johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #21
๐๐๐๐Kama ukitaka tembea kwa miguu๐
Au apande Shukrani ๐๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐๐Kama ukitaka tembea kwa miguu๐
Hayo masaa mawili mengi sana mkuu, yn imechelewa sana inatakiwa iwe dkk 90Kama itatumia masaa mawili it is ok
Mpaka Safar zianze ntakuwa nnayoNauli unayo? ๐คฃ
Sawasawa tajiriiiiii ๐Mpaka Safar zianze ntakuwa nnayo
Kama ni 90 minutes poa tuu
Ile ya afu 13 ni ipi? Mbona kama raia tunachanganywa?Mkurugenzi wa TRC Kadogosa amesema nauli ya Treni ya Mchongoko( Mjusi) itakuwa Kati ya tsh 100,000 - 120,000
Source: Swahili Times
Mlale Unono ๐๐
LATRA ni nchi kavu na majini.. Sio angani wala juu ya vyuma.Kwan hawa trc hawapo latra? Maana nnavyojua latra kwa kushirikiana na wadau ndo wanachakata viwango vya naul! Ila hilo la laki tatu tumien tu kusombea wana ccm kwenda kwenye mikutano ya ccm! Likifa muuze kama mlivyouza bandari
Ile ya Moro, treni ya umeme ya kawaida. Ile isio mchongoko.Ile ya afu 13 ni ipi? Mbona kama raia tunachanganywa?
Ata kama adventure, kutoa ushamba ila hii pesa kubwa sana.Kuna watu niliwaambia baada ya bei iliotoka juzi kuwa lazima kutakuwa na bei ya EXPRESS TRAIN. Wakaniona chizi.
Aisee! Nilijua EXPRESS itakuwa na bei juu ila sio kiasi hiki.Mkurugenzi wa TRC Kadogosa amesema nauli ya Treni ya Mchongoko( Mjusi) itakuwa Kati ya tsh 100,000 - 120,000
Source: Swahili Times
Mlale Unono ๐๐
Waikate hio pua jamani.
Lakini gari zetu wengine Dar Dom wewe 200,000/-. Kwenda na kurudi 400,000/-Ata kama adventure, kutoa ushamba ila hii pesa kubwa sana.
kuwasikiliza hawa maofisa na viongozi wa ccm ni sawa na kula kinyesi tuDar- Dom dak 90???
Bora. Kuliko kuibiwa adharani.Lakini gari zetu wengine Dar Dom wewe 200,000/-. Kwenda na kurudi 400,000/-
Ukiweka risks,wear and tear nitapanda treni.Bora. Kuliko kuibiwa adharani.