Kadinali mweusi abaguliwa waziwazi

Huo labda ni ukristo, Uislam upo kwa ajili ya Ulimwengu mzima: Tafadhali jisomee:

 
Hujui kusoma? Nimesema kama ina faida. Kuua Albino kuna faida gani?
 
Tatizo ni Shobo zetu. Tuachane na hizi mila za weupe tufuate mila zetu weusi. Makanisa na misikiti yao tuvunje tujenge sehemu zetu za kuabudia. Laa sivyo kizazi chetu kitaangamia milele.
 
Acha Shobo wewe mmatumbi na nywele zako za kipilipili, fuata tamaduni zako. Uislam ni tamaduni za kishenzi za waarabu.
Jinsi unavyoandika unaonesha upeo wako ulipoishia, kuwa Muislam ujifundishe maadili.
 
Nyie Halafu nyie mliokazania turudi kwenye dini zetu,sijui asili zetu rudini wenyewe!mi naenda na mzungu,huu ni u hamnazo!
 
Huyo cardinal hata vazi lake halina mkanda wa utukufu kwa mgongoni mwake
 
Hayo madini ndio yamefanya waafrika tukawa watumwa wakifkra na kuishi kama mashetani.
Bila dini sidhani kama tungekuwa kama tulivyo, msione tumeishaelevuka hali ilikuwa mbaya sana na dini imesaidia sana katika kuweka ulimwengu sawa, elewa kuwa hizi serikali unazoziona duniani kote zimetokana na miongozo ya dini, serikali imekuwa ya kucopy na kupest.
 
Wasioenda shule kama wewe wamekalia eti ubaguzi, walioenda shule kama akina Obama wanakuwa marais wa hao wanaodaiwa wabaguzi, ukifeli darasani siku zote utajiona unabaguliwa.
 
Kuna nchi nyingi tu hazina dini
 
Sio kweli, Kawa sababu sio utamaduni wa waafrika kukumbatiana hasa baina ya wanaume. Ukiwa makini utaona ndiye aliyeongea naye muda mrefu. Tusipotoshe pasipo stahili.

Kanisa la Roma ndilo dhehebu kubwa dunia ambalo viongozi wakuu (pope) watatu (3) wamewahi kuwa waafrika.

Hakuna dini nyingine yoyote ambayo imewahi kuruhusu mwafrika kuwa kiongozi mkuu. Sio uislamu, uyahudi, uhindi, ukonifusiani, ushinto wala ubutha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…