Kadhi courts has no place in the constitution

Kadhi courts has no place in the constitution

em nikuulize kitu. Je unakubaliana na maagizo ya mtume kwamba Kweli kwamba bawa moja la nzi wa kijani lina dawa na lingine lina ugonjwa, hivyo nzi akitumbukia kwenye futari ama uji wa ngama unatakiwa umzamishe wote?
Je allah aliumba dunia kwa siku ngapi?

Teh teh teh teh!
Mgalatia kaanza kurusha ngumi hewani.

Huyo nzi wa kijani anatokea KIBOROLONI AU?

We si umebwatuka hapo juu kuwa nyie wakolosai mnaenda kI SAYANSI?

Sasa kamuulize profesa yesu wa msalaba yoka lini SUNGURA AKACHEUA? Na hizo nguzo zinazozuia mbigu ziko mkoa gani?
Na ilikuwaje akaleta Usiku na mchana KABLA YA JUA?

teh teh teh teh!

Ugalatia nuksi mkuu.

Si bora uwe ka wahindi tu!
Wao wanaabudu Ng'ombe ambae at least anatoa MAZIWA! Na mavi yake tunatumia kwa kurutubisha mazao.

Sasa anaeabudu picha ya Mzungu na Sanamu lake Anapata Nini?

Njoo jukwaa la dini nikupige msasa kidogo.
hapa kuna wapagani wengi sana wakiniona wanatamani Kulia kwa sauti kubwa sana.
 
katiba ya chenge huwa nzuri kwa makristo kama kipengere cha mahakama ya kadhi haipo ila jukwaani hapa wanasema ni mbovu wakristo mbona mnayumbishwa sana? kutokuwa na msimamo ndo maana ukija katoriki wanaamini yesu ni mungu ukija sanato wanasema yesu ni nabii
 
Kamanda Granta.
Hawa wagalatia na waefeso wanapata tabu sana.
Kila wakiona UISLAMU Unaendelea mavi yanawabana.

Makanisa yamejaa waliberali na wachungaji wenye kubaka watoto kila siku lkn hilo haliwapi tabu.
Tabu inawapata wakiskia waislamu HAWANA MACHAFU na wanapanga mikakati ya Maendeleo na kujulikana kwenye ngazi zote.

Ugalatia ni mzigo wa uliovunda.
Mara zote unatoa harufu mbaya
Ukristo hauogopi dini yoyote: kwani theolojia ya ukristo sio Idadi ya watu wala kushika dini.
Kinachoogopwa kwenye dini yenu.ni matendo ya kikatili yanayoonekana kuungwa mkono na dini yenu isiyotawalika ya kwamba ni matendo halali . Zikiwemo sharia zinazokiuka Utu wa binadamu na uhuru wake: kama kule ISIS na sehemu nyingine duniani. Wanabaka, wanachinja watoto, wanakeketa wanawake, wanalazimisha dini, wanaua wasio na hatia huku wakiimba allahu wakubaru. n.k. Nakuhakikishia kama Imani yenu ingekuwa haibaki uhuru na furaha ya mtu kuishi atakavyo hakuna ambaye angelalamikia.

Pia hata nyinyi hamna raha huko mnajutia kuzaliwa huko mngependa mukae kwenye kweli yote. lakini mmeshakamatwa na kamba(Kwa mujibu wa Koran Koran ni kamba). "shackles' , mtu akihamia hatakiwi kuacha,akiacha anauliwa, hatakiwi kuhoji, kila mtu lazima aamini. watoto madrasa wanakula mikong'oto kukremu shahada. We unadhani kuna mtu mwenye hamu na huu mtego?

Nakudokeza

Ninakuhakikishia hata waislamu wengi tu hasa wa bara hawako radhi kuona Tized inaongozwa kwa sharia na kadhi lakini hawana nafasi ya kutoa kauli zao kwenye mimbari, kwa hofu kuwa watapigwa mawe ama kuchinjwa.
Wanafurahia kuona wakristo wakizipinga na wanatuunga mkono. habari ndo hiyo
shetani we
 
Mkuu Kristians wanafanya mambo kisayansi.
Tatizo ni nyinyi wenyewe; Mna mahitaji mengi sana kwenye imani yenu yasiyotekelezeka. Na hii inaifanya imani yenu kuwa na mapungufu makubwa sana tena si kidogo. .Ndio maana hata sasa, uongozi wenu huko hamuukubali. Ila mumekuwa mkiuvumilia tu.
.
Mtu akiibuka na kapewa Hela ya mafuta huko arabuni akija na mihemuko yake ya kuleta vurugu mnasadiki moja kwa moja. Na kwa bahati mbaya mna watu wengi wenye uwezo wa kuwafanya mkajisikia wanyonge hata kama ni matajiri kuliko jamii nyingine. Wengi mnapewa mafundisho ya kuwasononesha na kuwafanya mjione wanyonge. Na mnapenda kuyasikiliza, kwakuwa yako mioyoni mwenu.Nyinyi ni inferior kwakuwa mnajikubali hivyo.Na hamwezi ondoa hilo kwenye roho zenu.
Zamani watu wengi walikuwa wanaamini ni kwa vile hamjasoma, mkaelimika. lakini siku hizi imegundulika hata mkisoma haisaidii. Hamwezi kuwa watu chanya kifikra.Kwani nyuma yenu mnakundi kubwa lisilo na Elimu.

Mfano; Kule Arabuni Wanachinjana kwa jina la dini kila kukicha: Lakini hamuwachi kusingizia Ni marekani na Mwisrael waliosababisha. Lakini hata ukiwaondoa hao: Haiwezi ondoa huu utamaduni wa mwenye nguvu ndiye msema kweli. Haijasaidia Somalia wala nyinyi hamjaonesha hisia za kuwasaidia wasomali miaka nenda miaka rudi. watakaoweza kuwasaidia wanatakiwa watoke kwenye dini nyingine.Na sio ya kwenu.

Hata hicho kipengele kwenye sensa kilionekana kitaenda kupandikiza mbegu ya chuki za kidini zilizokuwa zikishika kasi nchini: nyinyi hilo hamlioni. Na hata mkiliona ndilo mnalohitaji. Mnashangilia mkiona nchi inapelekwa kwenye Vurugu. KWa imani kuwa Mtashika dola.Jamhuri ya CAR waliamini hivyo hivyo. Tena washukuru wazungu kwenda kuokoa jahazi. Manake Iran ilipeleka pua kiupendeleo tu.

Swali la msingi
Je mnataka muonekane wengi ili mjisikie vizuri na muanze kunyanyasa wachache kwa kutumia wingi wenu?: inaonyesha hamjisikii vizuri hata sasa. Sijui hata kama umenielewa au unachagua cha kunielewa?
Azimio la Arusha: binadamu wote ni sawa na afrika ni moja. Tuache ubaguzi

Very nice and constructive criticism. I hope Muslims will be able to comprehend.
 
kweli unajua sipati picha. Hivi karne hii tuna vijana wenye mtazamo hasi kama huu?

Tumesoma wote, tumecheza wote, tunahudumiana mahospitalini na ofisi nyingine nk, hivi kwa nini tufike hapa?

Achana na kuwaona watu wengine vibaya, fuatilia maudhui ya shekhe salum wa dar es salaam kupitia radio one; utabadirika. Acha kabisa ubaguzi, ni hatari kuzidi moto wa chuma.

His replies are enough proof that Kadhi court is diabical
 
Ukristo hauogopi dini yoyote: kwani theolojia ya ukristo sio Idadi ya watu wala kushika dini.
Kinachoogopwa kwenye dini yenu.ni matendo ya kikatili yanayoonekana kuungwa mkono na dini yenu isiyotawalika ya kwamba ni matendo halali . Zikiwemo sharia zinazokiuka Utu wa binadamu na uhuru wake: kama kule ISIS na sehemu nyingine duniani. Wanabaka, wanachinja watoto, wanakeketa wanawake, wanalazimisha dini, wanaua wasio na hatia huku wakiimba allahu wakubaru. n.k. Nakuhakikishia kama Imani yenu ingekuwa haibaki uhuru na furaha ya mtu kuishi atakavyo hakuna ambaye angelalamikia.

Pia hata nyinyi hamna raha huko mnajutia kuzaliwa huko mngependa mukae kwenye kweli yote. lakini mmeshakamatwa na kamba(Kwa mujibu wa Koran Koran ni kamba). "shackles' , mtu akihamia hatakiwi kuacha,akiacha anauliwa, hatakiwi kuhoji, kila mtu lazima aamini. watoto madrasa wanakula mikong'oto kukremu shahada. We unadhani kuna mtu mwenye hamu na huu mtego?

Nakudokeza

Ninakuhakikishia hata waislamu wengi tu hasa wa bara hawako radhi kuona Tized inaongozwa kwa sharia na kadhi lakini hawana nafasi ya kutoa kauli zao kwenye mimbari, kwa hofu kuwa watapigwa mawe ama kuchinjwa.
Wanafurahia kuona wakristo wakizipinga na wanatuunga mkono. habari ndo hiyo
shetani we

ni kweli mkuu sisi ukristo mashoga wanaoana na mchungaji/anafungisha ndoa ya jinsia moja ukrito ni full bata
 
Ndugu yangu mavazi sio hoja,hata wamama wa Kiarabu huvaa hijabu nyeusi ti na hujifunika gubigubi mpaka machoni bila kujali ukali wa Jua.Kuhusu Mahakama ya Kadhi tunaijadili kwa sababu mnataka iwekwe kwenye katiba ya Nchi ambayo ni yetu sote.Kama mngejadiliana Misikitini usingeona mkristo anayejishughulisha.
@Farudume humwezi huyu.. Kwa taarifa yako huyu kahtaan ameshakula "bani" kibao humu hazina hata idadi. Mods wameamua kumwacha tu. Huyu kahtaan ni very controversial na ana-fans wake humu. Hapa ni kama Unadili na "Special case" ambayo kama wewe si mvumilivu utajikuta unatukana. Anajua ukweli wa Uislamu ila amekuwa agent wa kupindisha ukweli kwa makusudi. Ili kuendelea kulinda jina na fans wake.
ha ha ha ha ha
 
Nchi hii haina dini bali watu wake wana dini. Hivi endapo katiba inaruhusu uhuru wa kuabudu, tatizo ni nini?

Kwa taarifa hata Ukristu ni mfumo kamili wa maisha. Basi kadhi ikiingizwa, basi mahakama za kikristo na jadi ziingie.

ANZISHENI MAMBO YENU KWENYE IMANI ZANU BILA KUVUNJA HAKI ZA BINADAMU NA KATIBA.

Nani amekwambia ukristo ni mfumo kamili wa maisha acha kudanganya watu wewe mgalatia.
 
Lkn ni sawa Kuwaadhibu waislamu kwa kufuata Sheria mahakama za mkoloni aliyetuletea UGALATIA hapa Nchini sio?

Lbd nikuulize kitu hapa. Manake wengi wenu hatta hamjui KAZI ZA MAHKAMA YA KADHI.

Hapo juu umetaja habari ya mahkama ya kadhi KUTOA ADHABU Kana kwamba mahkama hii Ni SAWA NA MAHKAMA ZINGINE ZA KIEFESO!.

SWALI HILI HAPQ.
Je ! Unaweza kunitajia KAZI ZA MAHKAMA YA KADHI? au unabisha tu bila kuwa na Elimu yyt?

Hawezi kukujibu wengi wao huku ni kama KASUKU akili zao ziko maskioni kila wanalolisikia wanalisema bila hata kulichunguza.
 
bado hujajibu swali.

Ni kipi kinachowakwazisha wakristo au wasiokuwa waislamu ktk suala la mahkama ya kadhi?

Kwani mahkama ya kadhi umekuwa km ile dodoma wine mnayokunywa kila jumapili kukumbuka damu ya bwana? Na sasa mnahofu kuwa waislamu wakianza kunywa watamaliza stock yote!?

Kipi unadhanu kitakuwa tatizo kwako wewe binafsi au watu wa imani yako ikiwepo hio mahkama ya kadhi??

acheni ukauzu, katiba ni ya watanzania wote bila kujali imani zao, sasa iweje tuingize mambo ya dini moja?

Huoni kuwa hapo hakuna haki?

Mnataka muanze kukata watu mikono, kupiga watu mawe kama al-shababu (sheria za musa), kuwazuia warembo kuokoka kwa kulindwa na katiba?

Acheni ujanja ujanja; kwani mmekatazwa nini kwa mfumo wa sasa?
 
Mada imetulia lakini kuna vijana wa mujahidina wanataka kuharibu mada kwa sababu hawa hoja.
 
acheni ukauzu, katiba ni ya watanzania wote bila kujali imani zao, sasa iweje tuingize mambo ya dini moja?

Huoni kuwa hapo hakuna haki?

Mnataka muanze kukata watu mikono, kupiga watu mawe kama al-shababu (sheria za musa), kuwazuia warembo kuokoka kwa kulindwa na katiba?

Acheni ujanja ujanja; kwani mmekatazwa nini kwa mfumo wa sasa?
They will never get it? First, those guys don't even believe in themselves. They are mentally weak and have no knowledge of fiendish aljibmoh cult whatsoever.
 
@Farudume humwezi huyu.. Kwa taarifa yako huyu kahtaan ameshakula "bani" kibao humu hazina hata idadi. Mods wameamua kumwacha tu. Huyu kahtaan ni very controversial na ana-fans wake humu. Hapa ni kama Unadili na "Special case" ambayo kama wewe si mvumilivu utajikuta unatukana. Anajua ukweli wa Uislamu ila amekuwa agent wa kupindisha ukweli kwa makusudi. Ili kuendelea kulinda jina na fans wake.
ha ha ha ha ha
The person is suffering from low self esteem.
 
acheni ukauzu, katiba ni ya watanzania wote bila kujali imani zao, sasa iweje tuingize mambo ya dini moja?

Huoni kuwa hapo hakuna haki?

Mnataka muanze kukata watu mikono, kupiga watu mawe kama al-shababu (sheria za musa), kuwazuia warembo kuokoka kwa kulindwa na katiba?

Acheni ujanja ujanja; kwani mmekatazwa nini kwa mfumo wa sasa?

Si unaina eee!

Elimu hamna lkn midomo mireeeefu!

Aliyekwambia kuwa mahkama ya Kadhi inahukumu watu kukatwa mikono ni nani?

Kenya na Uganda kuna mahkama za KADHI!
Hebu nitajie KESI YYT ile ya mahkama hizo Zikamuadhibu yyt kwa kukata mkono wake au hata kupigwa viboko!!!.

Tunasema haya kila siku kuwa NYIE WAGALATIA kinachowaponza ni ELIMU NDOGO! full stop.

Ndio maana hata hizo ibada zenu makanisani mnatumia muda wenu mwingi KUIMBA na Kutikisa makalio Kuliko KUSOMA!

Ukipita karibu na kanisa utafkiri Kuna Billcana Club mpya imefunguliwa. Ni kwasakwasa kwenda mbele.

SOMENI enyi WAGALATIA ili mpate maarifa ya kujenga Hoja! Na huenda MKAEPUKA NA ADHABU YA JAHANNAM.

Ujinga Ni MZIGO Mkuu!
 
The person is suffering from low self esteem.

Teh teh teh!
Muke wa mwarabu MAX! Unatapatapa na Chupi ingine!
Ile ya ishmael imeshakubana makalio!
Teh teh teh teh!
Umetembelea Blog yako hivi karibuni?
Naona imejazwa links za Waislamu km Mvua!
Au kuna MUAHALABU amekununua Siku hizi!? Manake we ukukatiwa posho tu ss hivi unawageuzia kibao hao WAGALATIA wenzako!

Teh teh teh teh!
 
It seems you are scared of Christianity

All irreproachable human being should be VERY AFRAID OF CHRISTIANITY.

Jesus SAYS OPENLY that He want WAR!.

Read what He commands his Followers what.

Think not that I am come to send peace on earth: I came not to send peace, but a sword.
Matthew 10:34

He that hath no sword, let him sell his garment, and buy one.
-Luke 22:36

AND LOOK WHAT HE DID TO THE POOR GUYS! Who Rejected him.

Luke 19:12-27
He said therefore, A certain nobleman went into a far country to receive for himself a kingdom, and to return.... But his citizens hated him, and sent a message after him, saying, We will not have this man to reign over us.... But those mine enemies, which would not that I should reign over them, bring hither, and SLAY THEM BEFORE ME.

I and my brother Boko haram and all desent Humans ARE VERY AFRAID OF THAT DIABOLIC CULT.

GOD HELP US ON THAT.

Amen.
 
Last edited by a moderator:

[h=1]No end of murders in the name of Muhammad and Allah[/h] August 5, 2009 · by ivarfjeld · in endtimes, Israel. ·
There have never been a more deceptive religion than Islam. Still the Pope of Rome is willing to kiss the Koran, that has Jihad verses that tells faithful Muslims to murder and cripple people of other faiths.

Every day people are butchered by Muslims who are faithful to the Jihad verses in the Koran. Even Muslims murder their own brothers for the sake of the prophet Muhammad.
Here are fresh examples of the fruits of Islam:
The village of Gojra Pakistan:
No mercy, no love. Only killing in the name of Allah.

1st of August 2009:A Christian Pakistani has lost everything. Muslims came and put his family´s house on fire. Nine Christian killed, 50 houses burnt down, and 100 houses looted.
Those who have interfaith relationship with Muslims without using the opportunity to expose the fruits of this false and violent religion, will basically be held accountable for their participating in what is dark work of evil.

The Nigerian city of Bauchi:

No mercy, no love. Only killing in the name of Allah.

26th of July 2009: The Nigerian city of Bauchi. Muslims turns to violence. 39 non-muslims killed. 176 people arrested.
The Global lntifada is on, and its rapidly growing into a global disease. That Government of Western free and democratic states are supporting Islamic nations is a sign of spiritual blindness. The Price of this World has blinded them. To even think you can work together with Islam to bring peace and prosperity into this World, is a great and fatal deception.

The Islamic republic of Sudan, Darfur region:

One man alive. The rest are dead, killed by the soldiers of Islam

Ongoing genocide: The Islamic Government is behind a genocide of the basically non-Muslim tribal people of Darfur. No-one knows how many people have been murdered. May be as many as 200.000 dead. A thousand villages has been burnt, and there are presently three million refuges.
The suicide bombs of Bali:
Innocent tourists blown to pieces by a Islamic suicide bomber in Bali.

First of October 2005: The Bali bombings were two Islamic terrorist suicide bomb attacks. 20 tourists were slaughtered. 156 people wounded.
The Jewish Messiah Jesus, God the Son of God of Abraham, Isaac and Jacob is coming back. Who can stop Him?
This time He will not be coming as the Lamb of God, to pay a perfect atonement for our sins. Now he will come as the Lion of Judah. Behold, it is going to be the biggest shook you have ever had. Next, billions of people will be casted into the everlasting lake of fire. Thats were the Devil and all his children will spend the eternity.
Mosque bombs in Iraq:
This Muslim in Baghdad survived a suicide attack from a Muslim brother

Ongoing civil war: When the Shiite Muslims in Iraq marked their holiest day of the year bloody attacks on Mosques killed 36 people. Muslims are blowing up their own Mosques in the name of the Prophet Muhammad and Allah.
This is the truth about Islam. Do something about it today, so you do not end up as a part of this disaster.
Muslims who kill in the name of Islam is basically doing what the Koran demands from every Muslim. Slaughter those who do not want to submit to Sharia laws.​
[Sura 5:33]
«The just retribution for those who fight God (Allah) and His messenger (Muhammad), and commit horrendous crimes, is to be killed, or crucified, or to have their hands and feet cut off on alternate sides, or to be banished from the land. This is to humiliate them in this life, then they suffer a far worse retribution in the Hereafter».
The Pope in Rome is also kissing the Koran. The Catholic Church do not mind their leader taking part in such evil deeds of darkness:​
The late Pope did not represent the God of the Bible

It is your choice if you want to become a child of Jesus or a child of the father of all lies, the Devil.​
Jesus the Messiah said:
John 8:44
«You belong to your father, the devil, and you want to carry out your father's desire. He was a murderer from the beginning, not holding to the truth, for there is no truth in him. When he lies, he speaks his native language, for he is a liar and the father of l
 
[h=1]No end of murders in the name of Muhammad and Allah[/h] August 5, 2009· by ivarfjeld· in endtimes, Israel

«You belong to your father, the devil, and you want to carry out your father’s desire. He was a murderer from the beginning, not holding to the truth, for there is no truth in him. When he lies, he speaks his native language, for he is a liar and the father of l

Sasa we kama una ugomvi na WAKATOLIKI si useme tu!?
Habari ya 2009 UNALETA LEO?

Ohh waislamu bla..bla..bla..!

Halafu kila mstari UNAWEKA PICHA YA PAPA UPANGA Akipiga busu kitabu KITUKUFU!

HALAFU nashangaa huyu jamaa Sijui nani kampa Quraan Aiguse!!!!!!
Huyu mtu NI NAJISI TUPU!
Alitakiwa aogeshwe na ile PIPE YA KUZIMIA MOTO ndio Aweze kugusa QURAAN.
Nyambaff kabisa.

Ngoja waje WAKATOLIKI WAKUONE UNAVYOMTUKANA mungu wao wa KIZUNGU!

teh teh teh teh!

Calling 2013 Kakende RGforever Eiyer Mkuu wa chuo Nyakageni matumbo mgen mlevi Nicholas na dada mnyonga viuno Remote.

Na rafiki zangu wa karibu lusungo na Ntuzu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom