Wajinga ndio waliwao michango ya saccos haimuachi mtu salamaSisi cdm kukichangia chama chetu hiyo imekuwa ni moja ya wajibu wetu.
Hao ACT nao wana chama wao, waanze kukichangia chama chao maana hakuna short cut.
Kwanini wameweka Picha ya Zitto kwenye hiko kipeperushi?
Mlipo wafunga viongozi wetu tulichanga sh 350m na leo hii wapo uraiani wanaipa kichapo CCM.Wajinga ndio waliwao michango ya saccos haimuachi mtu salama
Inasemekana waliomlipa ndo hao hao waliomlipa mgombea wa CHADOMO...walipaji wame bet kote kote (kikishindwa CHADOMO wanakua na mbadala)Ok kachero mbobezi BKM tunajua upo kazini na payslip inasoma km kawaidaaaa.
Watz sio wajinga
Jiandae kisaikolojia maana Lissu ndiyo rais wako wa awamu ya sita.Mkuu lissu hawezi na hataweza kuwa rais wa nchi hii,mark my words
Tatizo washakujueni mazuzu wanafanya kitu kwa kujua ili wapate huruma ya watu na michango ya bendera fuata upepoMlipo wafunga viongozi wetu tulichanga sh 350m na leo hii wapo uraiani wanaipa kichapo ccm
Sawa tukiwa mazuzu kwa ajili ya cdm wewe inakuumiza kitu gani? Tuliza kidonda kiponeTatizo washakujueni mazuzu wanafanya kitu kwa kujua ili wapate huruma ya watu na michango ya bendera fuata upepo
Hivi naye anatumia diplomatic bag?Asije akawa amerudi na mabulungutu ya fedha chafu....Financial Inteligent Unit mchunguzeni kwa umakini
Miaka mitao yote hawakujiandaa financially hawakujua kuwa Kuna uchaguzi after five years?utetezi wa kitoto
Kwanini picha ya zitto,kwanini wasiweke picha ya mgombea urais ili kumtambulisha kwa wapiga kura au anaomba kwa ajili ya kampeni za jimboni kwake?
Chadema mfano imepata ruzuku mabilioni na michango ya kila mwezi ya wabunge madiwani ilipeleka wapi? Haikujua kuna uchaguzi ?Vyama vya siasa vinafanya biashara gani? CCM walipora Mali za serikali,wanapata ruzuku kubwa,wanawakamua wafanyabiashara kwa nguvu ya dola.
Chadema mfano imepata ruzuku mabilioni na michango ya kila mwezi ya wabunge madiwani ilipeleka wapi? Haikujua kuna uchaguzi ?
Typical of Membe! Hakuna mpangilio wa maneno. Hakuna maneno yenye mvuto. Hakuna muelekeo wa kiongozi.BERNARD Membe, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha ACT-Wazalendo amesema, mazingira magumu ya Siasa kwa sasa, yamesababisha marafiki na wafanyabiashara kushindwa kuwasaidia. Na kwamba, kusuasua kwa kampeni hasa vyama vya upinzani nchini, kunatokana na ukweli kwamba, wagombea wengi wana ukata kwani hawana msaada tofauti na chaguzi zilizopita...
CHADEMA wanakaa kulia lia tu na hawako tayari kuhoji wizi ndani ya chama. Walisema wamezuiwa kuendesha shughuli za kisiasa, sawa! Sasa pesa za ruzuku zimetumika kulipia nini kwa miaka 5? Ni chama cha kishenzi tu! Hiki chama lazima kife kwa kukosa manufaa kwa wa-TZ.Chadema mfano imepata ruzuku mabilioni na michango ya kila mwezi ya wabunge madiwani ilipeleka wapi? Haikujua kuna uchaguzi ?
Tuliza mshono weweMiaka mitano yote hawakujiandaa financially hawakujua kuwa Kuna uchaguzi after five years?utetezi wa kitoto
Wanalia wakati maccm ndiyo mnapiga kelele hata jana mmelia kweli kwenu kuleCHADEMA wanakaa kulia lia tu na hawako tayari kuhoji wizi ndani ya chama. Walisema wamezuiwa kuendesha shughuli za kisiasa, sawa! Sasa pesa za ruzuku zimetumika kulipia nini kwa miaka 5? Ni chama cha kishenzi tu! Hiki chama lazima kife kwa kukosa manufaa kwa Watanzania.
Tulitaka chama kinacholeta amsha amsha kwa CCM washike adabu lakini kama ni wizi na upuuzi wa kiwango hicho, ndo maana maprofesa wote waliodhani wangewasaidia, walijiondoa kimya kimya! Sasa wamebaki ni kundi la form 6.
Labda Tanzania ya ubeligijiKwakuwa cdm ni mipango ya Mungu ndiyo maana haya yanatokea, na bado hata siku mh Lissu anatangazwa kuwa rais wa to Tanzania bado utashangaa sana.