Vijana 95% hawafanyi kazi ni kubet, kunywa pombe kali, kucheza pool table, uzinzi, uchawa, ushirikina n.k, je tunajenga taifa gani hili? sasahivi ukitaka utajiri wa haraka anzisha kiwanda cha pombe kali chap unakuwa tajiri, anzisha kiwanda cha mikate mikate itakuozea, kwa hiyo hili taifa pombe kali ni muhimu kuliko mikate? nje nguvu kazi ya kesho itakuwepo? hatuoni tunatengeneza tatizo la figo, maini na mapafu? kwanini hatutengezi watu wabunifu badala yake tunatengeneza taifa la watu wavivu? maana sera zetu ni za kijinga sn.