Kafulila kubali yaishe kama Ally Happi. Kalime ama kavue migebuka. Unatia aibu kushinda mitandaoni kujipendekeza kwa mama

Mbona mnawashwa Sana na maoni ya Kafulila? Yaani Kafulila atoe maoni afu nyie ndio muumie? Tabia hizi Ni za kipumbavu Sana.

Sio kila mtu anayefurahishwa na Kiongozi Basi anajipendekeza au anataka kitu fulani kwa vile tuu nyie hamumkubali..

Ila angeshinda kila siku anaansika upuuzi mnaopenda kuueikia ndio mungemuona wa maana si ndio? Stupid kweli nyie..

Kafulila kaza hapo hapo watakuwa wanaitika Hawa wapuuzi.
 
Kama SSH atampatia nafasi serikali au hatampatia mimi na wewe tunapungukiwa nini?. Tujikite kuchambua hoja zake za kiuchumi.

Kwenda moja kwa moja kumshambulia Kafulila sio ustaarabu, pia ni kuishiwa hoja na pia ni kutofanana na uwepo wa jukwaa hili kwa maana ya kuwa great thinker.
 
Kafulila kweli ni tumbili, hawezi kujitegemea zaidi ya kujipendekeza.
 
Huyu haamini yaliyomkuta ndo uhalisia wenyewe...
 
Anachoshindwa Kuelewa kafulila ni kuwa hakuondolewa kwasababu za kiutendaji bali ni kwa sababu ana nasaba na mwendazake katika uchapakazi na uadilifu,hivyo hafiti kwenye team mpya ya WATOTO wa Town!

Nadhani angejikita zaidi kwenye kuandika makala za kuonyesha mbadala wa Serikali ilivyopaswa kuwa kiutendaji!

Mungu aibariki nchi yangu Tanzania!
 
Huyu jamaa sijui hana kazi zingine za kufanya?,Huyu c msomo anayejinasibu kuwa amebobea kwenye maswala mtambuka ya uchumi, yaani anashindwa kufuga hata kuku?! Huyu c ndo hua anasemaga uchumi mzuri na vijana hawaoni fursa?, Kwanza huyu amekuwa kama kurumbizi kuvamia vibanda vya wengine na kujifanya mmiliki. Huyu si CHADEMA huyu au amenogewa.
 
Kwani kuandika kunatumia muda gani?

Kafulila amekuwa hivi kabla, wakati na baada ya UTEUZI,

Kafulila kanyaga twende wabaya wako wote tutawaona
We Kafulila acha mambo yako haya unatumia akaunti gani sasa?
 
Kujipendekeza kunalipa ndugu yangu

Kafulila aula tena
 
Hakuna kitu pale chenga tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…