Inadaiwa Dangwa amakutwa amekufa chumbani kwake. Na Japan si wa hivyo kwa kuchunguza. Haana utaalamu say kama Scotland Yard! Masikini binti wa watu!Hii haina comeback wala reverse! Mkiweza simamisheni sass hizi project za kupoteza, kuua kutesa na kudhalilisha watu.. Huku wengine mkiwabambikia kesi zisizo na dhamana
Vijana na watu wema na makini kama kina Mzee Kibao, Kiswahili, Kipanya, Soka, Mdude na mamia wengine huwezi kuwafananisha na akina nabii tito na mwandambo
Kuna hii list ya akina Pole pole, Kazungu and the like.. Ni watu walitoa hoja na mitazamo yenye mashiko
Kwenye makundi yote hayo kila walipopotezwa mmoja au zaidi.. Waliibuka wengine radical zaidi
Rachel Dangwa anafahamika vema style yake! Lakini huyuhuyu ndie aliyewasaidia pakubwa kupooza maandamano ya 77.. Sasa hatima yake haijulikani
Kupotea kwa Rachel kumemuibua nabii Tito.. Shoga aliyekubuhu na chizi fresh.. Taratibu na hii coming back yake anaweza kuonekana shujaa muda si mrefu
Natambua hamna uvumilivu sana.. Hivyo Tito akiendelea kuwananga mnaweza kumfikia.. Huyu yeye haogopwi kulawitiwa maana ndio starehe yake... Ila kitakachotokea mtachekwa dunia nzima kwa kuonekana mnadili mpaka na machizi
Kwa hali ilivyo sasa msipobadilika huko mbeleni wataibuka machizi wengi zaidi na radical zaidi huku watetezi wenu wakiwa kina mwaipopo na mwandambo
Kuna nafasi finyu imebaki ya kurekebisha mambo.. Lakini sidhani kama mtaitumia
Nimesoma mahali ngoja nikipapata mikurushie. Nimesimitika sana, amenitoa machoziNadhani haijathibitishwa
https://www.facebook.com/Nimesoma mahali ngoja nikipapata mikurushie. Nimesimitika sana, amenitoa machozi
Dangwa amakutwa amekufa chumbani kwake. Na Japan si wa hivyo kwa kuchunguza. Haana utaalamu say kama Scotland Yard! Masikini binti wa watu!
Huyu ashajikanyaga, maskini hajui kucheza na maneno kinafki.
Nimeipenda hii :- being intelligent is a curce 😳🙄 !taifa la machawa, ambapo mtu asiyekuwa chawa anaonekana ADUI.
Aliekwambia japan hana utaalam wa kuchunguza ni nani? Unaijua NPA?Dangwa amakutwa amekufa chumbani kwake. Na Japan si wa hivyo kwa kuchunguza. Haana utaalamu say kama Scotland Yard! Masikini binti wa watu!
Kuliko kuoa mwanamke mwenye akili kama hizi ni bora nilale na mavi kitandani ,bora harufu ya mavi kuliko huyu
Ukweli mchunguHii haina comeback wala reverse! Mkiweza simamisheni sass hizi project za kupoteza, kuua kutesa na kudhalilisha watu.. Huku wengine mkiwabambikia kesi zisizo na dhamana
Vijana na watu wema na makini kama kina Mzee Kibao, Kiswahili, Kipanya, Soka, Mdude na mamia wengine huwezi kuwafananisha na akina nabii tito na mwandambo
Kuna hii list ya akina Pole pole, Kazungu and the like.. Ni watu walitoa hoja na mitazamo yenye mashiko
Kwenye makundi yote hayo kila walipopotezwa mmoja au zaidi.. Waliibuka wengine radical zaidi
Rachel Dangwa anafahamika vema style yake! Lakini huyuhuyu ndie aliyewasaidia pakubwa kupooza maandamano ya 77.. Sasa hatima yake haijulikani
Kupotea kwa Rachel kumemuibua nabii Tito.. Shoga aliyekubuhu na chizi fresh.. Taratibu na hii coming back yake anaweza kuonekana shujaa muda si mrefu
Natambua hamna uvumilivu sana.. Hivyo Tito akiendelea kuwananga mnaweza kumfikia.. Huyu yeye haogopwi kulawitiwa maana ndio starehe yake... Ila kitakachotokea mtachekwa dunia nzima kwa kuonekana mnadili mpaka na machizi
Kwa hali ilivyo sasa msipobadilika huko mbeleni wataibuka machizi wengi zaidi na radical zaidi huku watetezi wenu wakiwa kina mwaipopo na mwandambo
Kuna nafasi finyu imebaki ya kurekebisha mambo.. Lakini sidhani kama mtaitumia
Kujibu haya,inahitaji iq kubwa sana!
Ipo siku watakamata chizi in public halafu dunia nzima iwashangae, aibu itakuwa yao✍🏿Wameishiwa akili ya kupambana na watu smart, sasa hivi wamebaki na level ya kudili na machizi tu.
Ipo siku watakamata chizi in public halafu dunia nzima iwashangae, aibu itakuwa yao.