Kafulila: Mwaka mmoja tu wa Rais Samia mauzo ya bidhaa na huduma nje yameongezeka kwa US$ 2.8bl Sawa na Shilingi trilioni 6

Kwayanayoendelea hapa Jf, Unaweza Unadhani Rais hafanyi lolote, Ukweli Ni kwamba Rais huyu anafanya kazi kubwa Sana ever,

Wanaomsemea sio Sawa kuwashambulia wao badala ya hoja zao,
Kweli kabisa Rais Samia Suluhu amefanya maendeleo mengi sana tena katika sekta muhimu zinazomlenga direct mwananchi
 
Kupe at work , kweli kitaa kugumu
 
Kaka kuna Rais anaukuna moyo wangu basi Ni Samia Suluhu Hassan
 
Ngedere anahangaika sana
 
Unafahamu Protocol mjomba? Au kisa bando ni lako !!
Protocol kwa vibarua vya serikali au? unataka heshima na pesa anzisha kampuni yako sio kuvizia vibarua vya serikali utakufa maskini tuu au uwe mwizi tuu utishie washamba wenzako
 
Protocol kwa vibarua vya serikali au? unataka heshima na pesa anzisha kampuni yako sio kuvizia vibarua vya serikali utakufa maskini tuu au uwe mwizi tuu utishie washamba wenzako
Kuhusu kuanzisha kampuni yako Mimi nakuunga mkono japo sio Sawa kudharau walioajiliwa
 
Ngoja ngedere walambe teuzi kwanza
Insue sio teuzi Insue ni Uzalendo kwa Taifa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…