Uchaguzi 2020 Kachero Mbobevu Bernard Membe atua nchini, adai ukata umepelekea kusuasua kwa Kampeni za Vyama vya Upinzani nchini

Uchaguzi 2020 Kachero Mbobevu Bernard Membe atua nchini, adai ukata umepelekea kusuasua kwa Kampeni za Vyama vya Upinzani nchini

Nakuona kama wewe ni mgeni wa mh Lissu, huyo ndiye mwamba wa mambo ya kisheria hababaishwi na lolote kinalo andaliwa juu yake na maccm.

Lissu ni mpango au zawadi ya kutoka kwa Mungu ili aje kuwakomboa watanzania.
Zawadi kwa Wabeligiji......wampe nchi yao awaongozee ila sio Tanzania tena apewe nchi kizembe tu kwa vikaratasi vinavyopigwa tick....bado saana hamna rangi ataacha ona mwaka huu
 
Mwambieni huyo kachero wenu kuwa kama hata suala la masharti ya uingizaji fedha hakulijua mapema basi bora awe shabiki wa Zuchu kuliko kujiita kachero mbobezi.
 
una mawazo finyu sana and most likely wewe ni CCM
Just opinions mkuu.U r free to thnk in whatever dimension.

By the way kuwa Ccm is not a crime though sipo huko. Kama wapizan wenye matarajio ya kuongoza nchi hii siku moja , basi ni lazima tujizoeze kuheshimu mawazo m badala hata pindi wengine wanapotofautiana na wewe.

Karibu kwa mtazamo wako.
 
Zawadi kwa Wabeligiji......wampe nchi yao awaongozee ila sio Tanzania tena apewe nchi kizembe tu kwa vikaratasi vinavyopigwa tick....bado saana hamna rangi ataacha ona mwaka huu
Naona umeamua kuwaumbua maccm wenzako kuwa mtaiba kura
 
Back
Top Bottom