EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
- Thread starter
- #101
JKT inakuhusuKwako wewe ya Tz imekaa vizuri ila mimi naiona ya kenya ndy ipo vizuri
Hata waubani wangu nimemnunulia ya Kenya!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JKT inakuhusuKwako wewe ya Tz imekaa vizuri ila mimi naiona ya kenya ndy ipo vizuri
Hata waubani wangu nimemnunulia ya Kenya!
ya tz inafungamana na baadhi ya rangi.ndio maana wengine mnaichukia.Kwako wewe ya Tz imekaa vizuri ila mimi naiona ya kenya ndy ipo vizuri
Hata waubani wangu nimemnunulia ya Kenya!
Wewe ni mtumwa wa akiliTanzania
Wewe ni mshamba sanaWewe ni mtumwa wa akili
Jkt nikafanyaje?JKT inakuhusu
Ukafunzwe uzalendoJkt nikafanyaje?
Hata kwa mujibu wa sheria niliingia mitini.
MamaaaaaaaaaaaaNashauri tuanzishe Operation kila atakayekutwa kavaa kacha za nchi nyingine ahamishiwe hiyo nchi
Mi ntavaa za US wanipeleke huko 😎Mamaaaaaaaaaaaa
Unajua sheria hairuhusu kutumia vya Tz?Huku mtaani vijana wengi saana na wa kike na wa kiume naona wavaa sana kacha za Kenya na UG kuliko za TZ.
Ni huku kwetu pekee au hadi mtaani kwenu, nini maana yake? Rangi za KE na UG zinapendeza kuliko za TZ?
Wamekosa uzalendo au?
Hebu tupe ushuhuda mtaani kwako wapo ikiwezekana weka na kapicha au ni umbea wangu tu wa kuchunguza yasiyonihusu
View attachment 1651615
View attachment 1651605
View attachment 1651614
View attachment 1652306
Mimi kipindi kile tuna beef na Rwanda, serikali ikawa inakamata wahamiaji na kuwarudisha kwao.Mi ntavaa za US wanipeleke huko 😎
Heb nifumbue macho
mambo ya kuchangulia pa kupelekwa wanaanzaje?Mimi kipindi kile tuna beef na Rwanda, serikali ikawa inakamata wahamiaji na kuwarudisha kwao.
Ukiwaambia kwenu USA 🤣 kukurudisha hawataki.
Wao wanataka upelekwe Burundi, Rwanda hukomambo ya kuchangulia pa kupelekwa wanaanzaje?
Kwa gharama yake au tunamchangia? au nchi?Nashauri tuanzishe Operation kila atakayekutwa kavaa kacha za nchi nyingine ahamishiwe hiyo nchi
We unashaurije??Kwa gharama yake au tunamchangia? au nchi?
Atambulishwe hapa, na tumchangie, nipo tayari kujitolea kupokea hiyo michango na kukuhakikisha anaondoka! manake nchi ipo na kazi nyingiWe unashaurije??