Yes To Yes
JF-Expert Member
- May 12, 2024
- 208
- 157
Robot speaks😂😂Nisawa na za Rwanda?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Robot speaks😂😂Nisawa na za Rwanda?
Kwetu madhara yatakuja kwa njia tofauti, pale ambapo maliasili zetu zitakapo vunwa mchana kweupe.duuuh, Kazi ipo but this won't happen in our country,
Mifumo ya Tanzania ni so tested and testified sana
Kafulila ni Mwamba sana kwenye kusimamia Rasilimali za TaifaNi kati ya vijana machachari bungeni, alihoji maswali ya msingi mpaka mafisadi wakachukia. Alipachikwa jina la tumbili. Ana kipaji cha kuongea kwa mantiki. Big up Kafulila.
Mbona nguvu kubwa inatumika sana kuna nini?
Mhe David Kafulila Mkurugenzi Mkuu wa Ubia nchi PPP amewatoa hofu Watanzania kuwa Serikali yao ya awamu sita ina nia na dhamira njema dhidi yao.
Katika kipindi Cha DK 45 Cha ITV Kafulila amesema si kosa nchi kukopa kwaajili ya miradi ya maendeleo ila ni dhambi kukopa ili kugharamia mishahara na mambo mengine yasiyo ya kimaendeleo ( matumizi ya kawaida )
Kafulila ameenda mbali mpaka kuwakumbusha namna Ulaya ilivyojengwa kwa mikopo toka Marekani (MARSHALL PLAN ) baada ya Vita kuu ya Pili vya Dunia miaka ya 1948.
Hata hivyo Kafulila ameonesha si kweli kwamba Uchumi wa Tanzania unajengwa kwa Mikopo pekee ila ni Kwa sehemu tu,
Kafulila anasema, Tanzania kwa kipindi cha miaka mitatu tumekopa nje kiasi cha US$ 5 bilioni wakati Uchumi wetu katika kipindi hicho umekua kwa US$ 20 bilioni sawa na tofauti chanya ya US$ 15 bilioni.
Mkurugenzi Kafulila amemsifu zaidi Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa namna alivyoipokea nchi na kwa kasi hii ya Uchumi ambayo hakuna nchi yoyote Africa Mashariki na Kati kwa miaka mitatu imefikia kiasi na kiwango chake.
Maliasili ni Mali ya watoto wa Tanzania ni ngumu kwenda kwa wangeni,Ni kati ya vijana machachari bungeni, alihoji maswali ya msingi mpaka mafisadi wakachukia. Alipachikwa jina la tumbili. Ana kipaji cha kuongea kwa mantiki. Big up Kafulila.
Mama anaupiga mwingi sana apewe maua yake, Tuna taka maafisa wa Serikali waje humu wajibu hoja mbalimbali
Mhe David Kafulila Mkurugenzi Mkuu wa Ubia nchi PPP amewatoa hofu Watanzania kuwa Serikali yao ya awamu sita ina nia na dhamira njema dhidi yao.
Katika kipindi Cha DK 45 Cha ITV Kafulila amesema si kosa nchi kukopa kwaajili ya miradi ya maendeleo ila ni dhambi kukopa ili kugharamia mishahara na mambo mengine yasiyo ya kimaendeleo ( matumizi ya kawaida )
Kafulila ameenda mbali mpaka kuwakumbusha namna Ulaya ilivyojengwa kwa mikopo toka Marekani (MARSHALL PLAN ) baada ya Vita kuu ya Pili vya Dunia miaka ya 1948.
Hata hivyo Kafulila ameonesha si kweli kwamba Uchumi wa Tanzania unajengwa kwa Mikopo pekee ila ni Kwa sehemu tu,
Kafulila anasema, Tanzania kwa kipindi cha miaka mitatu tumekopa nje kiasi cha US$ 5 bilioni wakati Uchumi wetu katika kipindi hicho umekua kwa US$ 20 bilioni sawa na tofauti chanya ya US$ 15 bilioni.
Mkurugenzi Kafulila amemsifu zaidi Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa namna alivyoipokea nchi na kwa kasi hii ya Uchumi ambayo hakuna nchi yoyote Africa Mashariki na Kati kwa miaka mitatu imefikia kiasi na kiwango chake.
Kukopa sio tatizo ila tatizo ni usimamizi wa mkopo husika na mara nyingi katika nchi yetu usimamizi wa mikopo si mzuri hali inayopelekea hasara. Hasara hii inatokana na mikono michafu ya wasimamizi (wapigaji) wanaopewa dhamana na kukosa weledi katika usimamizi, hali hii hupelekea lengo la mkopo kutofikiwa au kutekelezwa kwa kiwango cha chini.
Mhe David Kafulila Mkurugenzi Mkuu wa Ubia nchi PPP amewatoa hofu Watanzania kuwa Serikali yao ya awamu sita ina nia na dhamira njema dhidi yao.
Katika kipindi Cha DK 45 Cha ITV Kafulila amesema si kosa nchi kukopa kwaajili ya miradi ya maendeleo ila ni dhambi kukopa ili kugharamia mishahara na mambo mengine yasiyo ya kimaendeleo ( matumizi ya kawaida )
Kafulila ameenda mbali mpaka kuwakumbusha namna Ulaya ilivyojengwa kwa mikopo toka Marekani (MARSHALL PLAN ) baada ya Vita kuu ya Pili vya Dunia miaka ya 1948.
Hata hivyo Kafulila ameonesha si kweli kwamba Uchumi wa Tanzania unajengwa kwa Mikopo pekee ila ni Kwa sehemu tu,
Kafulila anasema, Tanzania kwa kipindi cha miaka mitatu tumekopa nje kiasi cha US$ 5 bilioni wakati Uchumi wetu katika kipindi hicho umekua kwa US$ 20 bilioni sawa na tofauti chanya ya US$ 15 bilioni.
Mkurugenzi Kafulila amemsifu zaidi Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa namna alivyoipokea nchi na kwa kasi hii ya Uchumi ambayo hakuna nchi yoyote Africa Mashariki na Kati kwa miaka mitatu imefikia kiasi na kiwango chake.
Kafulila anajua sana aisee we proud of him
HUYU NDO YULE TUMBILI?

Huyo Tumbli" ingetakiwa aone michango kama huu hapa, halafu arudi kueleza anachoeleza yeye.Watu wengine ni wepesi sana kudanganyika na propaganda.
Sasa kama Ulaya ilijengwa kwa mikopo walikopa kwa miaka 60 mfululizo kama sisi ....!!?
Siku nikisikia wamekopa pesa kwenda kuchimba chuma Mchuchuma na Liganga ndiyo nitaanza kuwasikiliza. Ila hii mikopo ya kwenda kujenga shule na zahanati kila mwaka ni uhuni mtupu....!!
Nadhani ni vema ungeishambulia hoja yake kuliko kumshambulia Kafulila,Huyu amekuwa chawa namba moja; na kwa bahati mbaya sana kuwa mnadishaji wa nchi hii kiholela.
Kama anajuwa Ulaya ilivyojengwa, kwa nini sasa yeye ndiye awe Dalali Mkuu wa kunadi mali zetu?
Ulaya na wao walijipitisha pitisha kila sehemu kuuza mali zao?
Ndiyo, walichukua mikopo, na walikuwa mstari wa mbele kujenga wao, siyo kuwategemea wageni kama tunavyofanya sisi.
Ulaya nako waliuza misitu yao; mbuga zao za wanyama; kujengewa barabara za kulipia, wao wakiwepo tu wakishangaa kama tunavyoshangaa sisi?
Sasa kama mtu anakupa pesa na unailipa kwa riba ya 0.5% shida iko wapi hapo?Watu wengine ni wepesi sana kudanganyika na propaganda.
Sasa kama Ulaya ilijengwa kwa mikopo walikopa kwa miaka 60 mfululizo kama sisi ....!!?
Siku nikisikia wamekopa pesa kwenda kuchimba chuma Mchuchuma na Liganga ndiyo nitaanza kuwasikiliza. Ila hii mikopo ya kwenda kujenga shule na zahanati kila mwaka ni uhuni mtupu....!!
Usimamizi ni mzuri ndio maana maendeleo ni makubwa sana kwa sasa kuliko pengine wakati wowote katika historia ya Taifa hiliKukopa sio tatizo ila tatizo ni usimamizi wa mkopo husika na mara nyingi katika nchi yetu usimamizi wa mikopo si mzuri hali inayopelekea hasara. Hasara hii inatokana na mikono michafu ya wasimamizi (wapigaji) wanaopewa dhamana na kukosa weledi katika usimamizi, hali hii hupelekea lengo la mkopo kutofikiwa au kutekelezwa kwa kiwango cha chini.
Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
Haka kajamaa, kameshiba pesa ya CCM, sasa hv kanatapika tu make no kama Malaya vile, unalinganisha USA na TZ? Katika kukopa? Sie tunakopa kulipa mishahara na kununua V8, wenzetu wanakopa kujenga viwanda, na kuweka Sera Bora za, uchumi, Tweeter, inamapato makubwa kuliko nchi zote za, Africa!
Mhe David Kafulila Mkurugenzi Mkuu wa Ubia nchi PPP amewatoa hofu Watanzania kuwa Serikali yao ya awamu sita ina nia na dhamira njema dhidi yao.
Katika kipindi Cha DK 45 Cha ITV Kafulila amesema si kosa nchi kukopa kwaajili ya miradi ya maendeleo ila ni dhambi kukopa ili kugharamia mishahara na mambo mengine yasiyo ya kimaendeleo ( matumizi ya kawaida )
Kafulila ameenda mbali mpaka kuwakumbusha namna Ulaya ilivyojengwa kwa mikopo toka Marekani (MARSHALL PLAN ) baada ya Vita kuu ya Pili vya Dunia miaka ya 1948.
Hata hivyo Kafulila ameonesha si kweli kwamba Uchumi wa Tanzania unajengwa kwa Mikopo pekee ila ni Kwa sehemu tu,
Kafulila anasema, Tanzania kwa kipindi cha miaka mitatu tumekopa nje kiasi cha US$ 5 bilioni wakati Uchumi wetu katika kipindi hicho umekua kwa US$ 20 bilioni sawa na tofauti chanya ya US$ 15 bilioni.
Mkurugenzi Kafulila amemsifu zaidi Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa namna alivyoipokea nchi na kwa kasi hii ya Uchumi ambayo hakuna nchi yoyote Africa Mashariki na Kati kwa miaka mitatu imefikia kiasi na kiwango chake.
Chezea asali wew 😂 😂Tumbili sasa hv anakula mema ya nchi, ameungana na genge alilokuwa analipinga!.

Reasoning ya aina hii ni hatari sana! Unaona watu wengine wanafanya madudu, halafu na wewe unayafanya, na ukiuliza unajibu kwamba hata wengine wanafanya hivyo: wanaiba, wavuta bangi, wana madeni, wanaua, wanalawiti, etc. Kwa upande wangu, tufanye mambo kwa sababu tunaona ni mazuri kwetu na yanatusaidia na si kwa sababu hata wengine wanafanya hivyo. Hiyo siyo sababu ya msingi.