Kafulila: Kwa Utafiti uliopo ndani ya miaka 25 ijayo Tanzania italazimika kujenga uchumi sawa au zaidi ya Afrika ya Kusini ya leo

Huyu ni yeye tunayemtarajia?
 
Aseme wakati huo Afrika kusini ikiwa wapi. Inashangaza kwenye mashindano kushangilia uwezekano wa kufika alipo mshindani ambaye atakuwa mbali zaidi yako wakati huo
 
Aseme wakati huo Afrika kusini ikiwa wapi. Inashangaza kwenye mashindano kushangilia uwezekano wa kufika alipo mshindani ambaye atakuwa mbali zaidi yako wakati huo
Kama umesikiliza vizuri, ametoa mfano tuu.
Hakuna mashindano wala nini.
 
Ubunge lazima apate hata hivyo kwani Wananchi wanamkubali sana
Akaanzie huko kwao..sijui kwa nini he feels very insecure, hata kamradi kadogo tu kusaidia watu wa huko kwao hana, kila siku maneno yale yale..! Mtu mbunifu na kwa platform aliyo nayo vitendo ndio vingeongea zaidi!
 
Tatizo Uraia tu
 
Kafulila ni master
 
Ni ajabu kushangilia hizi discriminations/classes ,Barabara ni public goods,sawa na bomba za maji safi,taka,viwanja vya ndege na nk ,Tujenge Barabara nzuri na za viwango tupite wote,kama tunavyokunywa maji wote,inaweza isiishie Barabara ukasikia na baadhi ya maeneo,hospitali,shule na hata viwanja vya burudani ni lazima ulipe ndio uruhusiwe kukanyaga,kama si unakumbuka kilichotaka kufanyoka pale "Koko beach"
 
Naona huyu two2 kichwa chake limeanza kujitambua vizuri
 
Hofu yako ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…