Kadogosa: Safari za SGR kutoka Dar - Moro zimechelewa kwasababu ya hatuna Vichwa vya Treni

Kadogosa: Safari za SGR kutoka Dar - Moro zimechelewa kwasababu ya hatuna Vichwa vya Treni

Hizo hesabu zinashangaza: Mara asilimia 100, mara bado vitu vidogo vidogo - vichwa vitauma!
Na hayo yote anayasema mbele za watu wenye akili timamu; lakini hilo halimuzuii kujionyesha kuwa kama chizi asiyetambua analozungumzia!
Huyu sasa anajiona yupo juu sana, hawajibiki kwa mtu yeyote, kwa hiyo ni kawaida kwake kuropoka lolote linalo muingia akilini
 
Yaani sababu za kijinga kabisa, unawezaje kupata behewa 40+ kwa wakati ushindwe pata kichwa kwa wakati? Halafu anakiri kuwa vingunguti bado reli haijamaliziwa so hicho kichwa bado hakiwezi fanya kazi
Na anasema imekamilika kwa asilimia 💯 !!!
 
CCM acheni ngonjera chama changu mwaka mmoja nyuma uliopita yalishuka mabehewa na vichwa chakavu watu walipiga kelele mkasema ni vya mkandarasi Kwa ajiri ya testing Leo tena mnasema hivi kile kichwa Cha juzi na behewa zake ziingie mzigoni acheni kelele reli inapata kutu na kuzingirwa na nyasi kabla ya matumizi
 
Imekufa Kibudu Kabla Ya Kutembea
Yaani hakuna kitu ni maigizo tu na pesa zishaliwa mara aseme imekamilika asilimia 100 alaf vichwa havijafika na kuna sehemu za kumalizia ww kwa akili za kawaida unaelewa nini hapo
 
Yaani hakuna kitu ni maigizo tu na pesa zishaliwa mara aseme imekamilika asilimia 100 alaf vichwa havijafika na kuna sehemu za kumalizia ww kwa akili za kawaida unaelewa nini hapo
Kwa Akili Ndogo Ya Kuvukia Barabara Ama Kunyonyolea Kuku
Hakuna SGR Itakayotembea Zaidi Hujuma Imekamilika
Muda Huu Wanatupigia Porojo Tu
 
Kuna umuhimu gani wa kutaja kabila la mtu badala ya jina na cheo chake, acha upumbavu.
Sasa wewe, kwani mimi nilikufanya uwe msukuma? au hulipendi kabila lako, na matusi ya nini wakati mtu mwenyewe unajidefine kwa jina lako hapo, ni mtu wa hovyo kabisa. sihitaji hata kubishana na wewe.
 
Hizo ni porojo tu. Msubiri mpaka 2026. Huyu Bwana si Mhe. Mpina aliwataja kuwa wawekwe lupango kwa kuongeza gharama ya kipande cha kutoka Makutopora mpaka Tabora.
 
Back
Top Bottom