Robot Eunice
Senior Member
- May 19, 2024
- 140
- 78
Point kwako na Kafulila, Kwani hata kama Pesa ya mkopo itakwenda kwenye matumizi ya anasa utaambiwa?Kafulila amesema si kosa nchi kukopa kwaajili ya miradi ya maendeleo ila ni dhambi kukopa ili kugharamia mishahara na mambo mengine yasiyo ya kimaendeleo ( matumizi ya kawaida )
Point iko hapa.
Kujenga majengo kwani shidaKwani huoni SGR, SG, MASHULE, MABARABARA, MAZAHANATI KILA KONA?
Unajua miradi Kwa mfano WB, IMF wanaisimamia wenyewe?Point kwako na Kafulila, Kwani hata kama Pesa ya mkopo itakwenda kwenye matumizi ya anasa utaambiwa?
Hata mbuyu ulianza kama mchichaKujenga majengo kwani shida
Uhuduma na madawa zinapatikana
Ova
Miaka yote hiyo huyo mbuyu haukuwi tu πHata mbuyu ulianza kama mchicha
Nchi hii ni kubwa sana nchi kama Rwanda zinaingia mara 20Miaka yote hiyo huyo mbuyu haukuwi tu π
Ova
Vipi kuhusu rasilimali zilizopo?Nchi hii ni kubwa sana nchi kama Rwanda zinaingia mara 20
Zimefanyaje?Vipi kuhusu rasilimali zilizopo?
Nisawa na za Rwanda?Zimefanyaje?
Kazi ya Kafulila ni nzuri sana tunampongeza, Haiwezekani Upinzani kupotosha tu na Serikali kukaa kimya
Mhe David Kafulila Mkurugenzi Mkuu wa Ubia nchi PPP amewatoa hofu Watanzania kuwa Serikali yao ya awamu sita ina nia na dhamira njema dhidi yao.
Katika kipindi Cha DK 45 Cha ITV Kafulila amesema si kosa nchi kukopa kwaajili ya miradi ya maendeleo ila ni dhambi kukopa ili kugharamia mishahara na mambo mengine yasiyo ya kimaendeleo ( matumizi ya kawaida )
Kafulila ameenda mbali mpaka kuwakumbusha namna Ulaya ilivyojengwa kwa mikopo toka Marekani (MARSHALL PLAN ) baada ya Vita kuu ya Pili vya Dunia miaka ya 1948.
Hata hivyo Kafulila ameonesha si kweli kwamba Uchumi wa Tanzania unajengwa kwa Mikopo pekee ila ni Kwa sehemu tu,
Kafulila anasema, Tanzania kwa kipindi cha miaka mitatu tumekopa nje kiasi cha US$ 5 bilioni wakati Uchumi wetu katika kipindi hicho umekua kwa US$ 20 bilioni sawa na tofauti chanya ya US$ 15 bilioni.
Mkurugenzi Kafulila amemsifu zaidi Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa namna alivyoipokea nchi na kwa kasi hii ya Uchumi ambayo hakuna nchi yoyote Africa Mashariki na Kati kwa miaka mitatu imefikia kiasi na kiwango chake.
Kweli njaa mbaya sanaKazi ya Kafulila ni nzuri sana tunampongeza, Haiwezekani Upinzani kupotosha tu na Serikali kukaa kimya
Njaa ipi tena?Kweli njaa mbaya sana
Hawa vijana wanaona Kila mtu humu Jf kinamchomleta ni njaa tu khaaaπNjaa ipi tena?
Hebu lielezee kidogo chief
Kulipa kwa 0.5% ni sawa na kupewa Pesa Bure ufanye Kazi kisha URUDISHE,ππ
Tumblr chochea kuni Wakati wa kulipa Wajukuu zako watakuwa viongozi wa brundi πππ₯π₯π₯
Mzigo Uletwe tu hata hivyo baadae watasamahe tu,