Kafulila: Mwaka mmoja tu wa Rais Samia mauzo ya bidhaa na huduma nje yameongezeka kwa US$ 2.8bl Sawa na Shilingi trilioni 6

Wakati baadhi ya Watanzania wachache wakiendelea kufumba macho na masikio wasione wala kusikia kazi kubwa na Nzuri inayofanywa na Rais wetu hodari wa awamu ya sita Mhe Samia Suluhu Hassan,

Aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe David Kafulila ameandika haya Kwenye ukurasa wake wa tweeter kuhusu Tanzania kuvunja rekodi ya kuuza nje ya nchi bidhaa na huduma,

Kwa taarifa tu, Rekodi hii haijawahi kutokea tangu nchi yetu iwe huru kisiasa na kiuchumi,

#Hongera Rais Samia Suluhu Hassan na team yako,

👇👇👇

View attachment 2365046
Mama amejitahidi sana aisee japokua kaikuta nchi ikiwa katika janga la corona pia vicha vya ukraine nchi nyingi ziliyumba kiuchumi lakini Tanzania imesimama chini ya Rais Samia Suluhu kweli mama anaupiga mwingi
 
Ila huyu Mama anajitahidi Sana tukiacha chuki zetu za kijinga kijinga,
Mauzo kuongezeka kwa trilioni 6 sio jambo dogo,
2025 kura yangu anayo huyu Mama
Sure kwa maendeleo haya aliyofanya mama 2025 hana mpinzani
 
Hakika Mama anaupiga mwingi mno, Tatizo la Watanzania Ni mfumo dume tu ila kazi inafanyika kwa Rais Samia
Bado wanamawazo ya kizamani et mwananume ndio anafanya kazi nzuri lakni mama amewa prove wrong yani amefanya kazi ambayo ingefanyika ata kwa miaka mi3 lakin yeye amefanya ndani ya siku 553 wazungu wanasema "what a man can do, a woman can do better"
 
Wakati baadhi ya Watanzania wachache wakiendelea kufumba macho na masikio wasione wala kusikia kazi kubwa na Nzuri inayofanywa na Rais wetu hodari wa awamu ya sita Mhe Samia Suluhu Hassan,

Aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe David Kafulila ameandika haya Kwenye ukurasa wake wa tweeter kuhusu Tanzania kuvunja rekodi ya kuuza nje ya nchi bidhaa na huduma,

Kwa taarifa tu, Rekodi hii haijawahi kutokea tangu nchi yetu iwe huru kisiasa na kiuchumi,

#Hongera Rais Samia Suluhu Hassan na team yako,

[emoji116][emoji116][emoji116]

View attachment 2365046

Hahahaha yani unacho kiongea na ukiwauliza watanzania hali halisi na mtaani ni vigumu sana kukuelewa kabisa yani hiki unacho kiongea ...ni kama vichekesho tuu....hali ya mtaani ikoje?
 
Wakati baadhi ya Watanzania wachache wakiendelea kufumba macho na masikio wasione wala kusikia kazi kubwa na Nzuri inayofanywa na Rais wetu hodari wa awamu ya sita Mhe Samia Suluhu Hassan,

Aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe David Kafulila ameandika haya Kwenye ukurasa wake wa tweeter kuhusu Tanzania kuvunja rekodi ya kuuza nje ya nchi bidhaa na huduma,

Kwa taarifa tu, Rekodi hii haijawahi kutokea tangu nchi yetu iwe huru kisiasa na kiuchumi,

#Hongera Rais Samia Suluhu Hassan na team yako,

👇👇👇

View attachment 2365046
Kafulila yuko vizuri,
 
Kwayanayoendelea hapa Jf, Unaweza Unadhani Rais hafanyi lolote, Ukweli Ni kwamba Rais huyu anafanya kazi kubwa Sana ever,

Wanaomsemea sio Sawa kuwashambulia wao badala ya hoja zao,
 
Tatizo serikali za kiafrika haziaminiki Duniani hata mbinguni.
Kupika data ndiyo staili pendwa kwa viongozi wa kiafrika
Wakati baadhi ya Watanzania wachache wakiendelea kufumba macho na masikio wasione wala kusikia kazi kubwa na Nzuri inayofanywa na Rais wetu hodari wa awamu ya sita Mhe Samia Suluhu Hassan,

Aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe David Kafulila ameandika haya Kwenye ukurasa wake wa tweeter kuhusu Tanzania kuvunja rekodi ya kuuza nje ya nchi bidhaa na huduma,

Kwa taarifa tu, Rekodi hii haijawahi kutokea tangu nchi yetu iwe huru kisiasa na kiuchumi,

#Hongera Rais Samia Suluhu Hassan na team yako,

[emoji116][emoji116][emoji116]

View attachment 2365046
 
Huyu aliyekuwa mtetezi / mwakilishi wa wananchi na msimamia serikali amegeuka kuwa mtetezi / mpambe /chawa wa Rais ?!!!

Nadhani angetumia muda wake kwa constructive critisism angelisaidia sana Taifa (Au anadhani everything okay) !!! Anyway kama ndivyo ani-consult kwa haraka haraka naweza kuorodhesha mambo yanayokwenda mrama ambayo kila raia / layman anayaona
 
Kwani watu kumsemea nako iwe nongwa?

Umeandika kama wale ndugu wanaonukuu kifungu kimoja kwenye msahafu na kukomaa nacho.

Rejea chimbuko la nilichoandika kujridhisha ulichoandika kuwa na mantiki.
 
Tatizo liko wapi kama mtu atajitokeza na kumsemea Mama vizuri?
 
Back
Top Bottom