Tetesi: Kafulila kuwa mmoja wa wakuu wa wilaya wapya watakaoteuliwa hivi karibuni

Huyo ndio politician ambaye yupo kwa maslahi yake tyu sio kupambania nchi kwa shida zote
 
Kafulila kasahau kuwa Upinzani ndio umemfikisha hapo alipo! Je angekuwa huko Magambani angeweza kuraise issue ya Escrow?
 
Tunamkaribisha sana japo wakuu wa wilaya nao vyuma vimekaza sana
 
Makada makanja nja Kama wewe hawatufai awamu hii ya mwendo wa hapa kazi TU.

Utendaji na ufanisi uliotukuka indio key factor ndani ya CCM mpya.

Kidumu Chama

Kama wa Bashite [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukuu wa wilaya haumtoshi kinana anapaswa kuwa mkuu wa mkoa..
 
Wanaohama wanahama na matatizo ya wananchi?
 
Anaweza,amteue.
 
Hii inasaidia vipi kuinua hali za wananchi wasio ishi kwa vyeo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…