Kafulila: Anayetaka kuwekeza TANESCO na aje,Tanzania inajengeka kwa Kasi mno mwaka 2050 tutahitaji zaidi ya Megawatt 60K wakati leo tuna Megawatt 4K

Serikali ikope mabilioni kukamilisha miradi halafu then aitwe mwekezaji ambaye aje tu asimamie kukusanya pesa halafu yeye ndiye atuambie kukusanya sh ngapi!!!
Soma Tena uelewe vizuri. Muwekeza auwawekezaji wanatakiwa wajenge mitambo yao kuziba Hilo pengo la upungufu wa Mega watt 56 elfu.
Yaani Leo tunazo negawat 4 elf wawekezaji wajenge megawatt 56 elf zifikie jumla ya megawatt 60 elf
 
===
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika Kipindi Cha One on One Cha Wasafi TV amesema Tanzania katika miaka 25 ijayo inatarajia kujenga Uchumi mkubwa karibu mara mbili ya Uchumi wote wa Africa ya Kusini ya Leo.

Kafulila anaendelea kwa kusema kama Africa ya Kusini ya leo Wana Umeme unaofikia Megawatt 60,000 huku sisi tukitarajia kujenga Uchumi marambili ya Uchumi huo wa Africa Kusini leo maana yake lazima tuwe na Umeme unaozidi umeme wa Africa ya Kusini ya leo ambao ni zaidi ya Megawatt 60,000.

Swali tunaloweza kujiuliza kwa pamoja, ni Je, bila kushirikisha mitaji toka sekta binafsi PPP Tanzania kwa kutumia Kodi na Mikopo pekee tunaweza kufikia kumiliki umeme wa Megawatt zaidi ya 60 ifikapo mwaka 2050 Jibu ni "HAPANA" lazima PPP ichukue nafasi kwenye hili kwa manufaa ya kizazi hiki na manufaa ya kizazi kijacho.

View attachment 3202423

====
Huyu kwanini asigombee tu Urais mbona hakili anayo kabisa
 
===

Kafulila anaendelea kwa kusema kama Africa ya Kusini ya leo Wana Umeme unaofikia Megawatt 60,000 huku sisi tukitarajia kujenga Uchumi marambili ya Uchumi huo wa Africa Kusini leo maana yake lazima tuwe na Umeme unaozidi umeme wa Africa ya Kusini ya leo ambao ni zaidi ya Megawatt 60,000.

View attachment 3202423

====
Katika waongo wabobezi Kafulila yumo

Hivi sisi tawaweza jenga uchumi.mkubwa mara mbili kuliko wa Africa ya kusini kuhitaji umeme mara mbili ya wa Afrika ya kusini?

Uchumi wa Africa kusini ndio mkubwa kwa bara zima la Africa ns sababu uchumi wao ni wa viwanda vikubwa na wamiliki wa hivyo viwanda vikubwa ni wazungu sio waafrika

Makampuni kibao ya ulaya na marekani wana partnerships ns wazungu wa Africa ya kusini na ku export sana Ulaya na Marekani nk

Sisi hapa tuna uchumi gani wa kuizidi Africa kusini ? Huu wa kutegemea viwanda vya Sido vya wahindi,waarabu na wachina? Hadi tuhitaji umeme mara mbili ya wa kwao

Kafulila kaamua kuwa dalali kwa kujenga hata hoja zisizo na akili kabisa
 
Kwa hiyo atakuwa meneja wa Tanesco,kamishna wa pppp,Rais,sijui nani ni nk? Au?

Punguzeni ujinga ,mtu kuweza area A haimaanishi anaweza area B.
Kafulila anachofanya ni kujitangaza yeye unakuta kuna kitu mfano halmashauri au Shirika linapanga kuingia ubia wako tu kwenye mazungumzo wao kama wao yeye huyo huibuka na mada upesi Jamii forums kuelezea hiyo PPP wakati mara ingine hata mazunguzo hayajafikia mwisho anaropoka vitu ambavyo viko katika hatu za mwanzo tu ili mradi aonekane utafikiri yeyre ndie mhusika

Ni attention seeker

Kwa wataalamu wa saikolojia ni kuwa haridhiki na hiyo nafasi anataka kuonekana onekana sana kwa makele mitandaoni kuwa jamani nipo mbona mumenisahau sana huku PPP?

Ingekuwa pazuri sana ungekuta yuko kimya anakula kuku kwa Mrija
Anapenda attention hata kwa vitu visvyo vyake kabisa
 
Katika waongo wabobezi Kafulila yumo

Hivi sisi tawaweza jenga uchumi.mkubwa mara mbili kuliko wa Africa ya kusini kuhitaji umeme mara mbili ya wa Afrika ya kusini?

Uchumi wa Africa kusini ndio mkubwa kwa bara zima la Africa ns sababu uchumi wao ni wa viwanda vikubwa na wamiliki wa hivyo viwanda vikubwa ni wazungu sio waafrika

Makampuni kibao ya ulaya na marekani wana partnerships ns wazungu wa Africa ya kusini na ku export sana Ulaya na Marekani nk

Sisi hapa tuna uchumi gani wa kuizidi Africa kusini ? Huu wa kutegemea viwanda vya Sido vya wahindi,waarabu na wachina? Hadi tuhitaji umeme mara mbili ya wa kwao

Kafulila kaamua kuwa dalali kwa kujenga hata hoja zisizo na akili kabisa
Mbona amekwambia ni miaka 25 ijayo!

Kwanini unajidharau kiasi hiki?
 
Mbona amekwambia ni miaka 25 ijayo!

Kwanini unajidharau kiasi hiki?
Porojo tu hizo miaka 25 ijayo kwani Africa kusini watakuwa hapohapo walipo leo?

Anachukua takwimu Africa kusini za sasa na kuzifanya static kuwa miaka 25 ijayo watakuwa hapohapo halafu sisi tutawazidi mara mbili

Ujinga mtupu hajui hata kutafsiri takwimu

Alitakiwa kuangalia sisi miaka 25 ijayo kiumeme tutakuwaje na Africa kusini miaka 25 ijayo kiumeme watakuwaje ndipo atoe conclusion

Kaandika ujinga mtupu hajaeleza miaka 25 ijayo Africa kusini itakuwaje kwa population inayohitaji umeme kuongezeka na viwanda kuongezeka wao kiumeme watakuwa vipi compared to Tanzania
 
Mkuu wapi Kafulila kasema miaka 25 ijayo Africa ya Kusini itakuwa hapohapo?

Unapofanya projection lazima uwe na mifano inayoishi,

Ndicho alichofanya Kafulila
 
===
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika Kipindi Cha One on One Cha Wasafi TV amesema Tanzania katika miaka 25 ijayo inatarajia kujenga Uchumi mkubwa karibu mara mbili ya Uchumi wote wa Africa ya Kusini ya Leo.

Kafulila anaendelea kwa kusema kama Africa ya Kusini ya leo Wana Umeme unaofikia Megawatt 60,000 huku sisi tukitarajia kujenga Uchumi marambili ya Uchumi huo wa Africa Kusini leo maana yake lazima tuwe na Umeme unaozidi umeme wa Africa ya Kusini ya leo ambao ni zaidi ya Megawatt 60,000.

Swali tunaloweza kujiuliza kwa pamoja, ni Je, bila kushirikisha mitaji na Ujuzi toka sekta binafsi PPP Tanzania kwa kutumia Kodi na Mikopo pekee tunaweza kufikia kumiliki umeme wa Megawatt zaidi ya 60 ifikapo mwaka 2050 Jibu ni "HAPANA" lazima PPP ichukue nafasi kwenye hili kwa manufaa ya kizazi hiki na manufaa ya kizazi kijacho.

View attachment 3202423

====
Huyu anafaa kuwa mtu mkubwa sana
 
Kafulila ni Mzalendo sana hata Upinzani tunampenda
 
Back
Top Bottom