Kadinali mweusi abaguliwa waziwazi

Bongo Sio tamaduni zetu kukumbatiana wanaume kwa wanaume, hata mimi mwanaume kunikumbatia naweza mchapa kofi, nisikie joto lake la nini ?
 
Hayo madini ndio yamefanya waafrika tukawa watumwa wakifkra na kuishi kama mashetani.
Waafrika wanaofata dini kwa usahihi ni wachache wengi wanagusa.
Ukifata dini huwezi kuwa masikini
 
Hakuna Mkristo wa hivyo wa kuzidiwa hisia hadi arushe ngumi
 
Kuhusu ubaguzi huo ni mtazamo wako, usitake kuwaaminisha wengine, tangu lini watu weusi tukasalimiana kwa kupigana mambusu?, huo ni utamaduni wa wazungu, na sisi utamaduni wetu ni kusalimiana kwa kushikana mikono kama walivyofanya hapo.
Hata Dini ni utamaduni.

Wazungu ukristo wao ni utamaduni kwao.

Uislamu ni utamaduni kwa waarabu.

Iweje sasa waafrika kuiga utamaduni wa dini usio wahusu?
 
Wagalatia mmeona Miungu yenu imevaa kanzu ila nyie mnavaa nusu uchi😅😅.

Kuna mmoja karudi kuimplent lile agizo la kubariki ndoa za kina james delicious.
 
Waafrika walikuwa gizani kabla ya ujio wa dini,kwa maana waliabudu wasichokijua na wao kabla ya dini watakuhukumiwa kwa sheria ya maadili ya jamii yaani.
Do and don't do.
Wewe unacho kiabudu sasa hivi unakijua?

Kielezee na uki thibitishe.

Thibitisha kwamba waafrika walikuwa wana abudu wasicho kijua.

Eleza kinacho aabudiwa sasa hivi, kina utofauti upi na walicho abudu mababu zetu?

Kisha thibitisha na leta utafiti wa kuonesha kwamba mababu zetu waliamini wasicho kijua.
 
Kama wanabagua wasingempa Ukadinaari
 
Hivi kweli, ukiacha vyakula, ni kipi kinatumika nchini kwa mahitaji ya kila siku ambacho hakijaletwa na wageni?
 
Waliabudu mizimu kwa maana shetani akichukua advantage ya wao kutokumjua Mungu akajifanya mungu kwao wakimtolea sadaka na kafara za damu.
Mababu zetu walituingiza kwenye maagano ya ibada zao ambayo ndio yameleta shida kuu za watu wa Sasa zikiwemo vifungo,laana na mikosi mbalimbali mfano umasikini, magonjwa,udumavu wa fikra,nk.
Dini za Sasa zimeleta ukombozi wa mwili na roho kwa maana watu Sasa wanamuabduu Mungu wa kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…