Kanali_
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 6,438
- 10,180
Akishakuwa mwana-CCM hata awe muhamiaji atashika nafasi yoyote hakuna cha vetting.Huko kwingine wanajitambua sana na hutii sheria bila shuruti
Watu waungwana sana sio wababe baby na dharau kama kwingine.Sio rahisi mgeni akapenya kufikia uraisi kutoka huko kwingine
Kigoma mtu aweza shika ila Vetting yake sio ya kitoto imekakamaa hasa
Mbona Phillip Mpango ni makamu wa Raisi na anatokea Kigoma
Raisi kutoka kigoma Yawazekana ila Vetting yake kali kuliko kwingine