Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Naona umepaniki sana.ushauri wangu ni kuwa ungechukua sumu ya panya UFE tu maana huna faida yoyote ile hapa Dunianitulia paka kunywa mchuzi ukajilambe matako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona umepaniki sana.ushauri wangu ni kuwa ungechukua sumu ya panya UFE tu maana huna faida yoyote ile hapa Dunianitulia paka kunywa mchuzi ukajilambe matako
Hadi leo ipo namna hiyo. Ukiwekeza bonds hiyo ndiyo percent ya faida yake. Kafulila anatumia tu maneno ya ujanja ujanja kupotosha. Tapeli.Hapana hii ilikuwa zamani
Mbona mm hiyo rate siioni hapa?View attachment 3016052
CEO wa PPP Bwana David Kafulila katika Ukurasa wake wa tweeter ( X ) ameisifu Serikali ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuwa ndio nchi pekee inayokopa ndani kwa riba ndogo kuliko nchi nyingi za Africa.
Kafulila anasema Wakati Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan inakopa T-bills kwa asilimia 5 lakini wenzetu uchumi wao ndani ni hoi ndio sababu Riba zao kwenye T-bills ziko juu mafano Msumbiji ni asilimia 17 Kenya ni asilimia 16, Malawi ni Asilimia 16, Zambia ni Asilimia 10,Namibia ni asilimia 9,Uganda ni asilimia 9 na Africa ya kusini ni asilimia 8 hiki ni kielelezo Cha uimara wa Uchumi wetu ndani katika ukanda wa Africa.
Wakati mnaendelea kumtukana msisahau pia kuwaambia hao Wananchi kuwa ni yeye pekee ndio aliyejenga unafuu wa maisha kwa watu wake katika ukanda mzima wa Africa na baadhi ya ushahidi ni hizo taarifa za David Kafulila huko tweeter ( X )
View attachment 3016048
| AUCTION DATE | BOND TENURE | COUPON RATE |
| 05-Jul-23 | 2 YEARS | 7.60% |
| 19-Jul-23 | 10 YEARS | 10.25% |
| 02-Aug-23 | 5 YEARS | 8.60% |
| 16-Aug-23 | 25 YEARS | 12.56% |
| 30-Aug-23 | 10 YEARS | 10.25% |
| 06-Sep-23 | 2 YEARS | 7.60% |
| 20-Sep-23 | 15 YEARS | 11.15% |
| 04-Oct-23 | 10 YEARS | 10.25 |
| 18-Oct-23 | 5 YEARS | 8.60% |
| 01-Nov-23 | 20 YEARS | 12.10% |
| 15-Nov-23 | 2 YEARS | 7.60% |
| 29-Nov-23 | 15 YEARS | 11.15% |
| 13-Dec-23 | 10 YEARS | 10.25% |
| 27-Dec-23 | 25 YEARS | 12.56% |
| 10-Jan-24 | 2 YEARS | 7.60% |
| 24-Jan-24 | 10 YEARS | 10.25% |
| 07-Feb-24 | 15 YEARS | 11.15% |
| 21-Feb-24 | 20 YEARS | 15.49% |
| 06-Mar-24 | 25 YEARS | 15.95% |
| 20-Mar-24 | 20 YEARS | 15.49% |
| 03-Apr-24 | 25 YEARS | 15.95% |
| 17-Apr-24 | 10 YEARS | 11.44% |
| 01-May-24 | 20 YEARS | 15.49% |
| 15-May-24 | 10 YEARS | 11.44% |
| 22-May-24 | 15 YEARS | 13.50% |
| 05-Jun-24 | 20 YEARS | 15.49% |
| 19-Jun-24 | 25 YEARS | 15.95% |
Kama napotosha lete ufafanuzi wako,sio unakosoa juu juu pasipo kuleta machango wako.Acha kupotosha,ulichoeleza ndio kinyume chake maana inategemea kama Serikali inauza au inanunua T-Bills.
Mwisho Je malengo ya serikali Huwa hayafikiwi Kwa hizo hizo riba za chini?
Soma nimeshaeleza hakuna Cha Juu Juu ndio hivyo mkuuKama napotosha lete ufafanuzi wako,sio unakosoa juu juu pasipo kuleta machango wako.
Malengo yapi??
Hoja yangu, banks hutumia amana fungati za wateja (fixed deposits) kununua trassury bills, kama gvt inatoa 5% maana yake banks wanalazimika kutoa riba chini ya 5% kwenye fixed deposits na hii sio nzuri kwa sekta ya amana na hati fungati, badala yake ndo tunakumbana na mikopo ya kausha damuHoja yako yako iko kinyume chako,
Mfano Benki ikinunua bonds za Tsh 100,000
Then mwisho italipwa TZS 100,000XO.O5=105,000
ILA BENKI WAO WANATOA PESA KWA 16%
Huyu naye amegeuka Katibu mwenezi baadala ya kufanya kazi yake.View attachment 3016052
CEO wa PPP Bwana David Kafulila katika Ukurasa wake wa tweeter ( X ) ameisifu Serikali ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuwa ndio nchi pekee inayokopa ndani kwa riba ndogo kuliko nchi nyingi za Africa.
Kafulila anasema Wakati Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan inakopa T-bills kwa asilimia 5 lakini wenzetu uchumi wao ndani ni hoi ndio sababu Riba zao kwenye T-bills ziko juu mafano Msumbiji ni asilimia 17 Kenya ni asilimia 16, Malawi ni Asilimia 16, Zambia ni Asilimia 10,Namibia ni asilimia 9,Uganda ni asilimia 9 na Africa ya kusini ni asilimia 8 hiki ni kielelezo Cha uimara wa Uchumi wetu ndani katika ukanda wa Africa.
Wakati mnaendelea kumtukana msisahau pia kuwaambia hao Wananchi kuwa ni yeye pekee ndio aliyejenga unafuu wa maisha kwa watu wake katika ukanda mzima wa Africa na baadhi ya ushahidi ni hizo taarifa za David Kafulila huko tweeter ( X )
View attachment 3016048
Andiko la Kafulila haliongelea Treasury Bond, Limeongelea Treasury Bills. Tbills ni za muda mfupi kama siku35, 92 au 182 na haivuki mwaka1. Ndio zinaitwa hati fungani za muda mfupi na ndio riba ya 5%Si bonds za Tz zinatoa riba ya 15%? Tusipotoshane kirejareja bwana Kafulila.
Huyu naye amegeuka Katibu mwenezi baadala ya kufanya kazi yake
Wewe na we ni tumbili kweli.... Watanzania wangapi Wana taarifa hizo za interest? Au elimu hiyo.... Sio ishu ya kukubali tu, ishu ya kujua kinachoendelea. Kama taarifa Zenu zote mnafanya Siri mpaka zivuje ndio mnakuja na rundo la defence... Gadamn!!!Hakuna Mtanzania Mtanzania anaweza akakubali hili
Andiko la Kafulila haliongelea Treasury Bond, Limeongelea Treasury Bills. Tbills ni za muda mfupi kama siku35, 92 au 182 na haivuki mwaka1. Ndio zinaitwa hati fungani za muda mfupi na ndio riba ya 5%Mbona mm hiyo rate siioni hapa?
Treasury Bonds Issuance Calendar For The Financial Year 2023/24
by SOLOMON
On behalf of the Government of the United Republic of Tanzania (URT), the Bank of Tanzania plans to issue 2-year, 5-year, 7-year, 10-year, 15-year, 20-year, and 25-year Treasury bonds; and 35-days, 91-days, 182-days and 364-days Treasury bills, during the financial year 2020/21.
The Treasury bonds issuance calendar is as outlined in the table below. Treasury bills will be issued on Wednesdays, on the weeks between the Treasury bonds’ issuance dates. More details will be released in each auction Call for Tender.
NOTE:
On behalf of the Government of the United Republic of Tanzania (URT), the Bank of Tanzania plans
to Re-open 10-year, 15-year, 20-year and 25-year Treasury bonds; as well as 35-days, 91-days,
182-days and 364-days Treasury bills, during the financial year 2023/2024. Treasury bills and
bonds auctions will be issued in the following order, or another day in case of public holidays
AUCTION DATE BOND TENURE COUPON RATE 05-Jul-23 2 YEARS 7.60% 19-Jul-23 10 YEARS 10.25% 02-Aug-23 5 YEARS 8.60% 16-Aug-23 25 YEARS 12.56% 30-Aug-23 10 YEARS 10.25% 06-Sep-23 2 YEARS 7.60% 20-Sep-23 15 YEARS 11.15% 04-Oct-23 10 YEARS 10.25 18-Oct-23 5 YEARS 8.60% 01-Nov-23 20 YEARS 12.10% 15-Nov-23 2 YEARS 7.60% 29-Nov-23 15 YEARS 11.15% 13-Dec-23 10 YEARS 10.25% 27-Dec-23 25 YEARS 12.56% 10-Jan-24 2 YEARS 7.60% 24-Jan-24 10 YEARS 10.25% 07-Feb-24 15 YEARS 11.15% 21-Feb-24 20 YEARS 15.49% 06-Mar-24 25 YEARS 15.95% 20-Mar-24 20 YEARS 15.49% 03-Apr-24 25 YEARS 15.95% 17-Apr-24 10 YEARS 11.44% 01-May-24 20 YEARS 15.49% 15-May-24 10 YEARS 11.44% 22-May-24 15 YEARS 13.50% 05-Jun-24 20 YEARS 15.49% 19-Jun-24 25 YEARS 15.95%
Ungempinga nawewe kwa data hichi unachokifanya ni uwendawazimu.Ila Kafulila Muongo Sana. Anadanganya ili apate cheo Cha Zuhura.
Samia kalikibali kwa kutolewa kwake, na ndiyo Kafulila analisifia jambo la hovyo Kam hili.Hakuna Mtanzania Mtanzania anaweza akakubali hili
Kwani hakuwepo?.Na bado yupo sana
Basi Mkuu acha siasa twende kwa utaalamu kwa kutumia hizo hizo data ulizoweka hapa,niambie kama uchumi wetu upo vizuri why Tanzania ni 5% na Kenya ni 16%Sijui kama unafahamu vizuri maana ya T-BONDS,
NIMEHISI KUNA KITU HUJUI
Hilo halihusiani na CHADEMA.CHADEMA huwa wanajijuwa wenyewe akili zao.maana huwa hawaeleweki wanapinga nini na wanasimamia nini.