Kafulila: Ifikapo mwaka 2050 kipato cha kila Mtanzania kitakuwa kati ya TZS 12M na 20M pato la Taifa litafikia $700bn mara 9 zaidi ya leo

Hapana lakini Kwakuwa mnyumbuliko wa Pato la kila mtu mmoja mmoja ni mkubwa na kuimarika kwa Shilingi ya Tanzania hiyo ni pesa nyingi sana tuzidishe tu kuomba uhai yajayo yanafurahisha
Hapa tunatakiwa kuangalia wakati uliopita mambo yallivyokuwa pia.
 
Na population itabaki hii iliyopo sass ama?maana haya mambo ni ya kitaalamu sana.
 
Utajiri ni hatua kwa hatua bwana mkubwa Benjamini Netanyahu
Kwa CCM yenu ya kijinga utajiri ni ndoto, miaka 63 ya uhuru bado mnakimbizana na matundu ya vyoo ni ushetani tupu, maendeleo ni hisani ya Rais na siyo dira ya taifa. Wajinga wakubwa nyie, maendeleo yenu ni ushirikina, wizi wa mali za umma, utapeli, utekaji na uuaji. nchi imejaa viwanda vya pombe kali badala ya viwanda vya mikate. shame on you
 
Sasa tunafanyaje kama nyie CHADEMA Limbowe miaka 21 madarakani nahalitaki kutoka Sasa CCM inamakosa gani?
 
Sasa tunafanyaje kama nyie CHADEMA Limbowe miaka 21 madarakani nahalitaki kutoka Sasa CCM inamakosa gani?
CHADEMA inakusanya kodi? umetumwa wewe UWT? aliyewaambiwa nchi inaendeshwa kwa kubet na kunywa pombe muda wote ndiyo mchawi wenu.
 
Betting hata Mimi naichukia sana tu
Vijana 95% hawafanyi kazi ni kubet, kunywa pombe kali, kucheza pool table, uzinzi, uchawa, ushirikina n.k, je tunajenga taifa gani hili? sasahivi ukitaka utajiri wa haraka anzisha kiwanda cha pombe kali chap unakuwa tajiri, anzisha kiwanda cha mikate mikate itakuozea, kwa hiyo hili taifa pombe kali ni muhimu kuliko mikate? nje nguvu kazi ya kesho itakuwepo? hatuoni tunatengeneza tatizo la figo, maini na mapafu? kwanini hatutengezi watu wabunifu badala yake tunatengeneza taifa la watu wavivu? maana sera zetu ni za kijinga sn.
 
This is very bad betting inaharibu sana vijana wetu iangaliwe au iboreshwe
 
This is very bad betting inaharibu sana vijana wetu iangaliwe au iboreshwe
Mkuu ifutwe haina maana yoyote, kwanini wenzetu wahindi na waarabu watoto wao hawashiriki haya mambo ya kijinga? watawala kwao kuwa na taifa la watu wajinga ni faida maana hawawezi kuhoji chochote hata kama mtawala anaharibu ni kusifia tu uchawa mtu apate hela akanywe pombe na kubet
 
BAVICHA tangu Lissu awazindue mmekuwa na akili timamu sasa
 
Hata Mimi nakubaliana na wewe betting ifutwe Kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…