Kafulila: 2008 SYNOVATE walisema tatizo namba moja la Watanzania ni maji

Kafulila kwanini ameliongelea hili sasa? Atamponza huyo mama yake, kwa wakati huu 80% ya Dar kuna mgao wa maji wa HATARI.
 
Wapumbavu nyie,Yani miaka Zaidi ya 60 ya uhuru tunazungumzia maji? Kwa utajiri WA nchi HII mambo ya maji,barabara na umeme vingetakiwa viwe tangu miaka ya 90 au at least 2000
CCM wamedhoofisha nchi
🤣🤣🤣Kijana fanya kazi acha makasiriko
 
Samahani Kafulila,
Hivi barabara ya kulipia mnaanza kujenga lini? Maji naomba nisiseme kabisa, maana nipo Mbezi Makabe na sijaona maji mwaka wa kumi huu
 
Samahani Kafulila,
Hivi barabara ya kulipia mnaanza kujenga lini? Maji naomba nisiseme kabisa, maana nipo Mbezi Makabe na sijaona maji mwaka wa kumi huu
Sorry, Mimi sio Kafulila.

Maji mwaka wa kumi unamaana gani?

Umeshavuta bomba ila maji hayatoki?

Au hakuna mabomba?

Fafanua Mzee,
 
Wapumbavu nyie,Yani miaka Zaidi ya 60 ya uhuru tunazungumzia maji? Kwa utajiri WA nchi HII mambo ya maji,barabara na umeme vingetakiwa viwe tangu miaka ya 90 au at least 2000
CCM wamedhoofisha nchi
Halafu kibaya zaidi ni kuwa sisi wenyewe watanzania hatujui matatizo yetu Hadi aje mzungu mkoloni huyo wa SYNOVATe

ndiye atufanyie utafiti aseme shida kubwa mko.nayo ni maji ndio Serikali ianze kufanyia kazi

HIi Nchi tuwarudishie tu Wakoloni waendelee tu kututawala Sababu ndio wanajua hasa matatizo tuliyonayo kuliko Hivyo vichwa vitupu vilivyoko serikalini akiwemo Kafulila
 
Matatizo ni mengi ila "Tatizo namba moja"
 
Acheni uchawa wa kijinga nyie wapumbavu
 
Huyu TUMBIRI asituletee ujinga. Yaani report ya 2008 ndiyo anaizungumzia leo...!!?

Kwa anachokisema, inamaanisha kuwa tatizo bado ni lilelile kwa miaka 15 tena ni kwa kiasi kilekile.
 
Matatizo ni mengi ila "Tatizo namba moja"
Sasa kama Hivyo vichwa vitupu vilivyojazana serikalini havijui tatizo namba moja la watanzania ni lipo Hadi aje mzungu SYNOVATe ambaye haishi Tanzania si raia wa Tanzania kuja kuwaambia viongozi wa Serikali kuwa tatizo ni maji

HUoni kuwa huko serikalini wamejaa wapumbavu wengi sana ?
 
Huyu TUMBIRI asituletee ujinga. Yaani report ya 2008 ndiyo anaizungumzia leo...!!?
Outdated research

Hana kazi za kutosha za kufanya ofisini

Ndio maana kutwa Yuko miandaoni muda mwingi anauza sura mtandaoni Kila kona

Angekuwa na kazi za kutosha zinazohitaji kichwa kuwa fit na kuwaka ukiwaza Namna ya taasisi iende asingekuwa kutwa Yuko mitandaoni anaruka Ruka Toka tawi hili.la mtu.kwemda tawi lingine kwa vimada vya kuokoteza okoteza na kupost
 
Huyu TUMBIRI asituletee ujinga. Yaani report ya 2008 ndiyo anaizungumzia leo...!!?

Kwa anachokisema, inamaanisha kuwa tatizo bado ni lilelile kwa miaka 15 tena ni kwa kiasi kilekile.
Hizo data umeziona?
 
Mwaka 2016 - 2024 tatizo kubwa hapa nchini ni maisha ya UCHAWA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…