DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Alee mtotoTo ushauri wako Sasa,afanyeje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alee mtotoTo ushauri wako Sasa,afanyeje?
Akubali kulea mtoto mkuuHaaah ww unahisi afanyeje na ujinga ni wake
Acha aikute tu hiyo balaa lakini kiumbe amenusurika kuuawaMumewe akitoka jela si itakuwa balaa?
Mbombo ngafuAliolewa miaka miwili iliyopita(2017),miezi miwili baada ya kuolewa mumewe akahukumiwa miaka 40 kwa makosa la unyang'anyi wa kutumia nguvu na makosa mengine(alimuoa akiwa nje kwa dhamana)
Bibie akawa amekata tamaa kabisa japokuwa walikata rufaa na kesi ilikuwa inaendelea,akaanza mahusiano ya kimapenzi na jamaaa mmoja kwa siri sana,hivi ninavyoandika uzi huu bibie keshatundikwa mimba na anatarajia mwezi wa nne mwakani ampokee Kijacho.
Wakati anatarajia kupokea huo ugeni mumewe naye kashinda kesi ya unyang'anyi wa kutumia nguvu na kesi zingine kwahiyo atatumikia jela miaka mitatu tu jela,panapo majaaliwa mwezi wa Saba mwakani jamaa atakuwa uraiani,ngoma nzito.B
ibie anawaza kuichomoa mimba ili ainusuru ndoa yake pia maisha yake,maana mumewe sio mtu wa mchezomchezo,kamshirikisha mtu wake kile anachofikiria kukifanya mtu wake anamwambia ukitoa mimba ama zako ama zangu la sivyo ukishajifungua mtoto siku hiyo hiyo niachie nitampeleka kwenye vituo vya kulelea watoto yatima ili akija mumeo muendelee na maisha yenu.
Ila sikubali mimba ichomolewe ikichomolewa na chomoka hukohuko,yupo njia panda anawaza hajui afanye nini kote kwa moto,kaniomba ushauri nimeshindwa kumpa ushauri hatimaye nimekuja kwenu wanajukwaa tiririkeni.
Atamlelea wapi sasa huyo mtoto?Je azae halafu ampe mzazi mwenzake?laiti angejua uzazi wa sas iv ulivyo washida atasijarbu kutoa iyo mimba.. yeye azae bwana akitoka amwambie hali ya halisi na ukweli siku zote umuweka mtu huru. ajiandae kwa lolote atakalo amua bwana mwisho wa siku maisha lazima yaendelee tu
DuhMwambie amtafute police njaa yyte ampe mtonyo kisha amfungulie jarada la kisela ambalo maelezo yake yaseme kwamba kabakwa na kusababishiwa ujauzito kuhusu tarehe ya siku ya tukio ifojiwe kwa kukokotoa kurud nyuma kadri ya umri wa mimba after kutoka jera huyo bwana ake Og apewa maelezo na uthibitisho huo na Huyu jamaa mchepuko akijifanya kumfwatilia mtoto amwangushie jumba bovu kwa kumchana bwana ake kwamba huyo mchepuko ndy moja kati ya watu walio mbaka
Watery, Ni mwislam ,je asipotoa akaamua kuzaa huyo mtoto atalelewa na nani?
jaman mbn mnacomplecate mambo atamlelea wapi ndo nini? kwan huyo bint hana kwao? ikitokea ndoa imekufa si unarudi nyumbn kinachotakiwa apo bint ajiandae kwa lolote tu ndo maana nasisitiza kila siku kuhus wanawake kujishughulisha stress zinakuwa tofauti.Atamlelea wapi sasa huyo mtoto?Je azae halafu ampe mzazi mwenzake?
dah kwel ww geniousMwambie amtafute police njaa yyte ampe mtonyo kisha amfungulie jarada la kisela ambalo maelezo yake yaseme kwamba kabakwa na kusababishiwa ujauzito kuhusu tarehe ya siku ya tukio ifojiwe kwa kukokotoa kurud nyuma kadri ya umri wa mimba after kutoka jera huyo bwana ake Og apewa maelezo na uthibitisho huo na Huyu jamaa mchepuko akijifanya kumfwatilia mtoto amwangushie jumba bovu kwa kumchana bwana ake kwamba huyo mchepuko ndy moja kati ya watu walio mbaka
Ushauri umefika maadamjaman mbn mnacomplecate mambo atamlelea wapi ndo nini? kwan huyo bint hana kwao? ikitokea ndoa imekufa si unarudi nyumbn kinachotakiwa apo bint ajiandae kwa lolote tu ndo maana nasisitiza kila siku kuhus wanawake kujishughulisha stress zinakuwa tofauti.
Wewe unaetaka mtoto auawe una akili sana?Huyo bwana hana akili kwahyo azae halafu mtt apelekwe wapi?! Mwambie huyo dada afanye kile anaona sahihi kwa manufaa yake.kama kutoa ni sahihi kwake atoe na kama ni kuiacha aache
Asubiri bwana Jela arejee uraiani kisha wakae washauriane nini cha kufanya, ushauri tutakaompa huku ni kuiongezea Mitandao ya simu faida tu kupitia bundle!Aliolewa miaka miwili iliyopita(2017),miezi miwili baada ya kuolewa mumewe akahukumiwa miaka 40 kwa makosa la unyang'anyi wa kutumia nguvu na makosa mengine(alimuoa akiwa nje kwa dhamana)