Akishakuwa mwana-CCM hata awe muhamiaji atashika nafasi yoyote hakuna cha vetting.Huko kwingine wanajitambua sana na hutii sheria bila shuruti
Watu waungwana sana sio wababe baby na dharau kama kwingine.Sio rahisi mgeni akapenya kufikia uraisi kutoka huko kwingine
Kigoma mtu aweza shika ila Vetting yake sio ya kitoto imekakamaa hasa
Mbona Phillip Mpango ni makamu wa Raisi na anatokea Kigoma
Raisi kutoka kigoma Yawazekana ila Vetting yake kali kuliko kwingine
Mkuu mwanza imepakana na nchi gani jirani?Ama unataka kusema Mara ni nchi nyingine?Shida yako ni chuki na kukosa maarifa, majina ya kibatu yanafanana sana na siyo kigezo cha kukataa utanzania wq kafulila. Fatilia majina ya Watanzania wengi wanaotoka mikoa ya mipakani utagundua majina mengi yanapatikana nchi nyingine pia na hiyo siyo sababu ya kutilia shaka utanzania wao.
Nenda Arusha, Kilimanjaro, Manyara, Kagera, Rukwa, Kigoma, Mtwara, Mwanza, Tanga (mpakani na Mombasa) n.k utagundua hilo na utajidharau. Mwisho wa siku tafuta hela upunguze wivu.
Sio kweli nadhani asitoke huko kulee kanda ya ziwa Tanganyika au jirani awe mkoa wowote Vetting yake kwa sasa ni ya kufa mtu kama walikatiza ni huko nyuma na kama yuko yeyote ana post sasa hivi akimaliza muda wa hiyo post kwa heri ya kuonana awasalimie kwao hakuna re appointment yeyote itafanyika hivyo atunze vizuri anachopata sababu hatarudi tena post yeyoteAkishakuwa mwana-CCM hata awe muhamiaji atashika nafasi yoyote hakuna cha vetting.
Hizo tafiti hazitajiki? Kafanya Nani hizo tafiti? Wapi?===
Akihojiwa na kituo Cha runinga Cha Clouds Media Group Mkurugenzi wa PPP -Centre Bw David Kafulila alikuwa na haya ya kusema "Tafiti zilionesha mwaka 2015 mahitaji ya miundombinu yaliyokuwepo mwaka 2015 yalijitosheleza kwa asilimia 30% tu ya mahitaji ya mwaka 2050.
Ukitazama mwenendo wa uchumi unaona kwamba Tanzania itahitaji kujenga uchumi mkubwa zaidi ya Afrika kusini ya leo ndani ya miaka 25. Hii inaokuonesha umuhimu wa kutumia PPP kufikia matarajio makubwa.
Tunachakata kupata mwekezaji kujenga barabara ya kisasa ya kulipia Kibaha - Chalinze mpaka Morogoro, wawekezaji wanajua pamoja na uwepo wa SGR ya kisasa bado mahitaji ya usafiri yataendelea kuwa makubwa kutokana na ukubwa wa uchumi unaojengwa "
===
View attachment 3074274
Kafulila ni Mtanzania halisiAkishakuwa mwana-CCM hata awe muhamiaji atashika nafasi yoyote hakuna cha vetting.
Ni baadhi yao tu lakini wengi wao ni watu wa watu.Hawa wanasiasa maneno lukuki vitendo hafifu sio wa kuwaamini sana wakikabidhiwa minofu wanasahau kabisa wananchi
Tatizo la huyu kaka ni hilo tu ila ni mtu mwenye maono ya mbali sanaHuyu angekuwa Raia angetufaa sana hata kwa Urais ila shida mrundi
Kafulila ni chawa tu hakuna mwenye akili anayemsikiliza===
Akihojiwa na kituo Cha runinga Cha Clouds Media Group Mkurugenzi wa PPP -Centre Bw David Kafulila alikuwa na haya ya kusema "Tafiti zilionesha mwaka 2015 mahitaji ya miundombinu yaliyokuwepo mwaka 2015 yalijitosheleza kwa asilimia 30% tu ya mahitaji ya mwaka 2050.
Ukitazama mwenendo wa uchumi unaona kwamba Tanzania itahitaji kujenga uchumi mkubwa zaidi ya Afrika kusini ya leo ndani ya miaka 25. Hii inaokuonesha umuhimu wa kutumia PPP kufikia matarajio makubwa.
Tunachakata kupata mwekezaji kujenga barabara ya kisasa ya kulipia Kibaha - Chalinze mpaka Morogoro, wawekezaji wanajua pamoja na uwepo wa SGR ya kisasa bado mahitaji ya usafiri yataendelea kuwa makubwa kutokana na ukubwa wa uchumi unaojengwa "
===
View attachment 3074274
Wewe ndio mwenye akili?Kafulila ni chawa tu hakuna mwenye akili anayemsikiliza
🤣🤣Labda Uchumi Wa Kazulamimba Ila Siyo Tanzania
Mtafiti huru yupi?Huyu mtafiti huru apewe walau u DC jamani - kazi anayoifanya ni kubwa.
Kafulila ni Mwamba sana===
Akihojiwa na kituo Cha runinga Cha Clouds Media Group Mkurugenzi wa PPP -Centre Bw David Kafulila alikuwa na haya ya kusema "Tafiti zilionesha mwaka 2015 mahitaji ya miundombinu yaliyokuwepo mwaka 2015 yalijitosheleza kwa asilimia 30% tu ya mahitaji ya mwaka 2050.
Ukitazama mwenendo wa uchumi unaona kwamba Tanzania itahitaji kujenga uchumi mkubwa zaidi ya Afrika kusini ya leo ndani ya miaka 25. Hii inaokuonesha umuhimu wa kutumia PPP kufikia matarajio makubwa.
Tunachakata kupata mwekezaji kujenga barabara ya kisasa ya kulipia Kibaha - Chalinze mpaka Morogoro, wawekezaji wanajua pamoja na uwepo wa SGR ya kisasa bado mahitaji ya usafiri yataendelea kuwa makubwa kutokana na ukubwa wa uchumi unaojengwa "
===
View attachment 3074274
Dalili za mtu tapeli ni matumizi ya body language isivyohitajika..unarusha rusha mikono pasina sababu..anafeel maneno tu hayatoshi! Tapeli!===
Akihojiwa na kituo Cha runinga Cha Clouds Media Group Mkurugenzi wa PPP -Centre Bw David Kafulila alikuwa na haya ya kusema "Tafiti zilionesha mwaka 2015 mahitaji ya miundombinu yaliyokuwepo mwaka 2015 yalijitosheleza kwa asilimia 30% tu ya mahitaji ya mwaka 2050.
Ukitazama mwenendo wa uchumi unaona kwamba Tanzania itahitaji kujenga uchumi mkubwa zaidi ya Afrika kusini ya leo ndani ya miaka 25. Hii inaokuonesha umuhimu wa kutumia PPP kufikia matarajio makubwa.
Tunachakata kupata mwekezaji kujenga barabara ya kisasa ya kulipia Kibaha - Chalinze mpaka Morogoro, wawekezaji wanajua pamoja na uwepo wa SGR ya kisasa bado mahitaji ya usafiri yataendelea kuwa makubwa kutokana na ukubwa wa uchumi unaojengwa "
===
View attachment 3074274
Mpeni ubunge kwao alikotoka..afanye kwanza huko hayo anayodhani kichwani mwake, akifanikiwa..bas hata kitaifa atafanikiwa, mengi anayoongea ni km fictional..unaweza kuvutiwa kuyasikiliza lkn t doesn't make sense at all!Tatizo la huyu kaka ni hilo tu ila ni mtu mwenye maono ya mbali sana
Kwani kuongea kwa kurusha rusha mikono ni kosa?Dalili za mtu tapeli ni matumizi ya body language isivyohitajika..unarusha rusha mikono pasina sababu..anafeel maneno tu hayatoshi! Tapeli!
Ubunge lazima apate hata hivyo kwani Wananchi wanamkubali sanaMpeni ubunge kwao alikotoka..afanye kwanza huko hayo anayodhani kichwani mwake, akifanikiwa..bas hata kitaifa atafanikiwa, mengi anayoongea ni km fictional..unaweza kuvutiwa kuyasikiliza lkn t doesn't make sense at all!