Kafulila: Ifikapo mwaka 2050 kipato cha kila Mtanzania kitakuwa kati ya TZS 12M na 20M pato la Taifa litafikia $700bn mara 9 zaidi ya leo

Hata Mimi nakubaliana na wewe betting ifutwe Kabisa
Lazima tuwekeze kwenye kufanya kazi hizi shortcuts za utajiri ni hatari sn kwa ustawi wa taifa letu, mijadala ya vijana 95% ni Simba na Yanga, pombe, wanawake, ushirikina, betting, wizi, uchawa hakuna mafundisho ya kujenga hata kidogo
 
Wale watakaobahatika Uhai na kuwepo Mwaka 2050

Mkishindwa kuwa na Kipato cha milioni 12 Kwa Mwaka, na wastani wa milioni 1 Kwa Mwezi kama alivyosema Bwana Kafulila Kwa niaba ya Serikali

Jitahidi mkamchape viboko, maana wameona kawaida kuwahadaa Watanzania
 
Huenda atakuwa ndio Rais wa nchi kwa wakati huo ya Mungu mengi
 
Awawekee na hesabu za inflation ili mjue thamani ya sh 12M ya 2050 ni nini (purchasing power parity).
 
Namkubali sana Rais Samia pamoja na Bwana Kafulila kwa nia njema kwa Taifa
 
Huenda atakuwa ndio Rais wa nchi kwa wakati huo ya Mungu mengi
Iwapo atalinda afya yake

Maana huyo Kafulila kwasasa hakosi miaka 48+

Kwahiyo miaka 25 mbele kufikia 2050 atakuwa maybe na 75 ama zaidi
 
L
Awawekee na hesabu za inflation ili mjue thamani ya sh 12M ya 2050 ni nini (purchasing power parity).
Lakini inflation ni undetermined, unprojectable huwezi kuisema Leo itategemea na matukio ya wakati huo kama Calamities na mengine
 
Itakuwaje chama kingine kikitwaa mamlaka?
 
hapo fungu la nyanya litakua laki nne
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…