Abrams
JF-Expert Member
- Apr 27, 2024
- 276
- 338
Sasa ndoa mbona hata Mkapa na Magufuli walishindwa na still wakawa Marais?Hana Cha Kupoteza Alishindwa Ndoa Sasa Ataweza Nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa ndoa mbona hata Mkapa na Magufuli walishindwa na still wakawa Marais?Hana Cha Kupoteza Alishindwa Ndoa Sasa Ataweza Nini
Umakini wa David Kafulila ni mkubwa
Mhe David Kafulila Mkurugenzi Mkuu wa Ubia nchi PPP amewatoa hofu Watanzania kuwa Serikali yao ya awamu sita ina nia na dhamira njema dhidi yao.
Katika kipindi Cha DK 45 Cha ITV Kafulila amesema si kosa nchi kukopa kwaajili ya miradi ya maendeleo ila ni dhambi kukopa ili kugharamia mishahara na mambo mengine yasiyo ya kimaendeleo ( matumizi ya kawaida )
Kafulila ameenda mbali mpaka kuwakumbusha namna Ulaya ilivyojengwa kwa mikopo toka Marekani (MARSHALL PLAN ) baada ya Vita kuu ya Pili vya Dunia miaka ya 1948.
Hata hivyo Kafulila ameonesha si kweli kwamba Uchumi wa Tanzania unajengwa kwa Mikopo pekee ila ni Kwa sehemu tu,
Kafulila anasema, Tanzania kwa kipindi cha miaka mitatu tumekopa nje kiasi cha US$ 5 bilioni wakati Uchumi wetu katika kipindi hicho umekua kwa US$ 20 bilioni sawa na tofauti chanya ya US$ 15 bilioni.
Mkurugenzi Kafulila amemsifu zaidi Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa namna alivyoipokea nchi na kwa kasi hii ya Uchumi ambayo hakuna nchi yoyote Africa Mashariki na Kati kwa miaka mitatu imefikia kiasi na kiwango chake.
Umakini upi Kwa mfano?Umakini wa David Kafulila ni mkubwa
Umesikiliza hiyo clip yote?Umakini upi Kwa mfano?
Sina bando!Umesikiliza hiyo clip yote?
Kwahiyo unataka nikununulie?Sina bando!
Nawewe ni chawa tu wa KafulilaKwahiyo unataka nikununulie?
Kama Mimi ni chawa wewe nini kinakuumiza?Nawewe ni chawa tu wa Kafulila
Punguza Uchawa haulipi?Kama Mimi ni chawa wewe nini kinakuumiza?
Nyie hata mkopo trilion 1000000 hamtafanya loloteMheshimiwa Kafulila ni kiongozi Mwenye uwezo mkubwa sana wakiuongozi,kujenga hoja, kutetea hoja,kushawishi kwa hoja na kumfanya mtu akamuelewa kwa urahisi na kwa lugha rahisi kabisa.
Kafulila anasema, Tanzania kwa kipindi cha miaka mitatu tumekopa nje kiasi cha US$ 5 bilioni wakati Uchumi wetu katika kipindi hicho umekua kwa US$ 20 bilioni sawa na tofauti chanya ya US$ 15 bilioni.Punguza Uchawa haulipi?
Kwani huoni SGR, SG, MASHULE, MABARABARA, MAZAHANATI KILA KONA?Nyie hata mkopo trilion 1000000 hamtafanya lolote
Ova
Ova
Elimu anayoitoa Kafulila ni kubwa sana, Wakati mwingine Upinzani wanapata hoja kwa sababu Serikali haifafanui mambo yake vizuri
Mhe David Kafulila Mkurugenzi Mkuu wa Ubia nchi PPP amewatoa hofu Watanzania kuwa Serikali yao ya awamu sita ina nia na dhamira njema dhidi yao.
Katika kipindi Cha DK 45 Cha ITV Kafulila amesema si kosa nchi kukopa kwaajili ya miradi ya maendeleo ila ni dhambi kukopa ili kugharamia mishahara na mambo mengine yasiyo ya kimaendeleo ( matumizi ya kawaida )
Kafulila ameenda mbali mpaka kuwakumbusha namna Ulaya ilivyojengwa kwa mikopo toka Marekani (MARSHALL PLAN ) baada ya Vita kuu ya Pili vya Dunia miaka ya 1948.
Hata hivyo Kafulila ameonesha si kweli kwamba Uchumi wa Tanzania unajengwa kwa Mikopo pekee ila ni Kwa sehemu tu,
Kafulila anasema, Tanzania kwa kipindi cha miaka mitatu tumekopa nje kiasi cha US$ 5 bilioni wakati Uchumi wetu katika kipindi hicho umekua kwa US$ 20 bilioni sawa na tofauti chanya ya US$ 15 bilioni.
Mkurugenzi Kafulila amemsifu zaidi Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa namna alivyoipokea nchi na kwa kasi hii ya Uchumi ambayo hakuna nchi yoyote Africa Mashariki na Kati kwa miaka mitatu imefikia kiasi na kiwango chake.
Wewe umemwamini??!!Kafulila anasema, Tanzania kwa kipindi cha miaka mitatu tumekopa nje kiasi cha US$ 5 bilioni wakati Uchumi wetu katika kipindi hicho umekua kwa US$ 20 bilioni sawa na tofauti chanya ya US$ 15 bilioni.
Soma HAPA
Ni Uchawa tu huuElimu anayoitoa Kafulila ni kubwa sana, Wakati mwingine Upinzani wanapata hoja kwa sababu Serikali haifafanui mambo yake vizuri
Bravo. kafulila
Unataka ni kwamini wewe usiye na data?Wewe umemwamini??!!
Hata sisi kupewa Mikopo kwa riba ya 1% au 0.5% kwa miaka 20 ni sawa na kupewa tu Pesa BureHuwezi kufananisha mikopo ya kujenga Ulaya baada ya WWII na hii yetu. Ile ni kama US ilikuwa inazipa tu pesa nchi za Ulaya.
Kama ni hivi tukopeni tu Mimi hata kama ni CHADEMA Kafulila anaeleweka sana huyu jamaaHata sisi kupewa Mikopo kwa riba ya 1% au 0.5% kwa miaka 20 ni sawa na kupewa tu Pesa Bure
Kafulila amesema si kosa nchi kukopa kwaajili ya miradi ya maendeleo ila ni dhambi kukopa ili kugharamia mishahara na mambo mengine yasiyo ya kimaendeleo ( matumizi ya kawaida )Kama ni hivi tukopeni tu Mimi hata kama ni CHADEMA Kafulila anaeleweka sana huyu jamaa