Kadinali mweusi abaguliwa waziwazi

Kusema dini ya waafrika ni ipi hio maana kila jamii ilikua na dini Yao.
Kwanza hakuna dini ya waafrika tofautisha tamaduni na dini
Dini ni kuabudu nguvu iliyo kuu
Uko sahihi! Hata Wazungu nao walishawahi kuishi katika zama za giza wakiabudu "mapepo", hizo dini za kimila zilipungua au kufa baada ya ujio wa Ukristo.
 
sidhani kama alizamilia kubagua. mapadre wa kizungu ni mojawapo ya wanadamu ambao sio wabaguzi kabisa wa rangi, hata wanapokuja huku huja kwa ajili ya utume. kwa waafrica, kubusiana sio utamaduni wetu kabisa, yawezekana alijua tamaduni hiyo. hata mimi nisingependa mwanaume mwenzangu anibusu kwenye shavu, na ningegoma. na mwafrica angegoma naye angeonekana anambagua mzungu.
 
Kwani sisi wazungu ili tukumbatiane?

Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app
 
Wazungu kabla ya ujio wa dini toka Yerusalem waliabudu mizimu kama sisi,
Shetani ni mungu wa kuasi au Giza.
Kabla ya dini wazungu na waafrika hawakujua kama wanamuabudu shetani.
Umasikini, magonjwa nk yapo Afrika kwa sababu mwafrika ajaishika dini sawa yupo katikati.
Ujinga, upumbavu ni matokeo ya akili kuwa locked umasikini ni matokeo ya akili na Sio mazingira ndo maana Mungu amekupa 4H kama mtaji namba moja yaan HEAD, HEALTH,HAND and HEART ukivitumia hivi huwezi kuwa masikini.
 
 
 
Acha kulalamika, wakati uhuru wa kuabudu umepewa pia. Hakuna mtu amekulazimisha kuamini kwenye dini za wazungu na waarabu. Dini za kijadi zipo mpaka leo, kwanini wewe huendi kuziabudu?
Waache wanaotaka kuabudu kwenye hizo dini za kiarabu na kizungu, usiwalaumu, wewe nenda kaabudu kwa hizo za jadi kama unaziamini.
 


Ujinga tu, hakuna ubaguzi, kukumbatiana na mzungu kwanza nuksi
 

Tuziwape nguvu sana wabaguzi. Anaye kubagua wewe ndiye mwenye tatizo sio wewe unaye baguliwa🤔 ukiangalia vizuri sababu z ubaguzi hazina misingi wala sayansi yeyeote ni tabia za kijinga za watu. Huwezi kuongelea dini yote au mataifa yote kwasababu ya maamuzi ya mtu binafsi
 
Umetembea kwenye jamii zote za watu weusi? Nenda Sudan, Eritrea, Ethiopia na Somalia uone wanasalimianaje?
Wacha uongo wewe.Wanasalimiana kwa kubusiana???Huo ni uzushi.Wanaume wanabusiana kwenye hizo jamii ulizozitaja?Weka ushahidi kwani utamaduni huo haupo.
 
Kuacha Uchawi na kuacha kuabudu mizimu ndio laana?....una balaa wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…