Kafanya usaliti anahitaji msaada wenu

Kafanya usaliti anahitaji msaada wenu

Aliolewa miaka miwili iliyopita(2017),miezi miwili baada ya kuolewa mumewe akahukumiwa miaka 40 kwa makosa la unyang'anyi wa kutumia nguvu na makosa mengine(alimuoa akiwa nje kwa dhamana)

Bibie akawa amekata tamaa kabisa japokuwa walikata rufaa na kesi ilikuwa inaendelea,akaanza mahusiano ya kimapenzi na jamaaa mmoja kwa siri sana,hivi ninavyoandika uzi huu bibie keshatundikwa mimba na anatarajia mwezi wa nne mwakani ampokee Kijacho.

Wakati anatarajia kupokea huo ugeni mumewe naye kashinda kesi ya unyang'anyi wa kutumia nguvu na kesi zingine kwahiyo atatumikia jela miaka mitatu tu jela,panapo majaaliwa mwezi wa Saba mwakani jamaa atakuwa uraiani,ngoma nzito.B

ibie anawaza kuichomoa mimba ili ainusuru ndoa yake pia maisha yake,maana mumewe sio mtu wa mchezomchezo,kamshirikisha mtu wake kile anachofikiria kukifanya mtu wake anamwambia ukitoa mimba ama zako ama zangu la sivyo ukishajifungua mtoto siku hiyo hiyo niachie nitampeleka kwenye vituo vya kulelea watoto yatima ili akija mumeo muendelee na maisha yenu.

Ila sikubali mimba ichomolewe ikichomolewa na chomoka hukohuko,yupo njia panda anawaza hajui afanye nini kote kwa moto,kaniomba ushauri nimeshindwa kumpa ushauri hatimaye nimekuja kwenu wanajukwaa tiririkeni.
Mbombo ngafu
 
laiti angejua uzazi wa sas iv ulivyo washida atasijarbu kutoa iyo mimba.. yeye azae bwana akitoka amwambie hali ya halisi na ukweli siku zote umuweka mtu huru. ajiandae kwa lolote atakalo amua bwana mwisho wa siku maisha lazima yaendelee tu
 
Atamlelea wapi sasa huyo mtoto?Je azae halafu ampe mzazi mwenzake?
 
Mwambie amtafute police njaa yyte ampe mtonyo kisha amfungulie jarada la kisela ambalo maelezo yake yaseme kwamba kabakwa na kusababishiwa ujauzito kuhusu tarehe ya siku ya tukio ifojiwe kwa kukokotoa kurud nyuma kadri ya umri wa mimba after kutoka jera huyo bwana ake Og apewa maelezo na uthibitisho huo na Huyu jamaa mchepuko akijifanya kumfwatilia mtoto amwangushie jumba bovu kwa kumchana bwana ake kwamba huyo mchepuko ndy moja kati ya watu walio mbaka
Duh
 
Azae na aachane na bwana jambazi!
Afikirie atakavyokuja kuishi na mtu jambazi maisha yasiyo amani wala adili
Watoto wake watamwita baba jambazi
Zamani ilikuwa ikigundulika kuwa mtu si mwadilifu kwenye jamii hata kupata kwake mke/ mume ilikuwa kwa taab sana siku hizi aaaaah twende tu!
 
Atamlelea wapi sasa huyo mtoto?Je azae halafu ampe mzazi mwenzake?
jaman mbn mnacomplecate mambo atamlelea wapi ndo nini? kwan huyo bint hana kwao? ikitokea ndoa imekufa si unarudi nyumbn kinachotakiwa apo bint ajiandae kwa lolote tu ndo maana nasisitiza kila siku kuhus wanawake kujishughulisha stress zinakuwa tofauti.
 
Mwambie amtafute police njaa yyte ampe mtonyo kisha amfungulie jarada la kisela ambalo maelezo yake yaseme kwamba kabakwa na kusababishiwa ujauzito kuhusu tarehe ya siku ya tukio ifojiwe kwa kukokotoa kurud nyuma kadri ya umri wa mimba after kutoka jera huyo bwana ake Og apewa maelezo na uthibitisho huo na Huyu jamaa mchepuko akijifanya kumfwatilia mtoto amwangushie jumba bovu kwa kumchana bwana ake kwamba huyo mchepuko ndy moja kati ya watu walio mbaka
dah kwel ww genious
 
jaman mbn mnacomplecate mambo atamlelea wapi ndo nini? kwan huyo bint hana kwao? ikitokea ndoa imekufa si unarudi nyumbn kinachotakiwa apo bint ajiandae kwa lolote tu ndo maana nasisitiza kila siku kuhus wanawake kujishughulisha stress zinakuwa tofauti.
Ushauri umefika maadam
 
Hivi kulikuwa na haja gani ya kumuomba ushauri mtu aliyempa mimba? Akatoe tu kwani huyo aliyempa atamfanya nn akitoa? Wanawake akili ndogo sana
 
Aliolewa miaka miwili iliyopita(2017),miezi miwili baada ya kuolewa mumewe akahukumiwa miaka 40 kwa makosa la unyang'anyi wa kutumia nguvu na makosa mengine(alimuoa akiwa nje kwa dhamana)

Bibie akawa amekata tamaa kabisa japokuwa walikata rufaa na kesi ilikuwa inaendelea,akaanza mahusiano ya kimapenzi na jamaaa mmoja kwa siri sana,hivi ninavyoandika uzi huu bibie keshatundikwa mimba na anatarajia mwezi wa nne mwakani ampokee Kijacho.

Wakati anatarajia kupokea huo ugeni mumewe naye kashinda kesi ya unyang'anyi wa kutumia nguvu na kesi zingine kwahiyo atatumikia jela miaka mitatu tu jela,panapo majaaliwa mwezi wa Saba mwakani jamaa atakuwa uraiani,ngoma nzito.B

ibie anawaza kuichomoa mimba ili ainusuru ndoa yake pia maisha yake,maana mumewe sio mtu wa mchezomchezo,kamshirikisha mtu wake kile anachofikiria kukifanya mtu wake anamwambia ukitoa mimba ama zako ama zangu la sivyo ukishajifungua mtoto siku hiyo hiyo niachie nitampeleka kwenye vituo vya kulelea watoto yatima ili akija mumeo muendelee na maisha yenu.

Ila sikubali mimba ichomolewe ikichomolewa na chomoka hukohuko,yupo njia panda anawaza hajui afanye nini kote kwa moto,kaniomba ushauri nimeshindwa kumpa ushauri hatimaye nimekuja kwenu wanajukwaa tiririkeni.
Asubiri bwana Jela arejee uraiani kisha wakae washauriane nini cha kufanya, ushauri tutakaompa huku ni kuiongezea Mitandao ya simu faida tu kupitia bundle!
 
Back
Top Bottom