Tetesi: Kafulila kuwa mmoja wa wakuu wa wilaya wapya watakaoteuliwa hivi karibuni

Hii kitu inauma sana, sisi makada tunahangaika kutetea chama ila vyeo wanapewa wapuuzi tu wasiojua uchungu wa chama.

Ndio maana kada mwenzangu Troll JF kaamua kukaa kimya!
Makada makanja nja Kama wewe hawatufai awamu hii ya mwendo wa hapa kazi TU.

Utendaji na ufanisi uliotukuka indio key factor ndani ya CCM mpya.

Kidumu Chama
 
Daaa ina maana CCM yenye wanachama 8m+ haina watu wanaofaa kwa uteuzi mpaka i-outsource?
 
Makada makanja nja Kama wewe hawatufai awamu hii ya mwendo wa hapa kazi TU.

Utendaji na ufanisi uliotukuka indio key factor ndani ya CCM mpya.

Kidumu Chama
Wanasiasa wetu wanavunja moyo!!
Wako kimaslahi zaidi. Hizi ndio nguvu za katiba inayomfanya mtu kuwa mungumtu na hulazimika kuabudiwa [emoji40] [emoji85]
 
Hapa Africa ukijifanya mpinzani saaana utakufa maskini ,na utasahaulika bora uwe ndumilakuwili au tapeli wa siasa utakula meza moja na wakuu.
 

Ndio alichokifata uko Ccm, Masha na wenzake watapewa vyeo siku sio nyingi.
 
Sio kitu cha kushangaza Lowasa,Sumaye,Masha,Mgeja waliingia Chadema siku moja wakakaribishwa hadi chumbani kwa kupewa ujumbe wa kamati kuu,sembuse Kafulila kupewa uRC??
 
Ccm kila mpinzani akirejea ccm eti atatufaa sana kwani nyie hamuwezi?
 
Raisi wetu anachukia rushwa na ndani ya CCM wenye uwezo wa kushika hicho cheo wameisha!!!!

DC wa Arumeru alianza kwa kununua madiwani,ssasa huu usajili uliorasimishwa Ikulu kwa kupokea na kuuzinisha sijui raisi atasema hajahusika!!!
 
Maana yake atakuwa anapata 3mil kwa mwezi
 
WAHA MNA SHIDA.BONGO KUWEPO NI BAHATI MBAYA.KILA KITU NI BANYAMULENGE
 
Sio kitu cha kushangaza Lowasa,Sumaye,Masha,Mgeja waliingia Chadema siku moja wakakaribishwa hadi chumbani kwa kupewa ujumbe wa kamati kuu,sembuse Kafulila kupewa uRC??
Kwani nani anayeshangaa?!!! Kama hawakumshangaa Prof Kitila wanaanzaje kumshangaa David?
 
Kafulila atatufaa sn pale lumumba.

Kijana Ana potential ya kueleweka.
Angekuwa zitto Mara hoo msaliti cheni ubaguzi inatakiwa watu tujifunze sana siobendera kufata upepo siasa za tz zinaharufu ya und
 
Swala ni wale walimwita tumbili wamefanywa nn ccm ni ile usanii unaendelea wapo kwa ajiri ya matumbo yao na familia zao ni km ndugu zetu wazimbambwe km unafikiria kutakuwa na mabadiliko yyote unapoteza muda wako Emmerson Mnangagwa ni Hatari bora hata babuu subiri mienzi 6 tuanza kusikia vilio km leo tunavyomlilia mkwele...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…