Kadogosa: Nauli ya Treni ya Mchongoko Dar - Dodoma itakuwa tsh 100,000 - 120,000

Kadogosa: Nauli ya Treni ya Mchongoko Dar - Dodoma itakuwa tsh 100,000 - 120,000

Nadhani SGR wa-focus zaidi mizigo kuliko abiria wapunguze malori barabarani; sio kuyapunguza kwa lazima bali kwa unafuu wa bei, muda, rushwa za barabarani, n.k.

Wakijielekeza usafirishaji abiria inanipa shaka itakuwa kama the so called "mwendokasi" ambao ndani ya muda mfupi umekosa kabisa mwelekeo.
Mizigo itoke wapi?
 
Umeme wa kuendeshea treni 336,000 ila nauli ya abiria mmoja 100,000-120,000
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa amesema Treni ya Reli ya Kisasa (SGR) imetumia umeme wa Sh336,000 katika safari ya abiria ya majaribio kutoka jijini Dar es Salaam mpaka Morogoro na kurudi leo Februari 26, 2024.
 
Back
Top Bottom