😅😅😅😅! Kazi ipoIli alisujudu. Hujaona kwenye picha mama alivyolibusu? Hapo roho kwatu.
PC ya kwanza ni kanisani akaunganisha kwenda nyumbani kwa mjaneMilango kama ya Kanisa!
Nadhani kampelekea uchuro... labda mwendazake alipenda sana sanamuKhaaa...sanamu? Bora basi angempa bible!
Hatari sana sheikh wangu ..nikajua mlinzi wa wagonjwa ni Mungu na mwanae Yesu !Dah! Kardinali nae kazingua! Ona sasa michango kutoka kwa hawa Wakatekumeni wasio ufahamu Ukatoliki kwa undani walivyo ishupalia hiyo sanamu ya Mama Bikira Maria!!
Ni Wakatoliki pekee ndiyo wanao zitambua nguvu za Mama Bikira Maria Mlinzi wa Wagonjwa.
🤣🤣🤣🤣..kivuruge mlevNadhani kampelekea uchuro... labda mwendazake alipenda sana sanamu
Mama kagoma kuvaa BARAKOAKadinali leo amemtembelea Mama Janeth Magufuli na kumzawadia Sanamu ya Bikira Maria Mtakatifu
View attachment 1765445
View attachment 1765446
View attachment 1765447
View attachment 1765448
Unadhani kwakuwa wewe umetaga bila kugegedwa na jogoo, ni kuku wote wana nasaba kama yako?Mbowe amepata chanjo ya corona.
Je nyumbu wake je?
Kivuruge nani sasa? Mimi au mwendazake, au mama Janet, au askofu Pengo au sanamu?🤣🤣🤣🤣..kivuruge mlev
Sanamu ina maana yake kubwa .Kwakweli kuna Imani za ajabu dunia,mimi pia nadhani Biblia ingemfaa zaidi ya hicho kidubwasha alichompelekea.
Kitabu kama Zaburi kina maneno ya kutia moyo na faraja kwenye nyakati ngumu,kama anaopitia huyo mama.
Hahahahahahahahahahaha.....Kivuruge nani sasa? Mimi au mwendazake, au mama Janet, au askofu Pengo au sanamu?
Hapo ndo mnapo nivuruga akiliSanamu ni nini?Kazi yake ni nini?Kama huelewi kitu unauliza.Katika imani katoliki sanamu ni sehemu ya vitu vinavotumika katika ibada mbalimbali.
Kwani hujajua mwendazake alijenga kanisa home kwake? Padre ili afanye misa lazima aombe kibali Ikulu...Milango kama ya Kanisa!
Kwani wewe ni mkatoliki?Hapo ndo mnapo nivuruga akili
Yani nini kinakuchekesha lakini mumu?Hahahahahahahahahahaha.....
🤣🤣🤣🤣🤣...mie sanamu la nini..mjane mpeni hela akajipumzishe nje huko arghhYani nini kinakuchekesha lakini mumu?
Nikutumie zawadi ya jisanamu linalopumua? Usiku linakukonekti na mwendazake unasalimiana na malaika anaowaongoza hivi sasa
Atakua analiomba limsaidie kila siku kabla ya kulala.Sasa hilo Sanamu la kazi gani?
Mnoo....Huyu kadinali alikuwa mnafiki sana wakati wa utawala wa magufuli kwa kufumbia maovu na kushindwa kuyakemea.
Mjane ana mahela mengi mwendazake alijichukulia kwenye maakaunti ya kina Mo...🤣🤣🤣🤣🤣...mie sanamu la nini..mjane mpeni hela akajipumzishe nje huko arghh