Doubleclick
Senior Member
- Apr 26, 2024
- 144
- 85
Hizi PhD za heshima apewe na MelloJf ni zaidi ya shule ya chuo kikuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi PhD za heshima apewe na MelloJf ni zaidi ya shule ya chuo kikuu
Naunga mkono hoja yako Jf ni zaidi ya chombo Cha habariHizi PhD za heshima apewe na Mello
Sahihi kabisaNaunga mkono hoja yako Jf ni zaidi ya chombo Cha habari
Hakika hawa jamaa wanafanya Biashara ya kujitolea tuSahihi kabisa
Yes, kama hakuna kulipia hawa watu ni wazalendo sana lazima tukubalianeHakika hawa jamaa wanafanya Biashara ya kujitolea tu
Wazalendo sana jfYes, kama hakuna kulipia hawa watu ni wazalendo sana lazima tukubaliane
Kafulila ni jembe kwelikweli
Mhe David Kafulila Mkurugenzi Mkuu wa Ubia nchi PPP amewatoa hofu Watanzania kuwa Serikali yao ya awamu sita ina nia na dhamira njema dhidi yao.
Katika kipindi Cha DK 45 Cha ITV Kafulila amesema si kosa nchi kukopa kwaajili ya miradi ya maendeleo ila ni dhambi kukopa ili kugharamia mishahara na mambo mengine yasiyo ya kimaendeleo ( matumizi ya kawaida )
Kafulila ameenda mbali mpaka kuwakumbusha namna Ulaya ilivyojengwa kwa mikopo toka Marekani (MARSHALL PLAN ) baada ya Vita kuu ya Pili vya Dunia miaka ya 1948.
Hata hivyo Kafulila ameonesha si kweli kwamba Uchumi wa Tanzania unajengwa kwa Mikopo pekee ila ni Kwa sehemu tu,
Kafulila anasema, Tanzania kwa kipindi cha miaka mitatu tumekopa nje kiasi cha US$ 5 bilioni wakati Uchumi wetu katika kipindi hicho umekua kwa US$ 20 bilioni sawa na tofauti chanya ya US$ 15 bilioni.
Mkurugenzi Kafulila amemsifu zaidi Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa namna alivyoipokea nchi na kwa kasi hii ya Uchumi ambayo hakuna nchi yoyote Africa Mashariki na Kati kwa miaka mitatu imefikia kiasi na kiwango chake.
Wapewe ruzuku hawa watuWazalendo sana jf
Nakuunga mkono Jf ipewe ruzukuWapewe ruzuku hawa watu
Yeah jamaa jembe sana TANGU zamaniKafulila ni jembe kwelikweli
Mimi nitaanzisha movement kuwaombea ruzuku serikaliniNakuunga mkono Jf ipewe ruzuku
Unayo source ya nchi kushushwa hadhi?Uchumi ulikuwa $66bn halafu nchi ikapandishwa hadhi na kuwa middle income country, halafu ukapanda mpaka $85bn nchi ikashushwa hadhi.
Chawa wa ‘bi-tozo’ wanashida kweli
Sijajua kama hujasoma piaMpango wa Marshall unatofautiana na mipango mingine ya maendeleo ya kiuchumi na kijamii Tanzanian kwa sababu ya muktadha wake na malengo yake maalum. zifuatazo ni tofauti muhimu:
Muktadha wa Historia: Mpango wa Marshall ulianzishwa baada ya Vita Kuu ya Pili ya Dunia na ulilenga kusaidia nchi za Ulaya zilizoathiriwa na vita hivyo. Mipango mingine ya nchi mara nyingi inalenga katika kusaidia maendeleo ya muda mrefu ya uchumi na jamii kwa nchi ambazo hazijapitia uharibifu mkubwa wa vita.
Msaada wa Kifedha: Mpango wa Marshall ulikuwa na kiwango kikubwa cha msaada wa kifedha kutoka kwa Marekani. Mipango mingine ya maendeleo ya nchi zinazoendelea inaweza kuwa na vyanzo mbalimbali vya ufadhili ikiwa ni pamoja na mikopo ya kimataifa, misaada ya kibinadamu, na uwekezaji kutoka nchi nyingine au mashirika ya kimataifa.
Malengo ya Kijamii na Kiuchumi: Mpango wa Marshall ulikuwa na malengo ya kurejesha uchumi ulioharibiwa na vita, kurejesha utulivu wa kijamii, na kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia kati ya nchi za Ulaya. Mipango mingine ya nchi zinazoendelea mara nyingi inalenga katika kuboresha elimu, afya, miundombinu, upatikanaji wa maji safi na usafi wa mazingira, na kupunguza umaskini.
Ushirikiano wa Kimataifa: Ingawa Mpango wa Marshall ulikuwa na ushirikiano wa kimataifa, ulikuwa hasa unahusisha nchi za Ulaya na Marekani. Mipango mingine ya nchi mara nyingi inajumuisha ushirikiano wa kimataifa na mashirika ya kimataifa kama vile Benki ya Dunia, IMF, na mashirika mengine ya maendeleo.
Kwa hiyo, wakati Mpango wa Marshall ulikuwa na mafanikio makubwa katika muktadha wake maalum, mipango mingine ya maendeleo kwa nchi inazingatia mahitaji na changamoto ya nchi husika na inatumia njia mbalimbali za kufikia malengo ya maendeleo endelevu.
Fatilia historiaYaani united kingdom, German zilijengwa kwa mikopo Toka Marekani ?? Sawa Tumbili
Wewe jamaa utakuwa ni mwalimu kama sikosei, 😃Mpango wa Marshall unatofautiana na mipango mingine ya maendeleo ya kiuchumi na kijamii Tanzanian kwa sababu ya muktadha wake na malengo yake maalum. zifuatazo ni tofauti muhimu:
Muktadha wa Historia: Mpango wa Marshall ulianzishwa baada ya Vita Kuu ya Pili ya Dunia na ulilenga kusaidia nchi za Ulaya zilizoathiriwa na vita hivyo. Mipango mingine ya nchi mara nyingi inalenga katika kusaidia maendeleo ya muda mrefu ya uchumi na jamii kwa nchi ambazo hazijapitia uharibifu mkubwa wa vita.
Msaada wa Kifedha: Mpango wa Marshall ulikuwa na kiwango kikubwa cha msaada wa kifedha kutoka kwa Marekani. Mipango mingine ya maendeleo ya nchi zinazoendelea inaweza kuwa na vyanzo mbalimbali vya ufadhili ikiwa ni pamoja na mikopo ya kimataifa, misaada ya kibinadamu, na uwekezaji kutoka nchi nyingine au mashirika ya kimataifa.
Malengo ya Kijamii na Kiuchumi: Mpango wa Marshall ulikuwa na malengo ya kurejesha uchumi ulioharibiwa na vita, kurejesha utulivu wa kijamii, na kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia kati ya nchi za Ulaya. Mipango mingine ya nchi zinazoendelea mara nyingi inalenga katika kuboresha elimu, afya, miundombinu, upatikanaji wa maji safi na usafi wa mazingira, na kupunguza umaskini.
Ushirikiano wa Kimataifa: Ingawa Mpango wa Marshall ulikuwa na ushirikiano wa kimataifa, ulikuwa hasa unahusisha nchi za Ulaya na Marekani. Mipango mingine ya nchi mara nyingi inajumuisha ushirikiano wa kimataifa na mashirika ya kimataifa kama vile Benki ya Dunia, IMF, na mashirika mengine ya maendeleo.
Kwa hiyo, wakati Mpango wa Marshall ulikuwa na mafanikio makubwa katika muktadha wake maalum, mipango mingine ya maendeleo kwa nchi inazingatia mahitaji na changamoto ya nchi husika na inatumia njia mbalimbali za kufikia malengo ya maendeleo endelevu.
Umeandika maneno mengi sana ila lazima ufahamu Plan ilikuwa ni ya Marekani ,Mpango wa Marshall unatofautiana na mipango mingine ya maendeleo ya kiuchumi na kijamii Tanzanian kwa sababu ya muktadha wake na malengo yake maalum. zifuatazo ni tofauti muhimu: