Kafulila: Hata Ulaya ilijengwa kwa Mikopo toka Marekani Marshall Plan si dhambi kukopa ili kujenga miradi ya maendeleo kama SGR au JNHP

Kafulila nimjenga hoja mzuri tatito ni pale aliponunuliwa tu lakini sina tatizo anachoongea japo kuna sehemu anatupiga changa la macho kwa kutetea ugali wake
Sidhani kama jamaa alinunuliwa kwa sababu ni mtu mwenye maisha duni tu, Huyu kijana ni mwadilifu sana aise
 
Asañte Mwandishi
 
Mheshimiwa Kafulila ni kiongozi Mwenye uwezo mkubwa sana wakiuongozi,kujenga hoja, kutetea hoja,kushawishi kwa hoja na kumfanya mtu akamuelewa kwa urahisi na kwa lugha rahisi kabisa.
ushaanza kumpigia upatu na huyu tena
 
Nakubaliana na wewe partially nitakuja kueleza baadae
 
Sidhani kama jamaa alinunuliwa kwa sababu ni mtu mwenye maisha duni tu, Huyu kijana ni mwadilifu sana aise
Kwa hakika Mheshimiwa David Kafulila Ni kiongozi muadilifu, mzalendo, mchapakazi na mwenye dhamira njema na kiu ya kuona Taifa letu linasonga mbele kimaendeleo na kukua kiuchumi kama kinachoendelea kwa sasa chini ya uongozi shupavu, imara na madhubuti Wa Mama yetu mpendwa Daktari Samia Suluhu Hasssan.
 
Safi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…