Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Hakuna sehemu ambako serikali yetu haijafikisha huduma ya maji.ndio maana kwa sasa upatikanaji wa maji maeneo ya vijijini ni zaidi ya 75Magomeni wewe chawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna sehemu ambako serikali yetu haijafikisha huduma ya maji.ndio maana kwa sasa upatikanaji wa maji maeneo ya vijijini ni zaidi ya 75Magomeni wewe chawa
Mgao wa nini Mimi Niko sioni hicho kituKafulila kwanini ameliongelea hili sasa? Atamponza huyo mama yake, kwa wakati huu 80% ya Dar kuna mgao wa maji wa HATARI.
Sawa.Mgao wa nini Mimi Niko sioni hicho kitu
🤣🤣🤣Kijana fanya kazi acha makasirikoWapumbavu nyie,Yani miaka Zaidi ya 60 ya uhuru tunazungumzia maji? Kwa utajiri WA nchi HII mambo ya maji,barabara na umeme vingetakiwa viwe tangu miaka ya 90 au at least 2000
CCM wamedhoofisha nchi
Samahani Kafulila,View attachment 3027483
Katika Ukurasa wake wa (X) zamani tweeter Mkurugenzi wa PPP-Cetre Tanzania Bw David Kafulila ameandika haya,
Kampuni maarufu duniani yenye kuaminika zaidi ya Steadman / SYNOVATe miaka ya 2008 iliwahi kubaini tatizo kubwa la Watanzania kwa wakati huo lilikuwa ni maji safi na salama.
Kafulila anasema tangu Rais Samia ameingia madarakani bajeti ya maji ni kubwa na inatekelezwa kabla ya wakati mara zote miezi minne kabla ya mwisho wa kipindi cha bajeti.
Kafulila anasema Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa akitekeleza kati ya 75% hadi 92% kwa kipindi chake chote Cha miaka mitatu,
Leo, chini ya Rais Samia na kwa miaka hii mitatu upatikanaji wa Maji vijiji ni 80% kutoka 70.1% mwaka 2020.
Hata hivyo, Upatikanaji wa Maji mijini umeongezeka kutoka 85% mwaka 2020 mpaka 90% leo,
Ndio maana Tanzania inasema Mama Samia mitano tena inamuhusu.
Sorry, Mimi sio Kafulila.Samahani Kafulila,
Hivi barabara ya kulipia mnaanza kujenga lini? Maji naomba nisiseme kabisa, maana nipo Mbezi Makabe na sijaona maji mwaka wa kumi huu
Halafu kibaya zaidi ni kuwa sisi wenyewe watanzania hatujui matatizo yetu Hadi aje mzungu mkoloni huyo wa SYNOVATeWapumbavu nyie,Yani miaka Zaidi ya 60 ya uhuru tunazungumzia maji? Kwa utajiri WA nchi HII mambo ya maji,barabara na umeme vingetakiwa viwe tangu miaka ya 90 au at least 2000
CCM wamedhoofisha nchi
Umechukua hatua ganiMtaani kwangu hapa hapa Dar tena mjini kabisa maji yametoka mara 3 toka mwaka huu uanze.
Hayo maji 92% yanapatikana mkoa gani?
Matatizo ni mengi ila "Tatizo namba moja"Halafu kibaya zaidi ni kuwa sisi wenyewe watanzania hatujui matatizo yetu Hadi aje mzungu mkoloni huyo wa SYNOVATe
ndiye atufanyie utafiti aseme shida kubwa mko.nayo ni maji ndio Serikali ianze kufanyia kazi
HIi Nchi tuwarudishie tu Wakoloni waendelee tu kututawala Sababu ndio wanajua hasa matatizo tuliyonayo kuliko Hivyo vichwa vitupu vilivyoko serikalini akiwemo Kafulila
Wapi bado tatizo.kila mtanzania anaona na kushuhudia juhudi kubwa sana zilizofanywa na zinazoendelea kuchukuliwa na serikali katika usambazaji wa maji safi na salama.kwa kuanzisha miradi mikubwa ya maji na kuhakikisha maji yanawafikia wananchi mahali walipo.kikubwa ni sisi wananchi kuhakikisha tunatunza miundombinu ya maji kama vile mabomba,matenki,koki za maji n.k.
www.voaswahili.com
mabomba hayapo, pale penye mabomba maji hayatokiSorry, Mimi sio Kafulila.
Maji mwaka wa kumi unamaana gani?
Umeshavuta bomba ila maji hayatoki?
Au hakuna mabomba?
Fafanua Mzee,
View attachment 3027483
Katika Ukurasa wake wa (X) zamani tweeter Mkurugenzi wa PPP-Cetre Tanzania Bw David Kafulila ameandika haya,
Kampuni maarufu duniani yenye kuaminika zaidi ya Steadman / SYNOVATe miaka ya 2008 iliwahi kubaini tatizo kubwa la Watanzania kwa wakati huo lilikuwa ni maji safi na salama.
Kafulila anasema tangu Rais Samia ameingia madarakani bajeti ya maji ni kubwa na inatekelezwa kabla ya wakati mara zote miezi minne kabla ya mwisho wa kipindi cha bajeti.
Kafulila anasema Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa akitekeleza kati ya 75% hadi 92% kwa kipindi chake chote Cha miaka mitatu,
Leo, chini ya Rais Samia na kwa miaka hii mitatu upatikanaji wa Maji vijiji ni 80% kutoka 70.1% mwaka 2020.
Hata hivyo, Upatikanaji wa Maji mijini umeongezeka kutoka 85% mwaka 2020 mpaka 90% leo,
Ndio maana Tanzania inasema Mama Samia mitano tena inamuhusu.
Sasa kama Hivyo vichwa vitupu vilivyojazana serikalini havijui tatizo namba moja la watanzania ni lipo Hadi aje mzungu SYNOVATe ambaye haishi Tanzania si raia wa Tanzania kuja kuwaambia viongozi wa Serikali kuwa tatizo ni majiMatatizo ni mengi ila "Tatizo namba moja"
Mbezi Makabe kuelekea Mabwe pande hakuna maji mkuu.Hakuna sehemu ambako serikali yetu haijafikisha huduma ya maji.ndio maana kwa sasa upatikanaji wa maji maeneo ya vijijini ni zaidi ya 75
Outdated researchHuyu TUMBIRI asituletee ujinga. Yaani report ya 2008 ndiyo anaizungumzia leo...!!?
Hizo data umeziona?Huyu TUMBIRI asituletee ujinga. Yaani report ya 2008 ndiyo anaizungumzia leo...!!?
Kwa anachokisema, inamaanisha kuwa tatizo bado ni lilelile kwa miaka 15 tena ni kwa kiasi kilekile.
Mwaka 2016 - 2024 tatizo kubwa hapa nchini ni maisha ya UCHAWA.View attachment 3027483
Katika Ukurasa wake wa (X) zamani tweeter Mkurugenzi wa PPP-Cetre Tanzania Bw David Kafulila ameandika haya,
Kampuni maarufu duniani yenye kuaminika zaidi ya Steadman / SYNOVATe miaka ya 2008 iliwahi kubaini tatizo kubwa la Watanzania kwa wakati huo lilikuwa ni maji safi na salama.
Kafulila anasema tangu Rais Samia ameingia madarakani bajeti ya maji ni kubwa na inatekelezwa kabla ya wakati mara zote miezi minne kabla ya mwisho wa kipindi cha bajeti.
Kafulila anasema Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa akitekeleza kati ya 75% hadi 92% kwa kipindi chake chote Cha miaka mitatu,
Leo, chini ya Rais Samia na kwa miaka hii mitatu upatikanaji wa Maji vijiji ni 80% kutoka 70.1% mwaka 2020.
Hata hivyo, Upatikanaji wa Maji mijini umeongezeka kutoka 85% mwaka 2020 mpaka 90% leo,
Ndio maana Tanzania inasema Mama Samia mitano tena inamuhusu.
Uchawa upi sasa, Tofauti gani kati ya Uchawa na Uzalendo?Mwaka 2016 - 2024 tatizo kubwa hapa nchini ni maisha ya UCHAWA.