Na hilo jina la Chifu Nkunda alilotawazwa nalo Kafulila je Wafipa na wasukuma kuna Chifu yeyote anaitwa Nkunda kati ya hayo makabila mawili?Kafulila mama mfipa ,baba msukuma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hilo jina la Chifu Nkunda alilotawazwa nalo Kafulila je Wafipa na wasukuma kuna Chifu yeyote anaitwa Nkunda kati ya hayo makabila mawili?Kafulila mama mfipa ,baba msukuma
Na hilo jina la Chifu Nkunda alilotawazwa nalo Kafulila je Wafipa na wasukuma kuna Chifu anaitwa Nkunda kati ya hayo makabila mawili?
Kwa hiyo kwa kigoma Chifu Nkunda hilo jina Nkunda kwa kigoma ni kabila lipi hasa wanatumia Nkunda kwenye makabila ya kigomaLakini si unajua hata sugu siyo mnyaki ila alipewa jina flani hivi la kinyaki kisa amekulia Mbeya, kafulila amekaa kigoma kupewa uchifu kama tunu na wanazengo inawezekana, tumeona viongozi wa kisiasa wanapewa uchifu maeneo ambayo siyo Yao kwa heshima tu, achilia mbali PhD ambazo wabongo kwa utamaduni wetu tu wa kujikomba kwa viongozi ili taasisi za elimu ziwe recognized tumewapa viongozi kibao, kikwete alipewa PHD na teku😆😆, sembuse uchifu mwamba! Hata viongozi wa kimila wanajikomba,ni WA Tanzania kama nyinyi,na kujikomba ni hulka Yao, kumpa kafulila uchifu just kwa kuangalia tu kesho yake inavoweza kung'aa hawashindwi,ila kafulila nae anaweza waonga viongozi wa kimila wampe uchifu ili kuequalize na washindani wake Akina chifu zito kabwe , usimwamini mtanzania Wala mwanasiasa, ukitaka hata Mimi usiniamini😅😅ila kafulila ni mtanzania, msukfipa,
Hili Jina la chief Nkunda limekujaje?Kwa hiyo kwa kigoma Chifu Nkunda hilo jina Nkunda kwa kigoma ni kabila lipi hasa wanatumia Nkunda kwenye makabila ya kigoma
Nkunda kwa kiswahili fasaha ni kama penda au kupenda kwa mantiki ya kibantu,Sasa waza kwenye lugha zetu za kibantu najua hata kwa Waha Hilo neno nkunda lina mahusiano na maana yangu,Kwa hiyo kwa kigoma Chifu Nkunda hilo jina Nkunda kwa kigoma ni kabila lipi hasa wanatumia Nkunda kwenye makabila ya kigoma
Nkunda kwa makabila ya kigoma ni kabila lipi linatumia Nkunda kwa kigoma?Nkunda kwa kiswahili fasaha ni kama penda au kupenda kwa mantiki ya kibantu,Sasa waza kwenye lugha zetu za kibantu najua hata kwa Waha Hilo neno nkunda lina mahusiano na maana yangu,
Jamaa kakulia kigoma ila ni msukuma, jongwe (Sugu) jina halijambadilisha kuwa mnyaki,japo amekulia mbeya
Kafulila alitawazwa uchifu kule kigoma kimila wakampa jina chifu NkundaHili Jina la chief Nkunda limekujaje?
😆😆😆 Ufafanuzi wangu na unachotaka Viko tofauti,mi nakufafanulia kwamba jamaa siyo Muha Wala mtusi kwa mifano,we umekazana kutafuta asilo ya neno nkunda,nimekwambia kwenye Kiha lipo,unauliza Tena ni kabila lipo,haya basi ngoja tumpeleke huko unakotaka,Sasa chagua awe wa Burundi au Rwanda!?Nkunda kwa makabila ya kigoma ni kabila lipi linatumia Nkunda kwa kigoma?
Mawazo mazuri LAKINI ningemtaka Kafulila atupe mfano au mifano hai nchini kwetu ambapo PPP imeishaanza,na kama haipo shida ni nini?Yuko sahihi...
Heko kwake....
Tulipopata uhuru wetu ,Dar es salaam ilikuwa na wakazi laki 3 tu.....nchi nzima walikuwa milioni 9......
Leo tuko milioni 60+.....
Wawekezaji waijenge tu hiyo barabara ya kulipia kutoka Kibaha mpaka Morogoro.....
#Rais Samia na 4R's [emoji7][emoji7]
Kwa Hiyo umeamini Maneno yake...!?Huyu angekuwa Raia angetufaa sana hata kwa Urais ila shida mrundi
Naachia wengine wamchagulie chief Nkunda hasa kwao wapi? Rwanda au Burundi?😆😆😆 Ufafanuzi wangu na unachotaka Viko tofauti,mi nakufafanulia kwamba jamaa siyo Muha Wala mtusi kwa mifano,we umekazana kutafuta asilo ya neno nkunda,nimekwambia kwenye Kiha lipo,unauliza Tena ni kabila lipo,haya basi ngoja tumpeleke huko unakotaka,Sasa chagua awe wa Burundi au Rwanda!?
Yaani "vetting" ya alipo ikosewe apewe asiye raia?!!Tatizo Uraia tu
Huyu angekuwa Raia angetufaa sana hata kwa Urais ila shi
Kwa uwezo wako wa kufikiri unadhani ili uwe raia uzaliwe mkoa gani hapa tz?Huyu angekuwa Raia angetufaa sana hata kwa Urais ila shida mrundi
Ni lini Kafulila aliitwa Nkunda ShotocanNkunda kwa makabila ya kigoma ni kabila lipi linatumia Nkunda kwa kigoma?
Wakati akitawazwa kuwa chifu kule kigoma lile jimbo lake aligombea walimtawaza uchifu na baada ya kumtawaza chifu wakampa jina Chifu Nkunda wala sio siri tukio lilikuwa la wazi hadharani hawakufanyia chumbaniNi lini Kafulila aliitwa Nkunda Shotocan