Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Hutakiwi kuzaa kwa sababu ardhi ni kubwa, bali uzae kama una uwezo wa kuhudumia hao watoto na kumiliki hiyo biiiggg land.Ndo uzae sasa...the land is so biiiiggg...
Hutakiwi kuzaa kwa sababu ardhi ni kubwa, bali uzae kama una uwezo wa kuhudumia hao watoto na kumiliki hiyo biiiggg land.Ndo uzae sasa...the land is so biiiiggg...
Acha uoogaaHutakiwi kuzaa kwa sababu ardhi ni kubwa, bali uzae kama una uwezo wa kuhudumia hao watoto na kumiliki hiyo biiiggg land.
Sitaki watoto wako wawe bodaboda walete usumbufu kwenye gari yangu barabarani.Acha uoogaa
Ukweli gani? Tanzania Ina mapori ambayo hayajawai guswa yapo tu.Huo ndio ukweli lakini wanasiasa wengi ni waongo hawawaambii wananchi ukweli na kidogo kinachopatikana wanakiiba
Magu was perfect. Haya Mafisadi yanatafuta kichaka Cha kujificha tu.Magu si alisema watu wafyatue tu?
Kwamba nchi hii ni kubwa sana na bado ina mapori mengi.
Sasa madhara wameanza kuyaona.
Kama hii nchi hujatembea ni rahisi kusema hivyo.Mapori ni kwa ajili ya utalii, kilimo, ufugaji na misitu.
Je, unadhani haya Matatzo yanasababishwa na Mfumo mbovu wa mpango wa uzazi au serikari?Inatakiwa ipitishwe sheria kwamba mtu akizaa huku akiwa hana uchumi wa kueleweka, afungwe jela afanye kazi ngumu.
Pia ikiwa mtu anao uchumi mzuri asiruhusiwe kuwa na watoto zaidi ya wawili.... Ikitokea akazidisha nae afungwe jela ili asiendelee kuzaa.
Yani unnapita njiani umakutana na makundi ya vijana kazi yao ni kuvuta bangi, pombe, sigara na kupora watu alafu wakirudi nyumbani kazi yao ni kugombania kidogo cha wazazi. Tutakua taifa la aina gani tusipochukua hatua?
Sahihi kabisa, watu wanajifyatulia tu watoto wasio na uwezo wa kuwahudumia! Tunaishi kama watu tusiostaarabika! Ongezeko la watoto wa mitaani ni kiashiria tosha cha janga linalotukabili la uzazi holela.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC), David Kafulila, ametoa angalizo la kiuchumi kuhusu mipaka na uwezo wa kifedha wa serikali, akisisitiza kuwa nchi haiwezi kuendelea kubeba mzigo wa kujenga kila mradi wa kibiashara huku ikikabiliwa na ongezeko kubwa la idadi ya watu linalohitaji uwekezaji wa haraka katika elimu ya ufundi na maarifa.
Akiongoza mhadhara, Mkurugenzi Mtendaji wa PPPC, David Kafulila, alieleza kwa mantiki kuwa mfumo wa ubia kati ya sekta ya umma na sekta binafsi si anasa, bali ni dharura ya kiutawala inayosaidia kuondoa urasimu na kuelekeza rasilimali kwenye maeneo yenye tija zaidi kwa jamii.
“Serikali haiwezi kuwa na bajeti ya kutosha kujenga barabara kuu, masoko na vituo vya mabasi, kisha ikagharamia hadi ujenzi wa vyoo ndani ya stendi hizo na kubakiwa na uwezo wa kuwapatia elimu bora watoto wa familia masikini,” alisema Kafulila.
Alibainisha kuwa njia mbadala ya kimkakati ni kuziachia kampuni na sekta binafsi kujenga na kuendesha miradi yote ya kibiashara, ili fedha zinazookolewa zielekezwe kwenye ujenzi wa hospitali, ununuzi wa dawa na utoaji wa elimu bora.Mkurugenzi mtendaji huyo alianika takwimu zinazoonyesha kuwa kasi ya ongezeko la watu nchini imefikia asilimia 3.4, kiwango ambacho ni cha juu ukilinganisha na wastani wa bara la Afrika ambayo ni asilimia mbili.
“Ongezeko la idadi ya watu duniani limefikia asilimia moja huku India ikifikia asilimia 0.8, na kwamba China ambako idadi ya watu inaendelea kupungua,” alibainisha. Alionya kuwa iwapo kasi hii ya ongezeko la watu ambao wengi wao wanatoka katika kaya masikini haitadhibitiwa kupitia elimu ya uzazi wa mpango, itaendelea kuwa mzigo mzito wa kibajeti ya Taifa katika utoaji wa huduma za msingi.
Sema mkuu sema wewe🤣🙌Kwenye mapori wanaishi pia wanyama
Kwanini binadamu mnakuwa wabinafsi mnataka Kila sehemu muishi ninyi.
Hayo unayo sema ni matatzo yanayo sababishwa na chama Cha Mafisadi (CCM) msijifiche kwenye kichaka Cha uzazi wa mpango.Sahihi kabisa, watu wanajifyatulia tu watoto wasio na uwezo wa kuwahudumia! Tunaishi kama watu tusiostaarabika! Ongezeko la watoto wa mitaani ni kiashiria tosha cha janga linalotukabili la uzazi holela.
Watu ndiyo uchumi aache ujinga
Watu wanaozalisha ndo uchumi, siyo hawa wnaaoshinda vijiweni wakibishana kuhusu Simba/Yanga na Diamond/Ali Kiba. Tuna jamii ya ovyo mno.Watu ndiyo uchumi aache ujinga
Wanasiasa wanasema yale yatakayo wapa kura, hawajaki effect yake kijamii na kiuchumiHuo ndio ukweli lakini wanasiasa wengi ni waongo hawawaambii wananchi ukweli na kidogo kinachopatikana wanakiiba
Siku pingi, CCM imeivuruga hii nchi ila pia jamii yetu ina upumbavu mwingi. Vijana wenye nguvu wanashinda vijiweni wakijadili mambo ya kipuuzi badala ya kuzalisha! Angalau vijana wanaojitafuta kwenye betting naweza kuwaelewa kidogo kuliko wapuuzi wanaoshinda vijiweni bila issue yoyote wakisukuma masaa! Jamii ya namna hiyo ikiendelea kuzaliana kwa fujo ni janga kwa Taifa.Hayo unayo sema ni matatzo yanayo sababishwa na chama Cha Mafisadi (CCM) msijifiche kwenye kichaka Cha uzazi wa mpango.
Na hiyo jamii ndo inaongoza kuzaa kama panya!Kudhibiti hilo wahakikishe kila mwanaume lazima ahudumia mtoto anayemleta duniani kwa kila senti anayoipata.
Mana kuna mijitu kazi kuzaa na kutelekeza watoto,hili liko sana katika jamii za waislam.
Una mawazo ya kijinga na kipumbavu! Hufai hata kuelimishwa...Yaani wazungu wanapiga vita ili tumalizike halafu tunawarahisishia kazi.
Mkuu, kama chama Cha Mafisadi (CCM) kikiboresha sera zake, na kuacha ufisadi hayo yote yataisha kama siyo kupotea kabsa.Siku pingi, CCM imeivuruga hii nchi ila pia jamii yetu ina upumbavu mwingi. Vijana wenye nguvu wanashinda vijiweni wakijadili mambo ya kipuuzi badala ya kuzalisha! Angalau vijana wanaojitafuta kwenye betting naweza kuwaelewa kidogo kuliko wapuuzi wanaoshinda vijiweni bila issue yoyote wakisukuma masaa! Jamii ya namna hiyo ikiendelea kuzaliana kwa fujo ni janga kwa Taifa.