Kafulila: Hata Ulaya ilijengwa kwa Mikopo toka Marekani Marshall Plan si dhambi kukopa ili kujenga miradi ya maendeleo kama SGR au JNHP

Umakini wa David Kafulila ni mkubwa
 
Punguza Uchawa haulipi?
Kafulila anasema, Tanzania kwa kipindi cha miaka mitatu tumekopa nje kiasi cha US$ 5 bilioni wakati Uchumi wetu katika kipindi hicho umekua kwa US$ 20 bilioni sawa na tofauti chanya ya US$ 15 bilioni.

Soma HAPA
 
Elimu anayoitoa Kafulila ni kubwa sana, Wakati mwingine Upinzani wanapata hoja kwa sababu Serikali haifafanui mambo yake vizuri

Bravo. kafulila
 
Kafulila anasema, Tanzania kwa kipindi cha miaka mitatu tumekopa nje kiasi cha US$ 5 bilioni wakati Uchumi wetu katika kipindi hicho umekua kwa US$ 20 bilioni sawa na tofauti chanya ya US$ 15 bilioni.

Soma HAPA
Wewe umemwamini??!!
 
Kama ni hivi tukopeni tu Mimi hata kama ni CHADEMA Kafulila anaeleweka sana huyu jamaa
Kafulila amesema si kosa nchi kukopa kwaajili ya miradi ya maendeleo ila ni dhambi kukopa ili kugharamia mishahara na mambo mengine yasiyo ya kimaendeleo ( matumizi ya kawaida )

Point iko hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…