Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
CAG atathibitisha usheitwani wao wa uongo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uongo vipi wakati treni lina mita ya umeme
Kashusha gharama za umeme uliotumika, labda usiwe na uelewa na issue za motor ndio utakubali huo ujinga anaousema.Waswahili kiboko
Yaani mtu anashangaa au anakataa hiyo gharama wala sielewi
Halafu nasubiri nisome gharama halisi anazozikataa hizo sioni
Sasa na mimi mwingine hapa siongezi bei bali nasema gharama ni buku tu kwenda na kurudi
Mswahili mpe picha mengine tuachie wenyewe tupigane kwa keyboard
Yawezekana labda wameunga low tariff, maana Kuna watu wapata unit 72 kwa elfu 10, lkn wengine wazipata Kwa elfu 27 .Ataje idadi ya unit za umeme zilizotimika .Sasa mnataka aseme wametumia wa milioni 2 ili kukufurahisha wewe? Majitu mengine mkoje?
Tunataka technical report in terms of speed, tonnage, safety, economic aspect of it as compared to the former ...and the like. Siyo story za layman kama hivi ...
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa amesema Treni ya Reli ya Kisasa (SGR) imetumia umeme wa Sh336,000 katika safari ya abiria ya majaribio kutoka jijini Dar es Salaam mpaka Morogoro na kurudi leo Februari 26, 2024.
“Miundombinu ya treni ya umeme ni gharama kubwa ukilinganisha na ile ya inayotumia mafuta lakini kwenye gharama za uendeshaji wa treni ya mafuta ni mara tatu ukilinganisha na treni ya umeme,” amesema Kadogosa alipokuwa akifanya mahojiano na Wasafi FM.
Akizungumzia kuhusu nauli za abiria zitakazotumika, Kadogosa amesema shirika hilo limewasilisha mapendekezo yake kwa Latra yenye jukumu la kutangaza nauli hizo.
Ameongeza kuwa, upatikaaji wa mizigo mingi utachangia kupungua kwa nauli kwenye treni ya abiria na kufanya watu wengi wawe na uwezo wa kumudu bei za kupanda treni hiyo.
“Tunatarajia kupata fedha zaidi kwenye mizigo na ndio maana unaona tunajenga reli kwenda Msongati sababu kuna machimbo ya Nikel, tunakwenda kwa sababu tutapata mzigo kutoa kule na kupeleka bandarini. Upatikanaji wa mzigo ndio utatufanya tusiwe na bei kwenye treni ya abiria,” amesema.
Treni ya umeme ya abiria imefanya safari ya kwanza ya majaribio hii kutoka Dar es Salaam kwenda Morogoro huku ikitumia takribani saa nne kwenda na kurudi.
Tuhesabie speed yake.

Mainjinia wetu watuwekee mahesabu ya unit sasa... Jamiiforum Huwa kuna vichwa vya hatari walipata A+ kule chuo kikuu. Sasa wekeni formula hapa ya ku-calculate electrical power consumption tulinganishe na taarifa ya mkurugenzi ya gharama.mwisho tutasikia imetumia umeme wa 560, ila watuambie limetumia unit ngapi? ama watuambie hizo pesa ni sawa na unit ngapi za umeme?. kichwa kilikuwa kinavuta behewa ngapi toka dar hadi moro?, kimetembea speed ngapi?, na unit za umeme kimetumia ngapi?, watuambie na unit moja ya umeme wa sgr ni kiasi gani?...tuone uhalisia upo wapi
Wametumia masaa manne kwenda na kurudi morogoro , speed ambayo nadhani ni karibu na full speed ya hiyo treniWamechukua muda sababu....hawawezi enda full speed...kwenye test....mdogo mdogo test ya pili wataongeza speed kidogo.....test 3 etc....then wataweka constant speed wakianza safari biashara
I am not an engineer, but with modern sources of knowledge, one can gather as follows. Kadogosa should present something like thisMainjinia wetu watuwekee mahesabu ya unit sasa... Jamiiforum Huwa kuna vichwa vya hatari walipata A+ kule chuo kikuu. Sasa wekeni formula hapa ya ku-calculate electrical power consumption tulinganishe na taarifa ya mkurugenzi ya gharama.
Mimi sio mhandisi
Mnapenda kubisha tu. Mnatamani bei iwe kubwa ili ishindikane muanze kumlaumu marehemu. Mna mambo ya kitotoMmh!![emoji54][emoji54] bado Sana inakula umeme iyo.
Hapo halikuwa na abiria kivile limekula umeme Ivo sasa ngoja liongeze mabehewa libebe na abiria uone umeme wake utakuwaje, bado linakula umeme Ilo kwa kuliangalia tu Kwanza lizito.Atupe maspecifikesheni ya hio treni tumkalukuletie hio gharama tuone kama kweli imefikia
Electric train 1
Economy: 1.6 kWh per 100 passenger-km (full), 0.016 kWh/p.km
Its not clear if this energy consumption is average or max power.
Economy: 4.4 kWh per 100 passenger-km (full), 0.044 kWh/p.km
High speed intercity train
Electric Economy: 3 kWh per 100 passenger-km (full), 0.03 kWh/p.km
Ameongeza kuwa, upatikaaji wa mizigo mingi utachangia kupungua kwa nauli kwenye treni ya abiria na kufanya watu wengi wawe na uwezo wa kumudu bei za kupanda treni hiyo.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa amesema Treni ya Reli ya Kisasa (SGR) imetumia umeme wa Sh336,000 katika safari ya abiria ya majaribio kutoka jijini Dar es Salaam mpaka Morogoro na kurudi leo Februari 26, 2024.
“Miundombinu ya treni ya umeme ni gharama kubwa ukilinganisha na ile ya inayotumia mafuta lakini kwenye gharama za uendeshaji wa treni ya mafuta ni mara tatu ukilinganisha na treni ya umeme,” amesema Kadogosa alipokuwa akifanya mahojiano na Wasafi FM.
Akizungumzia kuhusu nauli za abiria zitakazotumika, Kadogosa amesema shirika hilo limewasilisha mapendekezo yake kwa Latra yenye jukumu la kutangaza nauli hizo.
Ameongeza kuwa, upatikaaji wa mizigo mingi utachangia kupungua kwa nauli kwenye treni ya abiria na kufanya watu wengi wawe na uwezo wa kumudu bei za kupanda treni hiyo.
“Tunatarajia kupata fedha zaidi kwenye mizigo na ndio maana unaona tunajenga reli kwenda Msongati sababu kuna machimbo ya Nikel, tunakwenda kwa sababu tutapata mzigo kutoa kule na kupeleka bandarini. Upatikanaji wa mzigo ndio utatufanya tusiwe na bei kwenye treni ya abiria,” amesema.
Treni ya umeme ya abiria imefanya safari ya kwanza ya majaribio hii kutoka Dar es Salaam kwenda Morogoro huku ikitumia takribani saa nne kwenda na kurudi.
Acha uongo, Nickel haipo kabisa kwenye rare metalsPigia Mstali Nikel
Ndio utaona Mabeberu si watu wa kuchezea.
Kumbuka Nickel is one of rare metals highly demanded in Tech World
TumepigwaAmeongeza kuwa, upatikaaji wa mizigo mingi utachangia kupungua kwa nauli kwenye treni ya abiria na kufanya watu wengi wawe na uwezo wa kumudu bei za kupanda treni hiyo.
Kudaadeki