Kadinali Rugambwa ampokea Rais Samia Tabora

Kw

Kwahiyo ni Askofu Mkuu wa kanisa lipi!? Na nchi ipi?!
Anakua Askofu mkuu wa Jimbo kuu
Tuna Maaskofu wakuu 7 na Askofu Mkuu mwandamizi 1 na maaskofu wakuu wastaafu nadhani wawili.

Askofu Mkuu Ruwaichi - DSM
Askofu Mkuu Kinyaia - DOM
Askofu Mkuu Aman - ARUSHA
Askofu Mkuu Nkwande - Mwanza
Askofu Mkuu Nyaisonga - Mbeya
Askofu Mkuu Dallu - Songea
Askofu Mkuu Ruzoka - Tabora
 
Hili Kanisa hili jamni, nilifukuzwa seminary nikiwa form six..

Dadangu aliolewa Kwa wa KKKT na Wazazi wakapokea mahari kimyakimya... Aisee sijui walijuaje.

Niliitwa nikiwa kwenye sakristia najiandaa na Ibada-ikawa for food
Unataka kusemaje yani kwa mfano?
 
Usichukulie poa nguvu ya Kadinali wa kanisa katoliki,eti ceremonial.Huyo anaongea moja kwa moja na papa,ni mshauri wake,anaingia kwenye papal conclave.
Anao uwezo wa kuwasagia kunguni maaskofu wengine kwa papa
Muulize Kilaini kilichompata aliposema Kikwete chaguo la Mungu
 

Na Samia kamtembelea Askofu Mkuu wa kanisa katoliki Nchini Tanzania....akienda Arusha na kumtembelea Aman... habari itakua hiyo hiyo.
 
Good...kama ilivyo kwamba sio kila Mkoa au Jimbo kuwa na Waziri...but kila Mkoa una wabunge.
 
Wako
Hakuna Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Tanzania, kuhusu kuhamishwa kwa Ruwaichi kuja Dar ni kwasababu alionekana anaweza kuwa mrithi sahihi wa Askofu Mkuu Polycarp Kardinali Pengo kama Askofu Mkuu wa jimbo la Dar es salaam.
Am told wako Saba na kardinali wawili...leo mama Samia kamtembelea Askofu Mkuu Kardinali Rugambwa
 
Duh! Nilizaliwa kwenye ukatoliki na kubatizwa huko ila nilijua kadinali ndiyo askofu mkuu wa kanisa katoliki Tanzania kumbe sivyo. Kwa hiyo papa anaweza kuteua makadinali zaidi ya mmoja katika nchi moja? Sasa kwa ujumla nani ni mkuu wa kanisa katoliki Tanzania ukijumuisha majimbo yote? Nani analisemea kanisa huko serikalini? Au ndio hao TEC kwa pamoja?
 
Hili Kanisa hili jamni, nilifukuzwa seminary nikiwa form six..

Dadangu aliolewa Kwa wa KKKT na Wazazi wakapokea mahari kimyakimya... Aisee sijui walijuaje.

Niliitwa nikiwa kwenye sakristia najiandaa na Ibada-ikawa for food
Yaani natamani niipate story full Nimecheka Sana mkuu Ila nisamehe. Mie nilichoka dogo mmoja alipopokea maelekezo ya kwenda itss kutoka kwa Paroko mmoja na recommendations zilitoka huko nasasa ni Afisa mkubwa huko kwa vipenyo Ila mpaka leo hajui nani alimpa kazi zaidi ya Paroko[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…