Kafulila kubali yaishe kama Ally Happi. Kalime ama kavue migebuka. Unatia aibu kushinda mitandaoni kujipendekeza kwa mama

Kafulila aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu kabla ya kutumbuliwa anashinda mitandaoni kila siku kumsifia rais Samia. Bila shaka haamini kama mama kamchoka na kaamua kumtupa kama jongoo.

Mwambieni Kafulila kuwa yeye siyo wa kwanza. Wapo akina Dr. Rutengwe walillia kama Yesu msalabani baada ya kutumbuliwa mpk leo hatujui wako wapi.

Lakini yupo Ally Happi aliyetumbuliwa sambamba na Kafulila yeye (Ally Happi) ameamua kujikita kwenye kilimo. Na tayari amejipatia umaarufu na heshima kubwa kwa kuposti mitandaoni kazi za mikono yake (kilimo). Wengi, hata wale waliokuwa wakimchukia Ally Happi kwa kauli zake wakati wa Magufuli sasa wanampa kongole kwa kuwaonesha vijana kwa vitendo dhana nzima ya kujiajiri.

Kafulila ni mfano mbaya wa kuigwa. Anaamini nje ya uteuzi hakuna maisha, hivyo anaendelea kutoa machapisho yenye mwelekeo wa kulamba miguu ya mama ili amuone na amkumbuke kwenye teuzi.

Shit Kafulila! You deserve curse.
Mbona mnawashwa Sana na maoni ya Kafulila? Yaani Kafulila atoe maoni afu nyie ndio muumie? Tabia hizi Ni za kipumbavu Sana.

Sio kila mtu anayefurahishwa na Kiongozi Basi anajipendekeza au anataka kitu fulani kwa vile tuu nyie hamumkubali..

Ila angeshinda kila siku anaansika upuuzi mnaopenda kuueikia ndio mungemuona wa maana si ndio? Stupid kweli nyie..

Kafulila kaza hapo hapo watakuwa wanaitika Hawa wapuuzi.
 
Nyani haoni kundule. Mbona hata wewe unanishambulia badala ya kuishambulia hoja yangu? Hebu tuambie, Kafulila hajipend3k3zi kwa mama? Kila siku qnaandika sifa za kijinga humu jukwaani "mama kafanya hivi", hatujakqa sawa "mama anastahili vile". Huoni huu ni uzuzu?? Au wewe ndiye Kafulila?

Kwahiyo unamshauri Kafulila aendelee kujipendekeza kwasabb kulima ni kazi ngumu? Mtu wa hovyo kabisa wewe. Mlamba viatu vilivyopita hata chooni. Siku vikitakata hivyo viatu unavyovilamba utalamba nnya.
Kama SSH atampatia nafasi serikali au hatampatia mimi na wewe tunapungukiwa nini?. Tujikite kuchambua hoja zake za kiuchumi.

Kwenda moja kwa moja kumshambulia Kafulila sio ustaarabu, pia ni kuishiwa hoja na pia ni kutofanana na uwepo wa jukwaa hili kwa maana ya kuwa great thinker.
 
Kafulila aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu kabla ya kutumbuliwa anashinda mitandaoni kila siku kumsifia rais Samia. Bila shaka haamini kama mama kamchoka na kaamua kumtupa kama jongoo.

Mwambieni Kafulila kuwa yeye siyo wa kwanza. Wapo akina Dr. Rutengwe walillia kama Yesu msalabani baada ya kutumbuliwa mpk leo hatujui wako wapi.

Lakini yupo Ally Happi aliyetumbuliwa sambamba na Kafulila yeye (Ally Happi) ameamua kujikita kwenye kilimo. Na tayari amejipatia umaarufu na heshima kubwa kwa kuposti mitandaoni kazi za mikono yake (kilimo). Wengi, hata wale waliokuwa wakimchukia Ally Happi kwa kauli zake wakati wa Magufuli sasa wanampa kongole kwa kuwaonesha vijana kwa vitendo dhana nzima ya kujiajiri.

Kafulila ni mfano mbaya wa kuigwa. Anaamini nje ya uteuzi hakuna maisha, hivyo anaendelea kutoa machapisho yenye mwelekeo wa kulamba miguu ya mama ili amuone na amkumbuke kwenye teuzi.

Shit Kafulila! You deserve curse.
Kafulila kweli ni tumbili, hawezi kujitegemea zaidi ya kujipendekeza.
 
Huyu haamini yaliyomkuta ndo uhalisia wenyewe...
 
Anachoshindwa Kuelewa kafulila ni kuwa hakuondolewa kwasababu za kiutendaji bali ni kwa sababu ana nasaba na mwendazake katika uchapakazi na uadilifu,hivyo hafiti kwenye team mpya ya WATOTO wa Town!

Nadhani angejikita zaidi kwenye kuandika makala za kuonyesha mbadala wa Serikali ilivyopaswa kuwa kiutendaji!

Mungu aibariki nchi yangu Tanzania!
 
Huyu jamaa sijui hana kazi zingine za kufanya?,Huyu c msomo anayejinasibu kuwa amebobea kwenye maswala mtambuka ya uchumi, yaani anashindwa kufuga hata kuku?! Huyu c ndo hua anasemaga uchumi mzuri na vijana hawaoni fursa?, Kwanza huyu amekuwa kama kurumbizi kuvamia vibanda vya wengine na kujifanya mmiliki. Huyu si CHADEMA huyu au amenogewa.
 
Kwani kuandika kunatumia muda gani?

Kafulila amekuwa hivi kabla, wakati na baada ya UTEUZI,

Kafulila kanyaga twende wabaya wako wote tutawaona
We Kafulila acha mambo yako haya unatumia akaunti gani sasa?
 
Kafulila aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu kabla ya kutumbuliwa anashinda mitandaoni kila siku kumsifia rais Samia. Bila shaka haamini kama mama kamchoka na kaamua kumtupa kama jongoo.

Mwambieni Kafulila kuwa yeye siyo wa kwanza. Wapo akina Dr. Rutengwe walillia kama Yesu msalabani baada ya kutumbuliwa mpk leo hatujui wako wapi.

Lakini yupo Ally Happi aliyetumbuliwa sambamba na Kafulila yeye (Ally Happi) ameamua kujikita kwenye kilimo. Na tayari amejipatia umaarufu na heshima kubwa kwa kuposti mitandaoni kazi za mikono yake (kilimo). Wengi, hata wale waliokuwa wakimchukia Ally Happi kwa kauli zake wakati wa Magufuli sasa wanampa kongole kwa kuwaonesha vijana kwa vitendo dhana nzima ya kujiajiri.

Kafulila ni mfano mbaya wa kuigwa. Anaamini nje ya uteuzi hakuna maisha, hivyo anaendelea kutoa machapisho yenye mwelekeo wa kulamba miguu ya mama ili amuone na amkumbuke kwenye teuzi.

Shit Kafulila! You deserve curse.
Kujipendekeza kunalipa ndugu yangu

Kafulila aula tena
 
Hakuna kitu pale chenga tu.
 
Back
Top Bottom