Kafulila: Huenda tuna kizazi bora zaidi kaburini kuliko hiki kilichopo leo duniani

David Kafulila wa ESCROW ndio huyu huyu?
 
Tunaposema ni hazina tunamaana anaumuhimu kwa Taifa
 
Kafulila yuko sahihi hata hivyo
 
Daah
 
Wote nyinyi mafisadi na wapumbavu kilakitu amuwezi, Umeme,maji,Majengo ya shule chakavu, madawati shule hakuna.
 
amesema kweli kabisa.leo unaweza kumpa injinia akujengee nyuma yeye anachofanya aanjiri fundi njaa anabaki asimamia ujenzi kwa remote control.anapiga simu anauliza eti ukuta utakuwa umenyoka?
 
in fact watu wazamani walikuwa na akili nyingi sana .kuna misemo /mithali walizitunga zilikuwa zimejaa mafundisho balaa.mifano hii hapa:

1.afichaye uchi hazai.ni kweli ukificha uchi na huku unataka mtoto huwezi kuzaa,maana mimba utaipateje?

2.mwanamke ukiwa mjamzito usile mayai mengi maana utazaa mtoto mwenye upara: hapa walimaanisha kwamba ukila sana mayai ukiwa mjamzito,mtoto tumboni atakuwa na uzito mkubwa sana ,hivyo mama mjamzito atashindwa kuzaa au kupata fistula

3.ukiwa mjamzito ifikapo miezi sabab usifanye tendo la ndoa ,maana mtoto atazaliwa na mbegu kichwani.kumbe hapa walitaka tusiwachoshe wake zetu

nk
 
amesema kweli kabisa.leo unaweza kumpa injinia akujengee nyuma yeye anachofanya aanjiri fundi njaa anabaki asimamia ujenzi kwa remote control.anapiga simu anauliza eti ukuta utakuwa umenyoka?
Kweli nowadays people are not serious,
 
Watu walikuwa wanafanikiwa zaidi zamani
 
He's very right.

Ungeingia kwenye ubongo wake ungeona picha ya Mwalimu Nyerere, na ya Magufuli.

Even in our families huenda iko hivyo hivyo ila sometimes tunanyamaza tu.
Hakika, Jamaa na Nyerere mtupu aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…