Kacha za kimasai za bendera ya Kenya zinavaliwa kuliko za Tanzania. Hii ni kukosa uzalendo au?

Watz tunapenda kujikweza sanaaaa Kama ujui Hilo broo yan ukimuuliza uyo mtu kwann umevaa hii kitu na sio ya tz atakwambia kali kuliko ya tz wakat sio kweli
 
Unajua sheria hairuhusu kutumia vya Tz?

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Mimi kipindi kile tuna beef na Rwanda, serikali ikawa inakamata wahamiaji na kuwarudisha kwao.

Ukiwaambia kwenu USA 🤣 kukurudisha hawataki.
mambo ya kuchangulia pa kupelekwa wanaanzaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…