Kafulila: Kwa Utafiti uliopo ndani ya miaka 25 ijayo Tanzania italazimika kujenga uchumi sawa au zaidi ya Afrika ya Kusini ya leo

===
Akihojiwa na kituo Cha runinga Cha Clouds Media Group Mkurugenzi wa PPP -Centre Bw David Kafulila alikuwa na haya ya kusema "Tafiti zilionesha mwaka 2015 mahitaji ya miundombinu yaliyokuwepo mwaka 2015 yalijitosheleza kwa asilimia 30% tu ya mahitaji ya mwaka 2050.

Ukitazama mwenendo wa uchumi unaona kwamba Tanzania itahitaji kujenga uchumi mkubwa zaidi ya Afrika kusini ya leo ndani ya miaka 25. Hii inaokuonesha umuhimu wa kutumia PPP kufikia matarajio makubwa.

Tunachakata kupata mwekezaji kujenga barabara ya kisasa ya kulipia Kibaha - Chalinze mpaka Morogoro, wawekezaji wanajua pamoja na uwepo wa SGR ya kisasa bado mahitaji ya usafiri yataendelea kuwa makubwa kutokana na ukubwa wa uchumi unaojengwa "

=====

View attachment 3074274
Halafu mje mtuambia nchi haina dola kama utalii umeongezeka basi tuone manufaa yake
 
===
Akihojiwa na kituo Cha runinga Cha Clouds Media Group Mkurugenzi wa PPP -Centre Bw David Kafulila alikuwa na haya ya kusema "Tafiti zilionesha mwaka 2015 mahitaji ya miundombinu yaliyokuwepo mwaka 2015 yalijitosheleza kwa asilimia 30% tu ya mahitaji ya mwaka 2050.

Ukitazama mwenendo wa uchumi unaona kwamba Tanzania itahitaji kujenga uchumi mkubwa zaidi ya Afrika kusini ya leo ndani ya miaka 25. Hii inaokuonesha umuhimu wa kutumia PPP kufikia matarajio makubwa.

Tunachakata kupata mwekezaji kujenga barabara ya kisasa ya kulipia Kibaha - Chalinze mpaka Morogoro, wawekezaji wanajua pamoja na uwepo wa SGR ya kisasa bado mahitaji ya usafiri yataendelea kuwa makubwa kutokana na ukubwa wa uchumi unaojengwa "

=====

View attachment 3074274
Jamaa huyu ni faida kwa Taifa
 
Anaongea kama sehemu ya mpango KAZI wa miaka 25 ijayo kama mtekelezaji wa mipango hiyo!!!
Mbona kama ni yeye!!?

Yaani awe yeye au !!
 
Huko kwingine wanajitambua sana na hutii sheria bila shuruti
Watu waungwana sana sio wababe baby na dharau kama kwingine.Sio rahisi mgeni akapenya kufikia uraisi kutoka huko kwingine

Kigoma mtu aweza shika ila Vetting yake sio ya kitoto imekakamaa hasa

Mbona Phillip Mpango ni makamu wa Raisi na anatokea Kigoma

Raisi kutoka kigoma Yawazekana ila Vetting yake kali kuliko kwingine
Hakuna vetting yoyote inayofanyika zaidi ya rushwa na ushirikina
 
Huyu angekuwa Raia angetufaa sana hata kwa Urais ila shida mrundi

Inabidi tufunguke kiakili kwanza ndipo tutaendelea.

Obama, baba yake alikuwa Mkenya akachguliwa kuwa Rais wa Marekani.

Trump, baba yake alikuwa Mjerumani na mama yake Mdcotland akachuguliwa kuwa Rais wa Marekani.

Kamila Harris, baba Mjamaika, Mama Mhindi kwa sasa ni Makamu wa Rais and the next President of the USA.

Sasa kama Kafulila amezaliwa hapa, kakulia hapa anakuwaje bado ni Mrundi...!!?
 
Hujui kitu kidogo hicho
Kenya na marekani wanaruhusu uraia pacha ndio maana Obama, Trump na Kamila Harris wameweza kushika uongozi wa juu

Tanzania haturuhusu uraia pacha.
 
Wewe ndiye utakuwa hujui nilichoandika......Hiyo haihusiani na Uraia pacha.

Marekani kuwa Rais ni lazima uwe Raia wa kuzaliwa Amerika. Tofauti na kwetu ukizaliwa nchini wanaanza kuangalia tena Uraia wa wazazi wako kwanza .....!!
 
===
Akihojiwa na kituo Cha runinga Cha Clouds Media Group Mkurugenzi wa PPP -Centre Bw David Kafulila alikuwa na haya ya kusema "Tafiti zilionesha mwaka 2015 mahitaji ya miundombinu yaliyokuwepo mwaka 2015 yalijitosheleza kwa asilimia 30% tu ya mahitaji ya mwaka 2050.

Ukitazama mwenendo wa uchumi unaona kwamba Tanzania itahitaji kujenga uchumi mkubwa zaidi ya Afrika kusini ya leo ndani ya miaka 25. Hii inaokuonesha umuhimu wa kutumia PPP kufikia matarajio makubwa.

Tunachakata kupata mwekezaji kujenga barabara ya kisasa ya kulipia Kibaha - Chalinze mpaka Morogoro, wawekezaji wanajua pamoja na uwepo wa SGR ya kisasa bado mahitaji ya usafiri yataendelea kuwa makubwa kutokana na ukubwa wa uchumi unaojengwa "

=====

View attachment 3074274
Haya mashairi yanatuchosha, miaka nenda rudi kujipambanua, fanyeni kazi maofisini hizi tabia za kujipambanuapambanua kwenye media siyo hitaji la wananchi
 
Wewe ndiye utakuwa hujui nilichoandika......Hiyo haihusiani na Uraia pacha.

Marekani kuwa Rais ni lazima uwe Raia wa kuzaliwa Amerika. Tofauti na kwetu ukizaliwa nchini wanaanza kuangalia tena Uraia wa wazazi wako kwanza .....!!
Kuzaliwa katika nchi hakukupi uraia automatically hakuna kitu kama hicho kwa nchi kama zetu zisizoruhusu uraia pacha

Kila mtu anazaliwa na uraia wa nchi yake ndio maana watoto wa wakimbizi mfano walioko makambini Tanzania wakizaliwa hawawi raia wa Tanzania wanabaki na uraia wa nchi zao
 
You are not getting the point .... Mkuu, mtu unayejaribu kuelimisha yuko nje ya nchi na watoto wake wamezaliwa nje ya nchi. Hayo unayoyasema anayafahamu na yameiaffect familia yake.
 
Kwa Tanzania uraia haangaliwi mtoto wanaangaliwa wazazi kwanza je wao ni raia kama sio automatically mtoto hawezi kuwa raia

Sababu baba na mama kama raia ina babu na bibi walikuwa raia

Kifupi uraia wa Tanzania unaanzia kule kwa babu na bibi maana ku determine mtu kama raia wa Tanzania babu na bibi lazims wawe raia wa Tanzania

Marekani ,Canada na ulaya na nchi nyinginezo zenye uraia pacha sivyo.Mtoto akizaliwa kwenye ardhi yao huyo anahesabika kama raia wao
 
Huyu angekuwa Raia angetufaa sana hata kwa Urais ila shida mrundi
Kafulira siyo mrundi.Muwe mnafanya tafiti.yeye ni msukuma bali kachanganya wazazi.baba msukuma na mama ni mfipa na wazazi wake wanaishi uvinza na ni wakulima.hivyo msidhani kila anayeishi kigoma ni mrundi la hasha ndio maana wakati anagombea ubunge uvinza inasemekana zito kabwe alisaidia kumhujumu kafulira asishinde ubunge sababu ZT ni mtu mwenye asili ya jongo.
 
Back
Top Bottom