- Thread starter
- #41
Alikuwa anatumbuiza walevi kwenye vilabu vya pombeKafulila alikuwa anafanya nini kabla ya kuingia kwenye siasa??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa anatumbuiza walevi kwenye vilabu vya pombeKafulila alikuwa anafanya nini kabla ya kuingia kwenye siasa??
Alikuwa anatumbuiza walevi kwenye vilabu vya pombe
Ha haaaa,halimi wala hana nyumba...janja janja FCKafulika ni [emoji87] tumbli, tumbli hawalimi. Wanasubiri wengine walime, wao waje kuparamia shamba.
Sana tena sana anakera mpaka basi.Kafylila ana tia kinyaa
Watu hivyo ni hatari sana yuko tayari kufanya lolote lile baya kwa mwananchi ilimradi tu aliyemteua afurahi.vijana wa Kigoma wanapenda uchawa sana (refer Mwijaku, baba Levo etc) si ajabu Kafulila kuwa hivyo.
Mbona mnawashwa Sana na maoni ya Kafulila? Yaani Kafulila atoe maoni afu nyie ndio muumie? Tabia hizi Ni za kipumbavu Sana.Kafulila aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu kabla ya kutumbuliwa anashinda mitandaoni kila siku kumsifia rais Samia. Bila shaka haamini kama mama kamchoka na kaamua kumtupa kama jongoo.
Mwambieni Kafulila kuwa yeye siyo wa kwanza. Wapo akina Dr. Rutengwe walillia kama Yesu msalabani baada ya kutumbuliwa mpk leo hatujui wako wapi.
Lakini yupo Ally Happi aliyetumbuliwa sambamba na Kafulila yeye (Ally Happi) ameamua kujikita kwenye kilimo. Na tayari amejipatia umaarufu na heshima kubwa kwa kuposti mitandaoni kazi za mikono yake (kilimo). Wengi, hata wale waliokuwa wakimchukia Ally Happi kwa kauli zake wakati wa Magufuli sasa wanampa kongole kwa kuwaonesha vijana kwa vitendo dhana nzima ya kujiajiri.
Kafulila ni mfano mbaya wa kuigwa. Anaamini nje ya uteuzi hakuna maisha, hivyo anaendelea kutoa machapisho yenye mwelekeo wa kulamba miguu ya mama ili amuone na amkumbuke kwenye teuzi.
Shit Kafulila! You deserve curse.
Kama SSH atampatia nafasi serikali au hatampatia mimi na wewe tunapungukiwa nini?. Tujikite kuchambua hoja zake za kiuchumi.Nyani haoni kundule. Mbona hata wewe unanishambulia badala ya kuishambulia hoja yangu? Hebu tuambie, Kafulila hajipend3k3zi kwa mama? Kila siku qnaandika sifa za kijinga humu jukwaani "mama kafanya hivi", hatujakqa sawa "mama anastahili vile". Huoni huu ni uzuzu?? Au wewe ndiye Kafulila?
Kwahiyo unamshauri Kafulila aendelee kujipendekeza kwasabb kulima ni kazi ngumu? Mtu wa hovyo kabisa wewe. Mlamba viatu vilivyopita hata chooni. Siku vikitakata hivyo viatu unavyovilamba utalamba nnya.
Kafulila kweli ni tumbili, hawezi kujitegemea zaidi ya kujipendekeza.Kafulila aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu kabla ya kutumbuliwa anashinda mitandaoni kila siku kumsifia rais Samia. Bila shaka haamini kama mama kamchoka na kaamua kumtupa kama jongoo.
Mwambieni Kafulila kuwa yeye siyo wa kwanza. Wapo akina Dr. Rutengwe walillia kama Yesu msalabani baada ya kutumbuliwa mpk leo hatujui wako wapi.
Lakini yupo Ally Happi aliyetumbuliwa sambamba na Kafulila yeye (Ally Happi) ameamua kujikita kwenye kilimo. Na tayari amejipatia umaarufu na heshima kubwa kwa kuposti mitandaoni kazi za mikono yake (kilimo). Wengi, hata wale waliokuwa wakimchukia Ally Happi kwa kauli zake wakati wa Magufuli sasa wanampa kongole kwa kuwaonesha vijana kwa vitendo dhana nzima ya kujiajiri.
Kafulila ni mfano mbaya wa kuigwa. Anaamini nje ya uteuzi hakuna maisha, hivyo anaendelea kutoa machapisho yenye mwelekeo wa kulamba miguu ya mama ili amuone na amkumbuke kwenye teuzi.
Shit Kafulila! You deserve curse.
Kichwa kimetawaliwa na kujikomba kwa wakubwa ili apate kulaKafulila kweli ni tumbili, hawezi kujitegemea zaidi ya kujipendekeza.
Huyu haamini yaliyomkuta ndo uhalisia wenyewe...Kafulila aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu kabla ya kutumbuliwa anashinda mitandaoni kila siku kumsifia rais Samia. Bila shaka haamini kama mama kamchoka na kaamua kumtupa kama jongoo.
Mwambieni Kafulila kuwa yeye siyo wa kwanza. Wapo akina Dr. Rutengwe walillia kama Yesu msalabani baada ya kutumbuliwa mpk leo hatujui wako wapi.
Lakini yupo Ally Happi aliyetumbuliwa sambamba na Kafulila yeye (Ally Happi) ameamua kujikita kwenye kilimo. Na tayari amejipatia umaarufu na heshima kubwa kwa kuposti mitandaoni kazi za mikono yake (kilimo). Wengi, hata wale waliokuwa wakimchukia Ally Happi kwa kauli zake wakati wa Magufuli sasa wanampa kongole kwa kuwaonesha vijana kwa vitendo dhana nzima ya kujiajiri.
Kafulila ni mfano mbaya wa kuigwa. Anaamini nje ya uteuzi hakuna maisha, hivyo anaendelea kutoa machapisho yenye mwelekeo wa kulamba miguu ya mama ili amuone na amkumbuke kwenye teuzi.
Shit Kafulila! You deserve curse.
Kigoma Ina fursa nyingi za kilimo ni bora angejikita kwenye kilimoHuyu haamini yaliyomkuta ndo uhalisia wenyewe...
We Kafulila acha mambo yako haya unatumia akaunti gani sasa?Kwani kuandika kunatumia muda gani?
Kafulila amekuwa hivi kabla, wakati na baada ya UTEUZI,
Kafulila kanyaga twende wabaya wako wote tutawaona
Kujipendekeza kunalipa ndugu yanguKafulila aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu kabla ya kutumbuliwa anashinda mitandaoni kila siku kumsifia rais Samia. Bila shaka haamini kama mama kamchoka na kaamua kumtupa kama jongoo.
Mwambieni Kafulila kuwa yeye siyo wa kwanza. Wapo akina Dr. Rutengwe walillia kama Yesu msalabani baada ya kutumbuliwa mpk leo hatujui wako wapi.
Lakini yupo Ally Happi aliyetumbuliwa sambamba na Kafulila yeye (Ally Happi) ameamua kujikita kwenye kilimo. Na tayari amejipatia umaarufu na heshima kubwa kwa kuposti mitandaoni kazi za mikono yake (kilimo). Wengi, hata wale waliokuwa wakimchukia Ally Happi kwa kauli zake wakati wa Magufuli sasa wanampa kongole kwa kuwaonesha vijana kwa vitendo dhana nzima ya kujiajiri.
Kafulila ni mfano mbaya wa kuigwa. Anaamini nje ya uteuzi hakuna maisha, hivyo anaendelea kutoa machapisho yenye mwelekeo wa kulamba miguu ya mama ili amuone na amkumbuke kwenye teuzi.
Shit Kafulila! You deserve curse.
Nyie mko bize kusifia gaidi badala ya kusifia Rais ,ona sasa mnaozea kwenye korido za ufipa.
Daraja la Busisi linazidi kuimarika na Kafulila kateuliwa tena. Una jengine?Ni vema aachwe aandike mpk achoke. Kisha ataamua kwenda kuvua samaki
Hakuna kitu pale chenga tu.Kafulila aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu kabla ya kutumbuliwa anashinda mitandaoni kila siku kumsifia rais Samia. Bila shaka haamini kama mama kamchoka na kaamua kumtupa kama jongoo.