Kafulila: Huenda tuna kizazi bora zaidi kaburini kuliko hiki kilichopo leo duniani

Kafulila ni mwanasiasa wa kiwango cha juu sana
 
Yeye mwenyewe kizazi cha sasa hadunu muda mrefu kwenye nafasi anazopewa yuko tu kama hayo majengo ya kisasa yasiyodumu muda mrefu
Yeye na hayo majengo hawachekani
 
Kafulila ni jembe sana aisee
 
Yeye mwenyewe kizazi cha sasa hadunu muda mrefu kwenye nafasi anazopewa yuko tu kama hayo majengo ya kisasa yasiyodumu muda mrefu
Yeye na hayo majengo hawachekani
Kuhama hama maana yake unajua mengi
 
Kafulila ni hazina ijayo nimemsikiliza vizuri nimekubali kuwa huyu ni hazina
 
Kama unapenda kusoma vitabu… this is a basic fact

What baffles me ni yeye kushangaa…
 
Yuko sahihi nakubaliana naye
 
Wa
WaKati wa vijiji vya ujamaa mwanzoni mwa miaka ya 70 hatukuwa na maafisa ardhi lakini vijiji vilipimwa vizuri na nyumba zilikuwa katika mpangilio mzuri, sasa tunao maafisa ardhi wengi wako maofisini. Angalia miji na vijiji vyetu haviko kwenye mpangilio nyumba zimejengwa hovyo hovyo. Ninakubaliana na kauli ya Kafulia kuwa kizazi kilichoko Kaburini ni bora kuliko kilichoko duniliani
 
Wanatoka Afghanistan au? Si wanatoka kwenye hao unaodai watu wako safi ama?
 
YUKO SAHIHI.NA YKO SMART.CHADEMA INAUWEZO WAKUTENGENEZA VIJANA.
Hayuko smart kihiivyoooo, kaongea maneno ya kweli ila ni ya kawaida tu sio mageni, kila kitu tunajadili hapa jukwaani daily
Kwakifupi, kafulila kachukua nondo zetu hapa JF kaenda kuzi publish kwakua yeye ni social and political figure. Ila mambo haya daily wanayaongea wadau humu akina Robert Heriel Mtibeli ila tunaishia kuwaponda kwakua no body knows them
 
Kafulila ni hazina ijayo nimemsikiliza vizuri nimekubali kuwa huyu ni hazina
Hana uhazina wowote,kaupepo tuu kama kale ka Antony Mtaka.

By the way Kuna mtu hajui kuupiga mwingi wa mdomoni hapa Tanzania ya Nyerere?.

Bahati mbaya sana Nchi hii Huwa inaendeshwa na wataalamu wa spinning za propanda,na hao ndio huonekana wa maana na sio kupimana kwenye matokeo na vigezo vya msingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…