekutag,

Been asking myself the same question, nimepita Makumbusho muda mfupi uliopita nikashangaa kadada ka kichina kamevaa visendo vya kimasai vimenakshiwa na bendera ya Tanzania, nikajiuliza hivyo wageni wanakuwa proud na nchi yetu kuliko sisi wenyewe.?

Natamani kujua hao nchi jirani are they proud kuvaa vitu vyenye bendera yetu kama sisi tunavyojiona wajanja kuvaa vitu vyenye bendera zao..??

Hell no laazizi.

Ukikutana na mkenya anasifia chochote kile cha bongo let alone kuvaa hizo culture let me know.
 
Nilitoka kwenye group discussion kuwaambia hili jambo. Tulikuwa nane, kati yetu watatu walikuwa na kacha za Kenya na mmoja ya Tanzania. Ila wote wanavaa kwa mkumbo wala si kwa mapenzi ya Kenya. Na huyo mwenye ya Tz anadai haivutii rangi, hawakosi uzalendo hata kidogo.
Mbona Wamarekani walinunua kofia na skafu za Make America Great Again kutoka China, wakati serikali ya China haiitaki MAGA na Wachina wenyewe hawajui ni nini ila wanatengeneza.
 
Sidhani kama kuna ukweli, sema kuna ulimbukeni wa Watz kujifanya wakenya au waganda, nadhani kuna ujinga mkubwa sana kwenye kichwa cha mtanzania. Sijui Nyerere alikosea wap!!!

Nyerere hawezi kuwa responsible for personal choices.

Enzi za Nyerere literacy level nchini ilikua juu, uzalendo usipime.

Sasa kila bora ni cha KE au Nigeria.

Mbongo anaona bora aitwe Dangote au Cookie kuliko aitwe Bahati au Baraka.
 
Siyo kacha tu ata bendera, mf; arusha bodaboda wengi wamebandika hizo stika za Bendera ya Kenya. Pia sheria ya Tanzania hairuhusu MTU yeyote kutumia au kuvaa kitu chenye nembo ya taifa bila kibali. Kama nimekosea nirekebisheni.
 
Pia kuna magari mengi yamewekwa bendera ya Israel[emoji1134]
Hawa ni wale wanaoamini mizimu ya Kiyahudi kina Ayubu na Yakobo, wao wanaamini yale makaratasi yenye ramani yana baraka.

Ukiwapeleka Israel polisi wake watawachapa viboko, watakosa kazi hata kujitolea na watatengwa. Hitler alikuwa katiri sana ila hakuwa kichaa, kwa nini aliwaua wao tu wakati Ujerumani inazo jamii kibao za kigeni.
 
Nyerere hawezi kuwa responsible for personal choices.

Enzi za Nyerere literacy level nchini ilikua juu, uzalendo usipime.

Sasa kila bora ni cha KE au Nigeria.

Mbongo anaona bora aitwe Dangote au Cookie kuliko aitwe Bahati au Baraka.
Siwezi kumlaumu ila nimewaza katika mifumo yetu hasa elimu, mtu atajiona bora kama alisoma Kenya au UG kuliko Tz japo inakwisha siku hizi.
 
Ushamba.

Wengine hata hawajui kama ni bendera ya KE. Kuna mtu niliwahi kumuuliza akasema yeye anavaa tu ila hajui ni rangi za wapi.

Kingine, watz wanaishobokea sana KE ilhali KE despises TZ. MTZ atasifia chochote kile cha KE hata kama ni kibaya vp na kuponda cha bongo wakati KE pamoja na ukabila wao hawezi sifia chochote kile cha bongo hata kama kizuri vp.

Mbongo anafurahi zaidi kufika Nairobi kuliko kufika London.

Sasa huko London si ndiko mnakosema ni kwa mabeberu!? Unataka huko kwa mabeberu kusifiwe angali mnawapiga vitasa...!?
Ukweli ni kuwa wabongo ni wanafki tu!
 
hili ni kweli hata mimi nishaona sana hili jambo,sema nikapuuzia ngoja nimpigie jiwe alifanyie kazi ofsa wangu!!!
 
But nimeshuhudia Nairobi hata wake ya wengi wanapenda Sana zenye rangi ya tz...sijajua kwa Uganda..Ila kenya..nimejionea hilo Kati ya watu kumbi Basi 7&8 wamevaa kacha zenye rangi ya tz
 
Siyo kacha tu ata bendera, mf; arusha bodaboda wengi wamebandika hizo stika za Bendera ya Kenya. Pia sheria ya Tanzania hairuhusu MTU yeyote kutumia au kuvaa kitu chenye nembo ya taifa bila kibali. Kama nimekosea nirekebisheni.
Sheria ipi mkuu
 
But nimeshuhudia Nairobi hata wake ya wengi wanapenda Sana zenye rangi ya tz...sijajua kwa Uganda..Ila kenya..nimejionea hilo Kati ya watu kumbi Basi 7&8 wamevaa kacha zenye rangi ya tz
leta ushahidi mkuu
 
Mtu uvaa anachokipenda.huku ni kupangiana jinsi ya kuishi.siwakubali wakenya Ila siwezi kumpangia mtu avae nini HUU NI UBAGUZI

Back
Top Bottom